Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 38
Gonga94 ยท Stories

๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 38

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜.
part 38

Don't ever promise what you can't deliver ๐Ÿ™. Except your man and Dad,, everyone lies, sisi ni binadamu bwana๐Ÿ˜‚.. And the one who knows the meaning of enough is enough will always have enough ๐Ÿค— jifunze kuridhika๐Ÿค—... Naye ndama siku zote hawezi patikana kwenye miguu ya ng'ombe ndume๐Ÿ™…, ebuka mahali penye hata ukikaa hapo kwa miaka na mikaka hautapa chochoteโฃ๏ธโฃ๏ธ..

Brianna ๐Ÿ˜ช,, for the second time she fooled me ๐Ÿ™†.. shida ya huyu mtu ni nini lakn?? Nipo kitandani naked๐Ÿ˜ญ. Baada ya kuniagiza nifanye hivo, yeye aliishia kwenda kwa sitting room๐Ÿ™†..

Niliskia akiwaambia et nmetaka kumrape akahepa๐Ÿ˜ช.. "uongo wewe wacha zako Brianna" nilishout kutoka kwa room๐Ÿ˜Ž.

HER: Back to the game guys,,, so Sir ulisema nipelekee huyo chizzy hii mali yangu akague๐Ÿคž๐Ÿคž๐Ÿ‘๐Ÿ†.. uzuri kupigwa rungu hainanga last seen๐Ÿค—.

Esau: Whaaat,, who said that?? Okay don't go,, have you forgotten that you are still a student ๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช.. si kulala na yeye, you just pretend as if you are interested in him๐Ÿ˜ช..

BRIANNA: Kwan unanihurumia mm๐Ÿ˜‚.. tutapewa mwili mpya huko mbinguni bro๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช.. we nipe direction ๐Ÿค—.

NJERI: Brianna you always joke about everything ๐Ÿ˜ช.. Esau is serious please..

BRIANNA: Sir nichungie huyu mtu sana,,, ooh sky umekam๐Ÿ˜‚,,

ME: ๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช

HER: What a good boy,, you are always horny๐Ÿ˜‚..

ME: Leave me alone ๐Ÿ˜ช.. so bro, deal imefika wap? She should be out there by now๐Ÿ™๐Ÿ™..

HIM: Are you sure Brianna is still joking ๐Ÿค”.. sleeping with that old man is too risky,, her education might be ruined ๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช.. ama tuwache tu๐Ÿค”.

ME: What about my future Sir ๐Ÿ˜ญ.. you said that they are planning to sell this house without my knowledge ๐Ÿ˜ญ.. where will I go??

BRIANNA: I was just joking,, nipeeni direction ๐Ÿ™.. I can't wait to taste everything I'll be cooking in the kitchen๐Ÿค—๐Ÿค—..

NJERI: Which kitchen๐Ÿค”.

BRIANNA: Si nikiwa house helper ni mm nitakuwa napika๐Ÿค—.. naonja kila kitu๐Ÿ˜..

Esau: Waaah๐Ÿ™†๐Ÿ™†.. Brianna Brianna ๐Ÿ˜‚. But please usisahau mission yako,, make sure before mfungue shule uwe umechukua kila kitu๐Ÿ™๐Ÿ™..

(Kidogo simu yake ikaitana)
HIM: Oh sorry guys,, it's my boss๐Ÿ™.. Hello Sir?? Okay am trying my best Sir, trust me ๐Ÿ™๐Ÿ™. Bye bye sir๐Ÿ™... (After hanging up the call)

BRIANNA: Sir can I ask you a question??

Esau: sure๐Ÿ™.

HER: This is the first time to see you talking on phone ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ.. don't you have nini๐Ÿ™ˆ..... Okay how old are you sir?

NJERI: ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ Brianna yawa,,,,,he's police officer.

HER: Njeri can you do me a favor please ๐Ÿ˜๐Ÿ˜.

NJERI: sure I can,, what kind of favor do you want??

BRIANNA: Just help me to shut your mouth for only 5mins๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช..

MKUU: ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, what kind of favor is that๐Ÿ˜‚..

NJERI: ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ.

"Anyway am 26, why did you ask?" Esau answered.

BRIANNA: nothing sir,, ni venye sijakuona ukiongea na mtu yeyote kwa simu๐Ÿ™ˆ.. unajuwa wanasemanga et in every successful man there is a woman behind him๐Ÿค—๐Ÿค—..

ME: ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ. Brianna?

Esau: ๐Ÿ™†๐Ÿ™†my dear shika hii๐Ÿ™. Enda alfu ukipata documents urudi nikwambie kila kitu sawa๐Ÿค—..

HER: Ndafurahi sana,,, Sky take care please,, ujinga sitaki๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช..

Alipewa recorder ndo wakiongea na sisi pia tuskie๐Ÿ™.. baada ya kuenda Esau alisimama kisha akapumua kwa nguvu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.."kwan huyu Brianna ni nani?" He asked ๐Ÿ˜‚

"Ni mtoto wa mama,, anaturn 18 years next month ๐Ÿค—.. after there, ataanza kuwakunywa legally sasa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’ช,, pia ako na sistake" Brianna alieleza

Esau: Ngร i kwan wewe hujaenda๐Ÿ™†๐Ÿ™†..

BRIANNA: ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚mamboni wasee๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž

NJERI: Brianna wewe enda๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช..

Kwetu na kwa babangu mdogo haikuwa mbali,,, it was only 50bob ukipanda gari๐Ÿ™๐Ÿ™.. Brianna alivaa nguo chafu, akajipaka vumbi ili aonekane maskini anayetafuta kazi๐Ÿ™๐Ÿ™.. after like 1hr ivi, tulianza kuskia akikonga mlango๐Ÿ™†..

VOICE: Hey baba Quinter,, come and look at this young girl๐Ÿ˜ญ.. she must be so hungry๐Ÿ™†..

Baba mdogo: Hiyo hainihusu,, mwangalie vizuri anaweza kuwa mwizi๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช.. siku hizi tunajuwa venye huwa wanakuja kutuibia๐Ÿ˜ช..

Mkewe: When will you think about postive things for once baba Quinter ๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช.. my daughter,, how can I help you โฃ๏ธ..

BRIANNA: Njaa,,, njaaa,,, nakufa, na....ku....f.......

Mama Quinter: hey amka ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ.. eh mungu wangu huyu amekuja kukufia kwangu๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ... Baba Quinter tumpeleke hossy ak,, huyu ni kama tu mtoto wetu๐Ÿ™๐Ÿ™..

Baba mdogo: Nilikukataza kunililia ju ya vitu hazinisaidii๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช.. nataka chakula mm nina njaa๐Ÿ˜ฑ.

Mama Quinter: Amka twende kwa nyumba dear,,, kuna chai ukunyweโฃ๏ธโฃ๏ธ.. usimsikize huyu shetani๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช. Come come dear๐Ÿ™

Baba: Unaniita mm shetani๐Ÿ˜ฑ.. kwa hiyo ulioleka kwa shetani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.. oh my goodness,, ebu niletee chakula,, leo niko na wageni ambao tuna biashara ya kuongea nao๐Ÿ™.. don't insult me before them๐Ÿ™

BRIANNA: asante sana kwa chai Aunt ๐Ÿ™.. mm napenda sana kufanya kazi,, wacha nikusaidie kuosha viombo๐Ÿ™๐Ÿ™.

Mama: โฃ๏ธโฃ๏ธooh umechoka sana, utanisadia siku ingne dear,,,, nenda ukaoge kwanza๐Ÿ™๐Ÿ™.

After Briana kuingia kwa bafu๐Ÿ™๐Ÿ™." Waaah guys huyu mbaba atanipenda kweli๐Ÿ™†๐Ÿ™†,,, itabidi nitumie njia ingne wasee"

Esau: Please jaribu tu venye utawezaโฃ๏ธ๐Ÿ™๐Ÿ™.. Don't talk too much, watakupata๐Ÿ™

BRIANNA: Okay sir,, hope Sky is not eating something or someone ๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช..

MKUU: noo he's eating even now,๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜. Don't worry ๐Ÿ™

BRIANNA: Namaanisha kumkula Njeri ๐Ÿ˜ช..

Esau akafaint๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚..

ME: Don't worry dear,, please make sure unarud salama๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜.. siwezi fanya kitu mbaya๐Ÿ™๐Ÿ™.

NJERI: Be careful Brianna,, huyo mwanaume venye anaongea hakai mtu mzuri๐Ÿ™†๐Ÿ™†.

Mkuu akaamka๐Ÿ˜‚..

That day usku tulianza kuskia Brianna akiongea na boy mwengine,, actually alikuwa anakatiwa na boy alikuwa anafanya huko job(shamba boy)๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช..

BRIANNA: So brayo ulisema uko tu sure unanipenda ๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜..

BRAYO: sana dear,, ulisema unaitwa aje??

BRIANNA: naitwa Natasha๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.. but wasee huniita ippyโฃ๏ธโฃ๏ธ.

BRAYO: ippy?? Wanamaanisha nini??

BRIANNA: Yan ipilisi๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜.. napenda sana damu ya watu,, nakatanga sehemu nyeti, alafu piaaa ๐Ÿค”๐Ÿค” nini ingnee๐Ÿค”.....

Tukaskia mtu ameanguka chini๐Ÿ˜‚..

Njeri: Huyu Brianna akujiwe tu na mungu sasa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚... Aaih,,,, This is too much now๐Ÿ˜‚.

Esau alikuwa amepiga magoti ju ya kucheka๐Ÿ˜‚

BRIANNA: Mbna mnacheka ivo๐Ÿ˜‚.. si mtu amenipenda,, so namjaribu nione kama anataka kunikula tu ana ako serious ๐Ÿ’ช.

ME: Hiyo imekuwa kumjaribu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚..

BRIANNA: See you guys mzae anakam(she whispered)

Babangu mdogo: Hey what's your name๐Ÿ˜ฑ.

Brianna: naitwa Martha Uncle๐Ÿ™.

Baba: Nice name,, haya mazingira unayaona aje,,,

BRIANNA: Ni mazuri ,, nimeyapenda sana uncle ๐Ÿ™.

HIM: Prepare something for me to eat Martha ๐Ÿ˜˜. Wow turn around?? Oh my goodness ๐Ÿ˜ what an Engel โฃ๏ธ. How old are you??

Esau: say 22๐Ÿ™.

Brianna: 32 uncle

Esau: ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ,, ngร i ๐Ÿ˜ญ

NJERI: ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚huyu mtu ile vita atawekelewa๐Ÿ˜‚..

Esau: don't laugh dear,, this is serious ๐Ÿ™†๐Ÿ™†

"32? Who are you, unataka kunichezea akili yangu wewe mtoto umetumwa na nani??" baba alisema๐Ÿ˜ฑ

ME: kwisha๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ.. Brianna?? Brianna???

Esau: Guys we have to go there๐Ÿ˜ฑ. Oh my God ๐Ÿ™†..

BRIANNA: you have to go where๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.. relax wasee, my name is Brianna ๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช.. ameenda kwa hiyo room kuchukua pistol๐Ÿ˜‚. Huyu mzee hajawahi kutana na shetani uso kwa uso๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ.

Baba: Now tell me๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. Who sent you here,, sahi hakuna mtu, nakuua then nakuzika sahi sahi๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ.

Esau: ๐Ÿ™†๐Ÿ™† Brianna you are joking too much please,, be careful, pistol is so dangerous dear ๐Ÿ˜ญ be careful ๐Ÿ™๐Ÿ™

BRIANNA: You can't kill what is already dead .. hahahaaaaaa.. my mother lucifaaaaaa,, Lucifer. Uhuhuhuu,,, ulisema damu kiasi gani

Njeri akafaint๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚..

