Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 31
Gonga94 ยท Stories

๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 31

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜.
part 31

Me: Kiss what๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ. Brianna, tuko daro bana, can't you see๐Ÿ’”.

Alinirukia akanikiss then akaenda,, "Sky ukiyavulia walisema ni lazma uyaoge,, ulianza kunipenda mwenyewe, game lazma iendelee, hapa hakuna kuachana, ukihisi umechoka, nakupea glucose then tunaendelea๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ" she narrated ๐Ÿ™†.

KAMAU aliniangalia akashindwa kujizuia kwa hiyo akapasuka kwa kicheko๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. "Bro sorry ๐Ÿ‘๐Ÿ‘, sijacheka kw ubaya" (bado anajaribu kuzuia kicheko๐Ÿ˜ญ).

But why was she behaving like that?? Didn't she feel a bit concerned about my poor performance ๐Ÿ˜ช, hajawahi nishow nisome ama nisifikirie sana kuhusu mam๐Ÿ™†. Ni kweli unaweza nunua kila kitu duniani lakn wazazi๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. Wazazi hata kwa kiasi gani cha pesa huwezi kamweโฃ๏ธ I miss my Mom so much ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญโฃ๏ธ.

Siku zilisonga, baada ya week moja bado Brianna hakutaka kukaa mbali na mm, alitaka kuhahakikisha feelings zetu zimerud kama zamani๐Ÿ™๐Ÿ™. Alifaa kufanya hivo mapema koz exam ikifika tena nifail, ataweza ambiwa akae mbali na mm๐Ÿ™๐Ÿ™. That day morning, hiyo ndo ilikuwa siku ya Njeri kurudi shule ili afanye mtihani wa mwisho wa muhula๐Ÿ™. Brianna hakufurahia kabisa alipomwona๐Ÿ’”.

Njeri looked even more beautiful than before,, her endless smiles didn't say bye to her beautiful baby face,, popping after popping โฃ๏ธโฃ๏ธ.

HELLEN: Mamake Maya mwenyewe,,, uliamua utazidi tu kuwakunywa bila straw๐Ÿ˜‚.

NJERI: Hellen when will you stop joking around serious issues ๐Ÿ™ˆ. Nawakunywa aje kwan??

HELLEN: ๐Ÿ˜‚ anyway welcome back kamama,, say Hi to us,,

NJERI: Hello guys, nmewachecky kina Sky mtanashati, the father of all time , Kamau, best man ever on Earth, mama drama pia nakuona ๐Ÿ™Ž๐Ÿ™Ž. Naona umetulia hapo ivo, kwa wagen mniite tu mamake Maya โฃ๏ธ asante โฃ๏ธ.

BRIANNA: Et sky mtana what? Mtanashati? Hahaa maybe akue "mtu hana shati" bure hapo kwa mtanashati umetuchocha๐Ÿ˜‚. But tutampenda tu vile alivyo, sasa tufanye niniโœŠโœŠ.

Nancy: Et mtu hana nini??๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Walahi hii class ichomwe tu watu waende home ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Sky mambo๐Ÿ˜‚

ME: ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ.

BRIANNA: Wewe soma bro,, unanipa kazi mingi sana,, huku nafaa nisome, huko nafaa nikulee kama Maya wenu ๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช. Niko tu na wewe papa kwa hapaโœŠโœŠ. Kwanza please nisaidie book ya Bio practical๐Ÿ™๐Ÿ™.

MEAN: Come uchukuwe, sasa unataka nikuletee๐Ÿ˜ช. (Baada ya kuchukua)

BRIANNA: Wow enyewe sura haifanani na rohoโœŠ๐Ÿ™๐Ÿ™.

Watu wote daro wakacheka,, lakn you know what? Maneno ya Kamau bado yalikuwa yanarun tu kwa kichwa changu, my mom was brought back through NJERI โฃ๏ธ. Now I had the reason as to why I should study smarter ๐Ÿ™๐Ÿ™.

NJERI alipofika alimpa Brianna pressure sana, drama queen hakutaka tuongee na mama Maya ipite dakika mbili. Ogopa Kamau, kumbe alikuwa anafikiria jinsi ya kumgomesha Brianna bila kumhurt๐Ÿ™๐Ÿ™.

Alikuja akatupata tukiwa na naye huko nyuma๐Ÿ™๐Ÿ™. "Oyah Mkuu, nipeleke loo man,, I have something to share with you ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹"

BRIANNA: Sky kwan unataka kuniacha hapa?? Did madam Stacy tell you that ๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช. Wewe ni mbaya sana๐Ÿ’”๐Ÿ˜ช. Nimekupa 2mins uwe umerudi, nafaa kukupa ushauri๐Ÿค”๐Ÿ™.

