๐๐๐DRAMA OF LOVE๐๐.
part 16
Tuko ofisini kwa principal ๐ญ, pembeni amekaa mamangu, kakasirika kweli kweli ๐, mbele yangu amesimama Brianna, a partner in crime๐. Haachi kusmile kila anaponiangalia๐ช, sijui ni nini kilikuwa kimemfurahisha๐ช.
Haya yanatokea baada ya mamangu kutaja jina la Brianna queen darasani tena machoni mwa NJERI ๐. Sikutaka Brianna ajitambue kwa hiyo venye aliniangalia nilimpa ishara ya kutosimama๐๐, don't ever joke with a woman that is in Love ๐ญ๐ญ. Brianna kalisimama kwa ujasiri na kudai ni yeye ndiye๐ฑ๐ฑ.
NJERI: Sky?? Did I hear your mom calling her Queen ๐ญ๐ญ.
Mom: That is what she's saved on his phone ๐ฑ. Brianna Queen, yes... Or please my daughter, can you read for me this name??
Mom alimuagiza Nancy (prefect wa sanitation)
Nancy: It's QUEEN with two love emojis at the end๐๐.
Njeri alikoza cha kusema, yan aligeuka fukara wa maneno, aliniangalia kwa macho ya simba jike mwenye amejifungua juzi na ana njaa๐๐. She just clicked, mm nikaangalia chini๐ญ.
Principal: SKY, is Brianna your girlfriend??
Me: Noooh how Sir, she's not๐ญ๐ญ. She can't be, she shall not be and Sir she must not be my girlfriend ๐ญ๐ญ.
Watu walicheka,
Principal: Brianna, if you want to continue learning in this school. You must say the truth ๐ช๐ช. Nothing but the truth ๐ค. Is Sky your boyfriend??
Brianna: (alimwangalia Njeri kisha aksmile) Sir, a point of correction please, Sky is my husband not BF ๐ฑ๐ฑ. We have been in a relationship since I stepped in this school๐ฑ๐ฑ.
Waah karibu nifaint๐ญ๐ญ. Case ilishindikana kusuluhishwa darasani ikabid tumeitwa ofisini ๐๐.
Principal: wewe msichana, so you lied to me right??
Brianna: Noh Sir, I didn't, Sky is my man๐๐.
Principal: I heard you saying since you stepped in our school??
Brianna: Yes sir, that first day๐๐.
Mom alikuwa hatulii, aliomba tu apewe ruhusa anirukie๐ญ.
Principal: my girl, unakumbuka last term mlipatikana town mkigombana ukimbeg sky akusamehe hadi mkatangazwa kwa TV ๐ค๐ค. Why did you lie to me???
Brianna: ๐ฑ๐ฑ
Principal: Sasa jamani, hapa mkipewa suspension mnaweza enda kwa OCS tena๐ค๐ค. Mbna mnadanganyana?? Sky unatka kuoa๐ค๐ค.
Me: hapana mwalimu..
HIM: Haya mwambie Brianna kwamba, you are just wasting her time๐ฒ ๐ฒ.
Prinz aliinama chini kuchukua kalamu ambayo ilianguka
Nilimwangalia mtoto akanipa smile ya heaven๐ฒ๐คฉ, kisha akijifanya anajikuna then akainua blouse yake kidogo๐ฑ๐ฑ. Kumbe pia alikuwa amejiweka tattoo ya jina langu๐. Sema kuchanganyikiwa๐ฒ๐ฒ.
Me: waah mkuu we mwenyewe mchapie๐. Hiyo ni ngori manze๐๐.
Mkuu: Wee si umeskia anakuwestia tu tym, wachana na yeye na umove on sawa๐๐.
Brianna: Ak sky hajasema ivo teacher ๐ช. Mm nampenda๐ญ.
Kidogo mgeni wa board akafika๐๐. Sijui Brianna alitoa wapi audacity ya kuongea ivo mbele ya principal..
Principal: Welcome Sir, eeeh, you can go to class, nitawaitaโ๏ธโ๏ธ๐คฉ๐คฉ.
US: Okay Sir Bye ๐๐.
Kufika karibu na mlango, mam akanirukia na kuanza kuninyonga๐ญ๐ญ.
HER: Wewe unataka kuniua๐ญ๐ญ. Eeh yan mi... (Akanipa kofi ya shingo) ... mimi nalipa fees na unacheza tu๐ญ๐ญ.
Alinitega tukaanguka nje๐ญ, kumbe Njeri alikuwa ametufwata na alikuwa tu huko nje akiskiza๐ช๐ช.
