If you have no enemies then think about your own mother. She might have produced one. No one lacks enemies🙏.. heri adui mwenye anakushambulia kuliko fake friend mwenye anakuhug😪😪.
"I don't think Nancy deserves you Sky,, she is not type of a girl you want😪,, why are you giving her much tym😪, stop it" Brianna advised me.
But why was she saying that,, she dumbed me for Robby, who confronted to tell her that Robby wasn't her type too🤔🤔.. nilibaki kama nmekimia, kumwangalia Nancy venye alikuwa mpole na roho safi nyeupe kama bamba❣️.
ME: Why are saying that,, who told you the type of a girl I want😪.. get lost😪
HER: Why are you getting mad at me now,, So am I not supposed to advise you if you are dating the wrong person, hey look at me, wake up sky😪
ME: And who told you that Robby is the right person for you 😪.. wacha kujipima kwa kiatu ya wengine dada,, utakufa mapema🙏🙏.
BRIANNA: Hey usimtaje Robby hapa😪.. I want to find you a good girl ❣️. Si huyu Nancy 🙏
ME: Sitaki mapenzi sahi,, Madam advised me to focus more on my education, not this things you telling me 🙏.. why are you so jealousy of your fellow girl Brianna?
Siku zilisonga ikafika tena weekend,, this round I decided to fulfill the promise I made to Madam, kwa hiyo niliamua kuenda kwa Essau "WOW 😋 finally he has decided to follow us😘, I knew it💪" bri said happily 😪.
Kwa njia nilimuavoid kabisa, sikutaka huo mchezo wake wa kunirukia kila saa,,
BRIANNA: Sijui nani aliambia watu et mkikosana mnafaa kukasirikiana🤔.. wengine naonanga wanablockiana, sasa sijui mtu akitaka kuomba msamaha warudiane atafanya aje?? (Silence) Watu wengne wakikudharau utadhani kuna kitu kwa mwili yao hujawahi ona😪(silence) Wamebarikiwa na some of their body parts🍆 na hawajui kuzitumia😪.. (silence, tulitembea kidogo then....) Kazi yao ni kutuonyesha tu,, hawajui kuomba watu mali wagonge😪,,( silence) sasa hata mtu anafika mahali anajiulizaa,, huyu kweli anaweza nikula hadi nishangae? 🤔🤔.. Ju hata hawajui kumconvince mtu awape mali
Aih mm nilishindwa kuvumilia,
ME: bri sometimes unakuwanga mwenda ama?? Kelele ni ya nini?? Utaacha utoto
BRIANNA: Ukanikumbusha siku moja uliniambia unapendanga sana kuskia sauti yangu,, huu utoto wangu ndo ulifanya ukanipenda,, 😪. Sahi ni kelele🙏 it's okay, uzuri nahusunika tu nikiwa kwa njia, tukifika huko nitabembelezwa kama mtoto,, nitashikwa kama queen, nitapewa kila kitu chenye sijawahi pewa kwa maisha yangu😘😘
ME: Nini hiyo hujawahi pewa kwa maisha yako,,
HER: Kulimwa😪, Yes wewe umewahi nilima??
ME: sijawahi ju hutakangi😪..
HER: Sitakangi aje,, kwan huwa unataka mm nikuseduse😪. Si mtu akitoa nguo huwa anaanza kumromance dem wake,, wewe umewahi🙆.
ME: So after kuachana ndo unaanza kusema hivo,, si hiyo siku tulikuwa kwa bed ulikataa..
HER: Nani alikwambia dem akisema, "wachaaaa" ama "sitakiii" huwa anamaanisha?? Hawa machali wa siku hizi mnakaa aje lakn😪.. hata heri wababa🤗🤗. Unajuwa wababa......😱
ME: Kwan "wacha," na "sitaki" zinamaanisha nini?
BRIANNA: Ngoja nimalize,, Unajuwa wababa.....😱😱 Sky unaenda wapi sasa??
Aligeuka nyuma kama nimeturn narudi shule😪..
ME: zile story za wana enda umwambie Robby wako🙄🙄..
HER: Si ukuje twende basi,, ngài 🙆🙆.. si pia umekuwa ukichangia😱. Sky?? Walahi you are not going anywhere 😪😪..
Alinifwata mbio 🏃♀️. Mm nae ni nani, nilitoka mbio 🏃 pia😂..
HER: Sky weeee,, sasa unaenda wap?? Okay kam nmeacha kuongea basi🙏.
Sauti yake ilikuwa sawa na kumpigia mbuzi gitaa, alikuwa anajiongelesha mwenyewe💪.. I meant nilizidi kukimbia💪.
BRIANNA: Oooh unataka niamue sindio,,, (huku akigunja skirt😱) unataka tukimbie🤗🤗. Don't worry dia, pia nina hiyo talanta🤞.
Tulienda mbio tukawaacha Njeri , Kamau na Hellen wakaenda pekee yao🙏🙏.. aaih niliona ameanza kunikaribia😱,, "usijaribu kusimama,, leo hata ka ni Mombasa tutafika" she said huku akiendelea kunikaribia😱.. after running for 1hr and 15 mins, mm nilichoka nikaanguka kando ya mahindi😭😭. Nilikuwa nahema kweli kweli.
HER: Bydha kwann nilikuwa nakufwata sasa😂😂..
ME: Mm nataka kukufa aki😭.. maji maji majiii,,
Brianna: Maji ni ya kiu bro,, kama unakufa maybe nikuombee tu😂. Amka twende..ama unataka maji ya uzima🤔
ME: tuko wap,,
HER: 😂ulikuwa unaenda penye hujui,, wacha tukaekae tupumzike kwanza ndo twende🤗🤗.. so you better use this opportunity kunipea mistari motomoto🤞🤞. Huenda nikachange mind🤗. Start 👂
ME: Kwa maisha yangu sijawahi kuwa na mtu wa kunipa furaha kama wewe Brianna,,
HER: Mm nakupa furaha wewe unashindwa kunilima.. endelea
ME: kila time nikifikiria et kwa sasa hatuko pamoja huwa nafeel vibaya sana😭😭.. nakuhitaji tena bri,, I miss your company 🤗🤗
HER: Hiyo nilikuwa nishaambiwa na Robby jana,, that's why nilikuwa naenda kwake kumpa company 😂. Continue...
ME: Funda wewe😂😂
To be continued guys......wacha nizidi kurusha mistari hapa kakikubali nitawaambia😂😂🥺.
Maoni