๐๐๐DRAMA OF LOVE๐๐.
part 20.
Ni jamatatu asubuhi, kwa room yangu niko kwenye mishemishe za kurudi shuleni๐ช, mlangoni mwangu amesimama Brianna, the drama Queen, yeye suspension yake itaishe jamatatu ijayo๐. Anashindwa ataservive aje na mamangu๐ค.
Nilimaliza maadalizi nikawa niko tayari kuondoka, "Hey Brianna, nipishe please, nataka kuondoka," nilisema nikiwa karibu sana naye๐. Kwa tabasamu ya kulazimisha, "sky yani natoka kwenu hivo tu๐,?" Sikuelewa alichomaanisha, walisema kuuliza sio ujinga ๐.
ME: Wamaanishani?? Nieleweshe tafadhali??
HER: Who am I to you??
ME: My girlf....... No my sister ๐.
HER: Your Sista you say?? What is wrong with you, you mean nitatoka huku kwenu hivo tu๐ช, sasa nilikujanga nini??
Brianna hakujuwa mam alikuwa amesimama nyuma yake๐ฑ. "My sister, mm nataka kuondoka, tutaonana jamatatu ijayoโฃ๏ธโฃ๏ธ๐".
HER: Sister?? Are you mad sky? Since when??
Mom akakohoa nyuma yake๐ฒ, walahi karibu mtoto afaint๐.
MOM: My daughter, lunch iko kwa fridge, wacha nmpeleke huyu mjinga ndo nirudi sawa??
HER: Ama ningoje twende wote nikiendanga home๐. Pekee yangu nitaboeka๐.
Alichukuwa nguo akaweka kwa bag yangu tukaishia๐๐. Alitamani sana kuniambia kitu njiani lakn mam hakutupa muda hata kidogo๐. alipewa fare akaenda nasi tukaingia shule ๐, sema kuwamiss kamau Njeri, HELLEN na Nancy ๐ญ๐ญ.
Principal: SKY that was just a warning, next time I'll expell you forever ๐ช. You are an intelligent boy, you can score everything in all your examsโฃ๏ธ but only if utaachana na hizi vitu ndogo ndogo,, am like your parent, I know what you deserve at this ageโฃ๏ธโฃ๏ธ. Sahi unahitaji tu kusoma, wachana na hawa WASICHANA, watafanya udrop shule๐ญ. Go to class, exam is scheduled from today, go prepare for English ๐.
MOM: my son don't fail me,,, remember the challenges we have been going through since your father died, you are the only hope I have, if you fail, we're done๐ญ๐ญ. Please I beg you my son, (akainama kunipigia magoti)
ME: No, Mom, no need. Believe me, trust me. Am gonna make it ๐๐.
Nilitoka kuelekea daro,,, waah new students walikuwa kibao,
NJERI: WOW ๐, finally, my Man is backโฃ๏ธโฃ๏ธ. (Tried to hug me bad I resisted) . Sky, I hope unanipima tu๐.
ME: How is Kamau??
HER: So he's more important to you than me๐ช๐ช. Anyway he's sick, he went home two days ago, but anarudi leo๐๐. How's Brianna, naskia alioleka kwenu??
ME: Hata mtu hukaa chini akapewa notes zenye alimiss kwanza๐ช. Brianna ako kwao sio kwetu๐๐.
"Heeeey dude, missed you so much,, how was your week?" Hellen alifika kama anaongea.
ME: Hey to you girl(we hugged) it was so nice and boring at the same time๐๐.
NJERI: ๐๐
HELLEN: Nieleze tu hapo kwa boring pekee, koz kwa nice nishajuwa๐ช๐ช.
ME: Ushajuwa?? Like how??
NJERI: Wacha kuturushia vumbi kwa macho Sky, we know you have been chewing and screwing Brianna hii wiki yote๐ช๐ช.
ME: why are you bugging me then??
HELLEN: Hey guys,, it's not time for quarrels ๐. NJERI please ๐ฅบ, don't conclude everything wakati hujadhibitishaโฃ๏ธโฃ๏ธ. Nawe sky stop avoiding her like that.
ME: Haven't avoided her๐.
NJERI: Ooh really?? Mbna ukakataa kunihug but venye yeye amekam ukamhug??๐ช
ME: Waah okay,, come here we hug๐น๐น.
Tuliposhikana ivi tight, Njeri akaweka kichwa kifuani mwangu, naye kamau akaingia mlangoni๐ฒ๐ฒ. Hakuamin, alibaki kama amesimama wima kama mlingoti wa pendera๐๐. Njeri hakuwa amemuona bado ๐ฒ๐ฒ.