NJERI: Ak mam usimuue๐ญ๐ญ, (alimfuruta mam hadi akamtoa juu yangu๐ญ nikatoka mbio ๐๐ถ๐ปโโ๏ธ)
Mom: Ngoja tukutane home mkifunga, usipokuwa namba one usahau kama mm ni mama yako๐ช๐ช. Nonsense ๐ญ
Hiyo siku darasani hakukukalika๐ญ, kila mtu alikuwa na visirani tu๐.
Kamau: Pole sana brother,, it's hard but in the world of love, all this is normal๐๐. But Brianna loves you so much๐๐.
NJERI: Nyesh love nyo nyaji๐ nyo nyo nyo nyo๐. Who told you she Loves him?? Kama anampenda si angemtetea wakati mamake alikuwa anamnyonga๐๐. Wewe kamau sijui nia yako ni gani kwa relationship yangu na sky๐ช๐ช.
Kumbe Njeri alifika akasimama nyuma ya kamau bila kamau kujua๐ญ.
HER: beb pole sana najuwa Brianna aliongea tu kwa madharau ivo mbele ya mamako eti ndo aniumize mm๐ช๐ช. She doesn't love you at all๐ช. Look hadi hajakam kukwambia pole๐ฒ๐ฒ.
(Silent)
HER: Why are you not talking Beb, Am I disturbing you??
Me: Please dear,, I need time to freshen up my mind, l'll talk to you later ๐.
HER: Okay then, your happiness is my priority โฃ๏ธ.
After ameenda nilimuita Tena kamau ๐๐.
Me: Bro, do you think this girl will love you the way you love her๐ค๐ค. Mbna anakuhate ivi๐ค??
Kamau: Hehee, Bro nothing is impossible ๐๐. Mm najuwa hujamwambia koz unamfeel pia sindio?? They say it's better to try and fail than failing to try ๐๐. Am ready for anything bro,
Me: okay bro, usiende.
Nilimuita Njeri kwa kona, tukakuwa watatu๐๐.
NJERI: Yes, I hope you are fine now??
Me: Don't bother dear,,, mm nimetaka nikuulize kitu๐๐.
HER:,๐ค๐ค, okay ask.
Me: Has kamau ever done you wrong, stolen your thing, abused you or myb hit you or gossip about you in any way??
HER: ๐ฑ๐ฑ, waaah kamau?? No no no he hasn't... Why did you ask, If you won't mind ๐๐.
Me: If he hasn't done anything wrong to you, then why do you hate him so MUCH ๐ญ๐ญ. Why? is he not a human being??
HER: To be honest, I have no grudge against kamau, he's a nice guy, handsome genius and also friendly ๐๐. I always enjoy being around him๐๐. Why did you ask ??
Me: Just take a good look at himโฃ๏ธโฃ๏ธ. Do you think he deserves the style you have just talked to him ๐ช๐ช.
HER: Sky surely,, ok am sorry ๐๐.
"Sorry is not enough for now,, please hold his hand๐" I requested
NJERI: His hand?? Sky?? Okay kamau leta mkono๐.
Me: Good, kamau how do you feel that softness ๐คฉ๐คฉ.
Kamau: Bro, me holding Njeri's hand is like a dream coming through ๐ญ๐ญ. She has a soft skin I sayโฃ๏ธโฃ๏ธ.
"NJERI, how do feel holding his hand for the first time"
HER: He's fine, Yes he's ๐๐.
Me: WOW ๐, kamau, tuassume Sasa huyu Njeri ni first time mmekutana, na umempenda. Assume umemuita akasimama na amekupa only 2mins. Tell her what you feel๐๐๐๐.
HER: waah sky wewe ,,,
Me: Tulia upangwe๐คฉ๐คฉ. Okay si umempa time aseme chenye amekuitiaโฃ๏ธโฃ๏ธ.
HER: Waa๐๐, okay wacha aseme๐.
Kamau: Finally my day has arrived, meeting an angel like you Njeri, for sure I have gone out of words but I must say you are so beautiful dear,, just hold a breath๐ฒ, close your eyes, (Njeri alifanya ivo) leta huo mkono mwingne๐ฒ( akampa mkono tena๐ฒ but kibahati mbaya Njeri akafungua macho๐)
NJERI: ๐ฒ๐ฒ, whaaaat๐ฑ kamau, is that my name on your arm๐ฑ๐ฑ.
Kamau: am dieing of your love please,, this is.......
Me: Guys kidogo tu narudi๐๐.
Waaah hawa karibu wafanye nijione ni kama sijui mapenzi bwana๐๐. Nilifika kwa mlango kuangalia bado walikuwa wameshikana mikono๐ฑ.
To be continued...
Did they fall in love??
Don't miss part 17โฃ๏ธ ensure you like the story pleaseโฃ๏ธ..
Maoni