ME: Et mm ni mbaya??

HER: Eeeh sana, anyway don't worry, being bad is not a crime, don't kill yourself,, we can use you as a bad example ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

KAMAU: wee achana na huyu mwendawazimu bro,,, let's go๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Mm mbavu zinaniuma sitaki kucheka tena๐Ÿ™.

ME: What is it man,,, share with me ๐Ÿ™๐Ÿ™

HIM: Manze nmeona hii style unapelekwa na huyu mtoto sioni ukimake bro๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช. You need to come back to your usual position as soon as possible,, ningependa sana ukiitwa POS one alfu nikufwate nyuma yakoโฃ๏ธโฃ๏ธ. Just imgn that feeling ๐Ÿค—๐Ÿค—๐Ÿค—.

ME: It feels good bro๐Ÿ™๐Ÿ™.

KAMAU: Okay that's why I called you.. huyu Brianna nataka umwambie unampenda sana,, as I talk now, yeye anadhania ukikaa sana na Njeri utaanza kumsahau๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™†.

ME: ๐Ÿค”๐Ÿค” bro sasa hiyo itafanya ni improve aje ๐Ÿ™†๐Ÿ™†. Mapenzi tena??

KAMAU: Relax man,, the plan is all mine,, wewe sikiza kwanza.. nataka leo jioni umshow Brianna hivo,, then umwambie, akikushinda kwa hii exam inakam, utafanya chochote chenye atataka umfanyie๐Ÿ™๐Ÿ™.

ME:Aaaih huyo mtu anaweza sema tukulane man,,,๐Ÿ™†๐Ÿ™†. Mm namjuwa from A to Z๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช.

KAMAU: Sasa nani hajui hilo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Nimesema hivo ju najuwa hawezi kushinda sky๐Ÿ™๐Ÿ™. Nakuaminia man,, kama uko sure atakubali hii challenge, sasa ni wakati wako wa kusoma kaka,, chapa paper hadi Brianna ashtuke๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹. Ukimshinda tena umwambie to hivo hivo,, akitaka umfanyie chenye anataka itabidi akushinde kwa next exam๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช.

ME: Wow where did you get this idea from??

"From me๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช, (kugeuka nyuma kumbe ni madam Stacy ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ. " Yes ni mm nmekaa chini na Kamau tukadiscuss๐Ÿ™, aliniambia Brianna hakupeleki venye tulitarajia๐Ÿ˜ช"

KAMAU: Hapa sasa ni wewe ujitoe kwa ngori bro,, akikushinda mm sijui chenye utaambiwa ufanye๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

MADAM Stacy: Haka katoto ketu kanaweza kushow mkulane๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Sorry kusema ivo๐Ÿ˜‚. But mm nikajuwa sana, kanakupenda kiukweli si chocha๐Ÿ™๐Ÿ™.

Baaasi, ba... Baaaaasi, nilienda nikamweleza Brianna akakubali๐Ÿ™๐Ÿ™.

HER: sky, huenda unadhani nacheza na feelings zako๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. But deep in my heart huwa naumia sana ukini ignore mbele ya watu aki,,, I love you so much, But if that's the case then I'm down, โฃ๏ธโฃ๏ธ. Am in๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช. See you after eggsam bro๐Ÿ™๐Ÿ™.

ME: Okay dear,

BRIANNA: promise me Sky ๐Ÿ˜ญ. Utanifanyia chochote nikikushinda๐Ÿ˜ญ.

ME: Anything mammy, โค๏ธ hadi madam Stacy anajuwa hivo nishamwambia๐Ÿ™๐Ÿ™.

HER : have a nice time dearโฃ๏ธโฃ๏ธ.

Mbna alisema na confidence ivo๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ. Madam na Kamau walikuwa kwa dirisha wanatuwatch,, after kumaliza wakaniita

MADAM Stacy: Kamesema nini๐Ÿค”.

ME: Amekubali haraka sana๐Ÿ™†๐Ÿ™†.

MADAM: Sky, make sure asikushinde Please,, huyo mtoto pia kwa kitabu sio mchache, na sasa imgn this round she's doing it just prove her Love for you โฃ๏ธโฃ๏ธ.

KAMAU: Hapa hata mm nimeingiwa na baridi bana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. But sky nakuaminia braza๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™.

Exam ilifika, asubuhi na mapema Brianna aliniita tena, that round tulikuwa na Kamau,

HER: Kamau, nataka uniprove kama hii deal ni ya ukweli ๐Ÿ™๐Ÿ™. Jokes zitakuja after paper

KAMAU: Iko real Brianna,, even our madam is aware of that ๐Ÿ™๐Ÿ™.

