????????????DRAMA OF LOVE????????????
part 2.
But she never looked old to be deputy principal,, I just saw her as my age mate, my classmate, does it mean I was crushing on my chemistry teacher ????????. That sounds weird and funny to you right?
The whole class was now staring at me as if I had peed in class or something like that ????.
"Why are you so stradend SKY, did I not tell you about this????, ukiyavulia lazma uyaoge bro", it was Hellen's voice, alionekana kukerwa na behaviors zangu already ????. Kabla hata sijafungua mdomo wangu ili niteme yaliyokuwa moyoni, niliskia sauti nyororo kutoka mlangoni, "SKY, follow me to staff room ????" madam Stacy roared like a lioness, she was now displaying her real characters ????.
My moves on pleading her to forgive me, all went in vain, hakuniskia wala kuniangalia aone nilivyokuwa nahurumisha, walisema ukitaka kumuua nyani, kamwe usidhubutu kumwangalia usoni, ilionekana madam Stacy alikuwa ashabobea kwa hii methali koz hakuniangalia hata????????????.
Nilianza kuhisi ni kama nishambetray mamangu already, wiki mbili tu nishachoma????????. Kiherehere hakifai chambilecho guru stadi wala bin wala????. Sasa ningekaa tu nitulie jamani ningekufa kweli????, ningeamua kusoma barua niliyopewa na Hellen singejikuta kwa haya????????. Ina maana Shanny alikuwa sahihi aliponiita mpuzi/mpuuzi????????. Shanny alikuwa BESTIE wangu in my former school ????.
Nilishtushwa na sauti ileile ya madam Stacy kutoka kwa mawazo ambayo hayakuwa na mwisho????????.
"I said follow me SKY, you seem to be so rude and ignorant????????. Nisifike huko kama hujafika", akaishia????.
Minong'ono ilianza kuskika kutoka kwa wanafunzi wenzangu bint tu nilipotoka mlangoni kumfwata madam????. I didn't mind them.
Nilifika mlangoni kwa office yake, kwanza nikawekelewa kofi ya ghafla????. Huyu ndo Stacy yule nmekatia darasani kweli????. Nilianza kuhisi kidefudefu, na kuanza kuona vimulimuli????????. Baada ya dakaki kama nne ivi, nikawa sasa naanza kuona vizuri. Nilijikuta nmeketi karibu na mrembo mwengne kwa bench????. So ameona haya yote yenye nmefanyiwa????????. Nilijiuliza
Alionekana kuzuia kicheko????. Lakn hatimaye alishindwa kukistahimili kabisaa na kupasuka kama kuni kwa kicheko????.
Her: Samahani jamani, sina ubaya na wewe????????. (Huku akiendelea kunicheka????)
Me: Mbna umefurahi hivo lakni, ama unanijuwa??
Her: Hapana, wacha kukujuwa, hata kukuona sijawahi( aaih bado anacheka, hili halikuleta shangwe)
Me: Lakn mbna bado unacheka,, what's funny here,????????
Her: ????????pole lakn unakaa mtu mfunny sana????. Mbona umetag in kwa boxer na ni ya kitenge????.
"Whaaat????????????, oh my God ????. (Nikitengeneza ) sasa wewe unacheka mtu badala ya kumsaidia aki????????". Sema aibu????????. Mm nitahama kwa hii shule aki????.
Her: Bro kwan huna belt????????. Si hii umefunga nayo ni socks ya mtoto????.
Ilibidi niamke tu niende ????????. Hapa sikai????. KIDOGO TENA "Wee unaenda wap, rudi ukae hapo ungoje principal ????????," kumbe madam Stacy alikuwa ameniona nikiamka????????. Nilirudi nikakaa????????.
"Inaonekana Sistangu amejam sana, umemkosea??" Niliulizwa na huyo dem????.
Me: Yaa, she found out that I do carry my phone in school ????????.
Her: That's so bad bro.. anyway my name is BRIANNA, am sorry for everything ????????.
Me: Thanks.
Her: But hata na wewe surely, how dare you Carry a phone in school. Hujaniambia jina lako????.
Me: ooh am SKYBOY.
Her: I like that name SKY ????????. It sounds sweet.
Me: Thank you.. so wewe pia ni msomi wa hapa??
"No, not at all, nmekam kuomba nafasi pia,, am Stacy's younger sister ????. Niliona ni bora nikisomea kwa shule anafunza ndo iwe rahisi kwa ulipaji wa Karo ????????"
Me: Oh WOW ????. Welcome BRIANNA. Sasa kama ni sister yako, si unaweza nisaidia kubonga naye unitoe kwa hii ngori manze????????. Imgn pia nmejoin kwa hii shule last week, na hii mambo ikimfikia Prinz walahi hiyo ni ex straight ????????. Please...
BRIANNA: Her problem huwa ananichukuwa mm kama mtoto????????. Sidhan ka atanielewa but le me try????????.