ME: (whispering to her) Shhhh!, KAMAU ametuona please niachilie๐ฑ๐ฑ.
HER: Whaaat where is he??๐ฑ.
Jamaa alipita tu akaenda kukaa๐ฒ, this round hakukuja kuniambia venye week imekuwa๐ญ. Does it mean amenikasirikia?? For what now? It was just a hug, nothing more ๐. I thought to myself ๐.
Haikupita muda mwngi, mtihani uliletwa ikabid turelax kwanza๐. Sema kuona paper๐ญ๐ญ, I almost gave up baada ya kuona vimulimuli, kumwangalia KAMA alikuwa ameinama kuinama, the paper was supposed to take 2hrs but kamau alimaliza na 1hr akapeleka karatasi kisha akatoka nje,,, ile kuniangalia aliniangalia, nilijuwa hapa kumeanza kuwa na ugonvi๐ญ๐ญ.
After kumaliza paper ya kwanza..
Teacher Tracy: Students start preparing for mathematics ๐๐.
Njeri alikuja kwangu immediately after madam alitoka๐๐.
HER:. Dude, it seems KAMAU amejam๐๐. What will we do??
ME: Kuna vitu mingi tu za kufanya,,, but kwanza, Do you Love this man??
HER: ๐
ME: Anyway, tunaenda kumuomba msamaha na umweleze ukweli sawa??
NJERI: Okay but akishusha mie ndajiondoa walahi๐๐.
Kutoka nje tukawaona wamekaa na HELLEN,,
Njeri: Kamau?,, ah sorry ๐. Aky na atatuelewa kweli๐ค๐ค.
ME: please if love him, just show it. Tell him the truth โฃ๏ธโฃ๏ธ.
Tulifika but kamau hakuwa na shughuli na mm sana๐. They were just discussing about the paper we had done๐๐.
ME: Mko aje manโฃ๏ธ. Naona ni discussion tu๐.
KAMAU: Yaa tuko fity sana kaka,,, welcome back๐๐.
ME: Thanks so much,, Hellen niliwasalimia wote๐ช.
HELLEN: Ooh sorry I thought ju tulikuwa tushasalimiana daro nikadhan ulimlenga KAMAU ๐๐. But niko fity sanaโฃ๏ธ vipy Njeri??
Njeri: Chonjo sana,,, Beb mambo??
KAMA: (kwa kufake tu) Poa Sana Njeri โฃ๏ธ.
NJERI: Ni kama hujapona vizuri ama mbna unakaa kujam, kuboeka,, ama kuna shida??
KAMAU: (akaniangalia mm) Sidhan kama kuna shida mtu akifwata moyo wake๐น๐น. I love you but ni kama nmeanza kuchoka kulazimisha vitu๐๐. Sky am sorry for saying this but Njeri loves you so much โค๏ธ, hiyo ni Truth......๐ญ
ME: What are you talking about bro,,,, Njeri and I are just friends ๐ช. I have my own girlfriend Nd you know her very well. Mbna useme ivo??
KAMA: Mwenye macho huwa haambiwi tazama bro๐๐. Njeri ako na mtu anapenda but si mm,
NJERI: Kamau sijui haya maneno yote unayatoa wap ak,,,, mbna uniconvince hadi nikupende then unaanza excuses zako,, ama ju uliniona nimemhug Sky??
KAMA: Mbna hujawahi niambia unanipenda,, mbna hujawahi taka kujuwa venye naendelea,, yan nisipokusalimia ama kukuongelesha tutakaa tu ivo ๐ช๐ช. To be honest I hate being underated bro โฃ๏ธ, I really hate the place where my absence can't be recognized ๐๐. (Stretching his hand on Hellen's shoulders ๐ฒ๐ฒ) BEB tell them๐ฑ๐ฑ
NJERI: ๐ฑ๐ฑ
HELLEN: Don't get it twisted dear,,, KAMA and I are in a serious relationship โฃ๏ธโฃ๏ธ. I love him, and....
KAMA: And I love her too๐น.
ME: Since when bro??
HELLEN: Since the day NJERI told him that they can be in love but chin ya maji, et hakutaka waonekane pamoja mbele ya watu๐๐๐. Kamau shared everything with me, nikaona ni madharau sio love๐๐.
NJERI: But I loved you KAMAu ๐ญ๐ญ. Nilisema ivo ju sikutaka tupewe suspension venye sky na Brianna walipewa,, Beb I explained all these to you and you accepted, mbna hukusema si poa??