Mtoto aliishia tena, tangu nimwambie hiyo deal hakuwahi nisumbua tena ๐Ÿ™๐Ÿ™. Kwa hiyo pia nilipata tym poa sana ya kusoma,, hadi kamau aliachana na zake akaja kwangu ili tupige collable๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ’ช.

Tulimaliza exam ikawa sasa ni results kutolewa๐Ÿ™๐Ÿ™.

Class teacher wakiwa na MADAM Stacy waliingia daro kama wanacheka๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ. KAMAU aliniangalia kisha akasmile๐Ÿ™†๐Ÿ™†

Class teacher: POS three(3) Murunga Edison KAMAU ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ.

POSITION TWO: WAFULA KELVIN (SKYBOY)๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ

CLASS TEACHER: POS one (1) .,..........

MADAM Stacy akatoka nje akicheka๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ.

To be continued.... Si mueke LIKES zifike mapema nidrop part 32 before lunch? Ama?? Who do you think was number one ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜‚

Maoni

You're not logged in

Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 31

๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜.
part 31

Me: Kiss what๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ. Brianna, tuko daro bana, can't you see๐Ÿ’”.

Alinirukia akanikiss then akaenda,, "Sky ukiyavulia walisema ni lazma uyaoge,, ulianza kunipenda mwenyewe, game lazma iendelee, hapa hakuna kuachana, ukihisi umechoka, nakupea glucose then tunaendelea๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ" she narrated ๐Ÿ™†.

KAMAU aliniangalia akashindwa kujizuia kwa hiyo akapasuka kwa kicheko๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. "Bro sorry ๐Ÿ‘๐Ÿ‘, sijacheka kw ubaya" (bado anajaribu kuzuia kicheko๐Ÿ˜ญ).

But why was she behaving like that?? Didn't she feel a bit concerned about my poor performance ๐Ÿ˜ช, hajawahi nishow nisome ama nisifikirie sana kuhusu mam๐Ÿ™†. Ni kweli unaweza nunua kila kitu duniani lakn wazazi๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. Wazazi hata kwa kiasi gani cha pesa...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/drama-of-love-part-31

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi drama-of-love-part
DRAMA OF LOVE  part 4.
DRAMA OF LOVE part 4.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 18.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 18.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 22.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 22.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 37.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 37.
DRAMA OF LOVE????????????  Part 1
DRAMA OF LOVE???????????? Part 1
DRAMA OF LOVE????????????  part 2.
DRAMA OF LOVE???????????? part 2.
????????????DRAMA OF LOVE????????. part 12.
????????????DRAMA OF LOVE????????. part 12.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 11.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 11.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 8.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 8.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 20.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 20.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜.  part 19
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 19
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 34.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 34.
????????????DRAMA OF LOVE????????. part 10.
????????????DRAMA OF LOVE????????. part 10.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 9
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 9
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 43.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 43.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 38
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 38
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 16
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 16
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 30.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 30.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 41
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 41
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 36.  Although our God is almighty, he doesn't
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 36. Although our God is almighty, he doesn't
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 27  Kifo cha mkuu kilituwacha zote vinywa wasi๐Ÿ˜ฑ,
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 27 Kifo cha mkuu kilituwacha zote vinywa wasi๐Ÿ˜ฑ,
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 33
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 33
????????????DRAMA OF LOVE????????.  part 13.
????????????DRAMA OF LOVE????????. part 13.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 40.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 40.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 44
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 44
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 28  No matter how bad and long a night
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 28 No matter how bad and long a night
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 45
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 45
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 14
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 14
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 26..
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 26..
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 21.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 21.
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

869
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 21

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 21

671
 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

556
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 16 na 17

353
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

166
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 18

165
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

126
BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 4

BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 4

100
BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 5

BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 5

29
Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas

Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas

10

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.49K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.25K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.76K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.22K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.61K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.61K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.53K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.5K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.46K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.45K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 5 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 5
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEAAA โ€œ Brayton..โ€ Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa โ€œ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?โ€ Camilla alishangaa kwa...

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example Post Mpya
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example
@majario LIVE

. Dimple became a sensation with Bobby, and the same year she married superstar Rajesh Khanna. She was only 16 when she got married and became a mom at 17...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers โ€” but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 14 na 15 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 14 na 15
@majario LIVE

Basi nilipomaliza kuongea na ibraaa nikakata simu, nikaendelea kudrive kuelekea nyumbani kwangu sasa, na nilipofika nikampigia j kawa na furaha sana , anafurahia kwenda shule kesho, nikasema muache afurahi...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest