Cheaters,, has he/she ever cheated on you?. Was it twice or thrice๐ค. Kufikia sasa venye tunaishi kwa hii dunia,, huwezi mshawishi nyani kwamba pesa ni tamu kuliko ndizi na akuelewe๐. Namaanisha, mbwa siku zote yeye anaamin kwamba mfupa ni tamu kuliko nyama๐,, I mean kufikia sasa huwezi mbadilisha mtu aliyezoea kucheat,, already ashajuwa mfupa(wengine) ni tamu kuliko nyama(wewe)๐๐ญ. Mbna acheat sasa๐ช.
MADAM Stacy alishangaa kutuona tunafika late sana๐. Hakujuwa it was planned by her younger sister ๐ช.. miss drama mwenyewe๐.. They way stacy was talking, hata kipofu angeona kwamba in one way or the other, kuna kitu alikuwa amefurahishwa nacho kwa Esau โฃ๏ธ.. Brianna hakusita kuanza zake.
HER: Am now relieved siz ๐ช,, I see you are trying your level best to make sure am happy ๐ค๐ค.. don't stress too much about that dear,, am already happy๐๐..
Stacy: Happy for what??
BRIANNA: Anyway in-law? How is my item๐. Mali ikoje๐ฑ๐ฑ
MADAM: Brianna tokeni hapa,, am your teacher mjue๐ช.. why don't you respect me for once,, I shouldn't have come๐ช.
Esau: Why are sounding as if you don't know your younger sister well๐.. she speaks everything that comes in her mind๐.
BRIANNA: Sister you may see me as a child but trust me. I know what is good and bad for you ๐๐.. Jared is a bad guy๐ช๐ช. I hated him since the first time I sighted him๐ช.. How can you date a drunkard man for Jesus sake๐ญ. Me hadi niliku....
MADAM: Shut up๐ช. Why are you saying all these now?? Stop disclosing my private life ๐ช๐ช.
BRIANNA: Am sorry Siz,, but by bad luck it isn't a secret now๐๐.. Jared is a womanizer๐ช. All time anakuomba doh, who does that to his lover if truly he loves her๐๐..
MADAM: Is this what you called me for?? Hey Esau, please don't take her serious, she's still a child ๐๐.
ESAU: I know that ๐.. but can I ask you a question?
MADAM: Sure
ESAU: Do Jared drink alcohol? Is he a womanizer?
STACY: He drinks but not that much๐. Kwa womanizer, to be honest I have only caught him twice๐๐..
BRIANNA: Siz umesahau kuongeza "with different girls" koz that twice hukumpata na mmoja๐๐ช.. ndio mm ni mtoto but wewe ni ugonjwa unajitafutia๐. SISTER, I love you so much ๐
STACY: Oookay dear,, go to kitchen now,, enda mkapike๐.. I know you care so much about your elder sister โฃ๏ธโฃ๏ธ.
ESAU: my dear, enda mkapike sasa๐๐. Aki this girl๐๐,, anaongea maneno yanapita umri wake๐ค.
MADAM: wachana na yeye๐.. so you said uko single?? How and why? at your age?
Tulitamani mm na NJERI tuskize venye wanaongea but story za Brianna hazikutupa time๐๐.
HER: Lakn huku shuleni kuna vitu zingine huwa hazimake sense๐ช. Sasa mbna huwa tunasoma vinyume jamani๐..
NJERI: ๐๐huyu mtu ak,, yan huwez kaa tu ukatulia๐.. na bydha mbna huwa tunasoma vinyume surely ๐..
ME: Maji imechemka nyie pikeni bana ๐..
NJERI aliweka unga akaanza kazi yake
BRIANNA: Ngร i Njeri kwan uko na mgongo mrefu aje๐๐.. ooh sorry kumbe huna haga,, waah nilidhan ni mgongo ndo mrefu๐.
NJERI alikakonga na sahani ya plastic kwa kichwa๐๐..
HER: Sasa haga yangu na yako gani ndo ndogo surely๐.. check vizuri usiconfuse bana๐..
BRIANNA: Sky et ni ukweli??
ME: Pikeni kwanza nitawaambia baadae ๐๐..
Kidogo Kamau akanikol๐ค. "Waah hadi nilikuwa karibu kumsahau ak,," Njeri alisema..
BRIANNA: sasa umsahau ubaki na nani ๐.. watu wengne ak๐.. oyah ebu shika iyo kol tuone anaplan gani๐.
"Hello kaka vipy?" I said after receiving the call
VOICE: Poa sana bro, eeih siku mob bana hadi huwez nichat man?? How's life there?
ME: Smooth bro,, nikiwa na bri na njeri reason ya kuboeka natoa wap ak๐..