KAMA: Am sorry but I have already moved on with my love hereโฃ๏ธโฃ๏ธ.
ME: Kwan ulimove on haraka aje bro๐ค๐ค. Njeri ambia kamau neno la mwisho๐๐.
HER: Wacha aendelee na mwenye hamdharau kama aliona ni madharau ๐ญ๐ญ. It's okay, (she left)
HELLEN: Leta soo yangu๐ช๐ช.
Kamau handed a hundred bob to Hellen for pretending to be his girlfriend ๐ฒ๐ฒ ..
ME: What is going on??
KAMA: How can I leave Njeri bro,,, nilitaka tu kujuwa kama ananipenda na nmeprove๐ช๐ช๐. Sahi mie ndo bazuu kaka kw mapenzi huniwezi๐ช๐.
ME: congratulations but haikuwangi ivo๐. Mtu huambiwa ukweli kama bado hajaenda๐. Wewe umewacha akaenda, uko sure ataamin ilikuwa prank??
KAMA: ๐ฑ๐ฑ, mbna hukunisho bana๐ญ.
Kama alijaribu kumbeg Njeri warudiane lakn wap๐. Tulimaliza exam wakiwa bado hawajasolve๐ญ. The following Monday kamau alianza kunibeg tena nimsaidie warudiane๐.
That week tulikuwa tunaenda scout trip meeting kwa neighbor school,,, kamau hakutaka waende kama hawajasolve๐๐. We tried our best but haikumake๐..
NJERI: Nothing Will change my mind Kamau,,, continue moving on .. si ulisema ivo๐๐. Sitaki mtu sahi๐ญ๐ญ.
ME: Hey girl,, don't take that excuse et ndo umwache Kamau,, hata hellen mwenyewe ameniconfirm ilikuwa prank, mbna hutaki kuelewa๐ญ๐ญ.
Siku ilifika tukachaguliwa wasee 7, warembo watatu na majizee minne๐ช๐ช. The hurting part ni kuwa,,, Brianna and Kamau hawakuchaguliwa๐ญ๐ญ. It was me, Njeri, Nancy na wangne kutoka kwa madarasa mengine๐๐. The trip was to take 3days๐. Wale mnajuwa trip ya ma scout venye hukaa, wenyewe mnaunda hao yenu yenye mtakuwa mnakaa๐๐.
BRIANNA: Beb I wish you well,,, Please don't mess up again,, Njeri ni girlfriend wa kamau ๐ช๐ช.
ME: Beb why are you so insecure?? She is just a friend ๐๐. I know she's my friend's girlfriend โฃ๏ธโฃ๏ธ.
Brianna: Okay dee,,, I trust you ๐.
Day one ilikuwa fityโฃ๏ธ, we enjoyed the environment โฃ๏ธ. Ladies walikuwa kando alafu sisi maboy kando๐๐. Security was so tight ๐. I don't know what really happened to the school domedry๐ฒ. Tulianza kuskia mayowe sema kutoka nje๐ฑ๐ฑ. Moto ulikuwa umecover kila mahali๐ฒ๐ฒ. Ilibid tutawanyike kila mtu na njia yake๐ญ๐ญ. Hapo ndo tulikongana na Njeri kwa gate tukitoroka๐ญ.
NJERI: Help me sky,,, nmeacha kila kitu including money๐ญ.
NJERI ndo alikuwa amebeba doh za matumizi๐๐.
ME: save your life first, pesa baadae๐ญ๐ญ. Kidogo askari wa emergency walifika na kuanza viboko, huku wakipiga risasi angani,, penye tuliponea ni katikati ya miwa ๐ญ๐ญ. No phone to call home watukujie๐ญ. No blanket to cover ourselves from mosquitos ๐ญ.
HER: Aki hii baridi hapana๐ญ.
ME: Take my shirt ujifunike nayoโฃ๏ธ.
HER: What about you??
Me: Don't worry,, niko na tisho ndaniโฃ๏ธโฃ๏ธ.
Shetani ni mbaya๐ญ๐ญ. We messed up ๐๐ hadi morning ๐๐.
HER: SKY tumefanya bila protection, what if unipe bol๐ฒ๐ฒ. How will my KAMAu take it๐ค. I was just pretending not to love him but I really doโฃ๏ธโฃ๏ธ. This should be the secret between us please ๐ญ. Wewe uko na Brianna ๐๐.
ME: You can't get pregnant kwa mara ya kwanza Njeri,, anyway let this be our secret ๐๐.
To be continued...... Unapita bila kuLIKE ukiwa wapi ๐ ๐ ๐
PART 21 LOADING....