Mm niliinama kwa magoti kuomba sir God aintervene wakati BRIANNA alijiset kwa office ya madam Stacy ????????. After kitu like 10mins ivi niliitwa ndani????.
MADAM: SKY kneel down, now tell me, Mbna uamue kubeba simu shuleni, na unajuwa haikubaliki????????.
Me: Forgive me madam,,, I can give it to you uniwekee then utanipa during midterm ????????. It won't repeat ????.
Her: I said why did you Carry the phone in school?? Unaanza kusema sorry. Kwa hii shule sorry huwa inaandikwa kwa apology letter ????.
BRIANNA: SISTER, si aende tu daro, haya mambo tutaongea in the evening. Umesema principal amefika hapa chini anakam, anawezampata????????pliiiz...
MADAM: Do you guys know each other??
BRIANNA: Noooh,
MADAM: Then mbna unamtetea ni kama brothako????????.
BRIANNA: Am just trying to feel what he's feeling now.. sister you know very well Prinz akifika hapa, hiyo ni ex direct. Usiwe chanzo Cha mtoto wa mtu kuacha shule ak????????. Koz do you rem.........
Principal akafika????????????. "Nani anataka kuwacha shule??"
Woih????????
MADAM: Welcome Sir. SKY go back to class utaleta hiyo hesabu nikusaidie baadae????????.
BRIANNA kakanikanyaga kwa mguu????????. Kumwangalia akanipa smile ya kimataifa????????. I think she had become my best friend already ????.
Kila mtu alishangaa kuniona nafika daro nikibounce kiboss????????. Hawakuamin waliponicheky hata sijachapwa????.
They all started thinking that maybe our chemistry madam had given in for me????. "Bro how did you get out of this??, Yule boy naskia ndo mfunny zaidi ikifika tym ya intertainment aliuliza????.
Me: Ni kucheza na maneno kaka,, mm ndo ule bazuu mwenyewe, ukifika kwangu ka uko na makosa hata kama ni ya kuua mtu, juwa hauna makosa tena????????. Eeh unachecky, (aaaih kumwangalia ashaachana na mm anasoma, kumbe mwalimu alinifwata na alikuwa amesimama kwa dirisha????????)
Madam Stacy: What's it again SKY. What are you preaching to them????????.
Me: Eeh madam????????. Alikuwa ameniuliza meaning ya word encyclopedia, so nilikuwa namwelezea????????.
Madam: Encyclopedia?? Kwann? Wee KAMAU, ulijulia wap encyclopedia?? Ebu spell hilo jina??
Kamau: ngài, kuspell tena????.
Watu wakacheka,, kumbe kamau ndo anafunganga bottom ten kwa exam????????. So madam alishindwa kwan ni ndoto ama..
Her: Eti Nini kamau??
Kama: A.....nii..sa...yii... Collo ,,,pii... Tia..
Madam: woih Jesus Christ ????????. Unasema aje wewe??
Kamau: Madam SKY anadanganya????????. Mm nilimuuliza kuspell jina MAMA
Madam akacheka????????.
Her: sasa unataka nikuweke usipell mama????????. Ona huyu msee????. And you SKY, see me in my office during evening break????????.
Madam Stacy haonekani mkubwa ak.. I think ni masomo tu yalimkubali❣️❣️. Anyway, alikuwa amemleta BRIANNA darasani????????. Kumbe pia kalikuwa form two????.
Hehee wachana sasa na madam, huyu naye sina maneno ya kudescribe urembo wake????. Nyuma amebeba hadi na za sister yake????. Kifua kimesimama wima kama mlingoti wa pendera????. Mtoto hadi akikaa chini, kifua bado kimasimama tu????????.
BRIANNA: So ulikuwa umekatia Sistangu na unaniambia mambo na simu????????. How can you propose to your teacher Sky surely??
Me: Come down Brianna. Have a seat first. (Nilimpa kiti changu mm nikasimama
Her: Alfu na wewe unakalia wap????????.
Me: you are welcome ❤️. Kama hiyo ndo shukran ????
Her: ????????usinifanye nicheke tena.. na venye unakaa innocent ????????.
Me: Usianze mambo yako tena????????.
Mm na BRIANNA already tulikuwa tumezoeana ungedhani ni mahomie ????????. Alinirushia namba yenye nilikuwa nmempa madam????????. "SKY you have to be serious manze,," she said.
Na ju mwalimu hakuwa daro,, nilisuggest msee mwenge ako na talent aende mbele apige show, yan a rap kiasi ????????????.
Hellen: SKY, hivi, wewe ni mtu wa aina gani labda?? Watu wanasomea exam ya next week unasema mtu aende mbele apige show????????. Wewe hata sijui unaactingi PÔRÑØ ????????.
Me: ngai ????????. Et mm naactingi pôrñø ????????????????. Hellen surely ????????
Sema class kucheka ????????. Nilimwangalia Brianna amecheka hadi amekalia mgongo wa kamau na hawajuani????????????.
To be continued.... Don't forget to like guys????????????
Part 3 loading......
Maoni