VOICE: Wako hapo??
ME: Ndioo hadi nmeweka loud speaker๐..
VOICE: Mpe Njeri Kidogo ๐ค.
NJERI: Hello kamaa?? Bri nisaidie kumalizia kupika hiyo ugali please ๐
VOICE: How are you doing ? Kumbe ulienda kwa SKY hata hukunishow imgn??
NJERI: Sorry , niliona ni stress to ndakupa koz wewe huwa unakaa na mbogi yako kwa hao ๐๐..
VOICE: Haina shida, inabid bana,, so form Ni gani, azn you haven't talked about our future together,, does it mean bol ilipangua kila kitu??
NJERI: Aa...eh.. ama ngoja tutachat kwa simu yangu basi... Nitakwambia โฃ๏ธโฃ๏ธ
VOICE: I'm expecting some good news dear๐๐..
NJERI: Of course.. et bri anataka kukugotea๐ค๐ค
BRIANNA: Oya morio vipy??
KAMAU: Nyie mko sawa hamlipi rent ak.. huku tushaanza kudaiwa imgn๐๐..
BRIANNA: Landlord mgan hudaisha rent tare moja surely,, like seriously,, hata watu wa illuminate hawajalipwa๐๐..
ESAU: ngร i ๐๐๐๐... Brianna??๐
MADAM Stacy: ๐wachana na huyu mwendawazimu ๐.
KAMAU: ๐๐et watu wa nini๐.. mojinga wewe๐..
BRIANNA: akili mtu wangu๐. Rent ni how much??
KAMAU: Si mob, ni 1500 ๐
BRIANNA: Don't worry,, niko na in-law hapa anakusort๐.. oyah in-law??
Madam akacheka๐
ESAU: nambie niskie?
Bri: Cheza kama wewe bana,,, huyu anakol ni mbogi yangu ya shule,, pale top 4๐ช๐ช.. nakupa namba๐ช.
KAMAU: Are you serious?
Supper iliiva , WOW ๐ I felt so special to have madam Stacy in our house again,, for sure she was my favorite teacher in school,, I could talk or share everything with her๐๐.. so friendly and good hearted too๐๐..
Finally Madam had already given in for Esau,, shida ikawa hapo kwa kumfanya Jared a move on๐๐.. mm na Njeri atukuwa tunabonga mob ju tulikuwa tunamuogopa madam๐๐.. hadi yeye hakuwa anataka tuongee kuhusu love sana๐. Inakubalika๐.
BRIANNA: Worry less Siz,, hiyo kazi niachie๐.. hapo nitakufanyia 2k pekee๐๐
MADAM: ๐ฑ๐ฑ2k?? Are you mad?
BRIANNA: Is 2k huge money? Why are yelling at me now๐๐.. are you not the one asked๐. Okay nmekutolea 15bob,, utanipa ksh.1985..
NJERI: ๐๐๐.
MADAM: What will you do now?? Si nmekupa 2k zako๐๐
Bri: Leave everything to me๐๐..
Tukiwa bado kwa meza,, mtu alikonga kwa mlango na nguvu sana๐ฑ.. "who's that?" I asked but the person continued knocking heavily. Niliamka kuenda kufungua but askari akanikanya๐..
ESAU: Sky, sit down and eat .. huwezi fungulia mtu humjui na pia hataki kusema jina๐ช๐ช..
Aaih the speed continued untill Esau stood up and took out his gun๐ฑ๐ฑ
BRIANNA: Whaaat? Yan unakuwanga na hii mali na hujawahi nifunza kuitumia๐๐๐ฑ..
ESAU alisonga polepole hadi kwa mlango๐.. "Who are you?" He asked.. he got no response ๐ค๐ค.. "guys be ready to lay down if he has a weapon okay?" He whispered to us
BRIANNA: ama ni babako mdogo??
ME: Oh my God,, he must be him ๐๐. Hey Sir be careful please, that man is evil๐ญ.
BRIANNA: Kama ni huyo niachie mm ak๐ช๐ช..
Kalikimbia kakachota maji kwa tap ya kitchen then straight hadi kwa mlango ๐ฑ๐ฑ..
MADAM: Brianna stop it,, it's very risky Please, ,hujui amebeba nini kama silaha๐๐. Wachia askari ndo anajuwa๐ช๐ช..
Brianna: What if ako na nia ya kutuua ๐.. we can't die bana..
ESAU: My dear, go back , enda penye SKY wapo
Hata hakumaliza Brianna alifungua mlango๐ญ๐ญ๐ญ
To be continued..... Sasa huyu jamani๐คฆโโ๏ธ๐คฆโโ๏ธ๐คฆโโ๏ธ.
Maoni