Baba: Lucifer ๐Ÿ˜ฑ. Uuuuuuuuuih nakufaaaaa,, please don't kill me,, you can kill my wife kama unataka damu๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ..

Brianna: Aaahahahaaaaa,, sooonga hapaaaaa,, leta hiyo pistol. Ahaaaahahaaa,, Lucifer my Lord,, my godess mother,, damu nmepata๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Esau: akafaint tena๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚..

Baba: shika shika shika๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ฑ.. mbna unataka kuniua sasa๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. Sijafanya kitu mbaya๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ.

BRIANNA: Damuuuuu,,, daaaaamuuuu,,,, lala chini na ufunike macho,, Lucifer mwenyewe amefikaaaaa,,, aahahahahahaaaa,,, usiniangalieee,, usiniangalieee nakwambiaaaa...

After 15mins ivi,,

BRIANNA: Guys nmechukuwa kila kitu mpaka sindano ya kushona nguo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Nikujieni hapa kwa barabara๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ˜‚..

Tulitoka mbio ๐Ÿƒ๐Ÿƒ ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ,, Esau hadi hana nguvu ya kukimbia๐Ÿ˜‚..

Tulimpata akiwa na kila kitu๐Ÿ™๐Ÿ™..

BRIANNA: Mamboni๐Ÿ˜‚. Uko aje Sir ๐Ÿ˜‚.

Esau: ......

To be continued.... Part 39 coming

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Mimi sikuachi fully stories
Mimi sikuachi fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 38

๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜.
part 38

Don't ever promise what you can't deliver ๐Ÿ™. Except your man and Dad,, everyone lies, sisi ni binadamu bwana๐Ÿ˜‚.. And the one who knows the meaning of enough is enough will always have enough ๐Ÿค— jifunze kuridhika๐Ÿค—... Naye ndama siku zote hawezi patikana kwenye miguu ya ng'ombe ndume๐Ÿ™…, ebuka mahali penye hata ukikaa hapo kwa miaka na mikaka hautapa chochoteโฃ๏ธโฃ๏ธ..

Brianna ๐Ÿ˜ช,, for the second time she fooled me ๐Ÿ™†.. shida ya huyu mtu ni nini lakn?? Nipo kitandani naked๐Ÿ˜ญ. Baada ya kuniagiza nifanye hivo, yeye aliishia kwenda kwa sitting room๐Ÿ™†..

Niliskia akiwaambia et nmetaka kumrape akahepa๐Ÿ˜ช.. "uongo...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/drama-of-love-part-38

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi drama-of-love-part
DRAMA OF LOVE  part 4.
DRAMA OF LOVE part 4.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 18.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 18.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 22.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 22.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 37.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 37.
DRAMA OF LOVE????????????  Part 1
DRAMA OF LOVE???????????? Part 1
DRAMA OF LOVE????????????  part 2.
DRAMA OF LOVE???????????? part 2.
????????????DRAMA OF LOVE????????. part 12.
????????????DRAMA OF LOVE????????. part 12.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 11.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 11.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 8.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 8.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 20.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 20.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜.  part 19
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 19
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 34.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 34.
????????????DRAMA OF LOVE????????. part 10.
????????????DRAMA OF LOVE????????. part 10.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 9
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 9
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 43.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 43.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 16
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 16
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 30.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 30.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 41
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 41
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 36.  Although our God is almighty, he doesn't
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 36. Although our God is almighty, he doesn't
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 27  Kifo cha mkuu kilituwacha zote vinywa wasi๐Ÿ˜ฑ,
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 27 Kifo cha mkuu kilituwacha zote vinywa wasi๐Ÿ˜ฑ,
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 33
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 33
????????????DRAMA OF LOVE????????.  part 13.
????????????DRAMA OF LOVE????????. part 13.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 40.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 40.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 44
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 44
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 28  No matter how bad and long a night
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 28 No matter how bad and long a night
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 45
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 45
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 31
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 31
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 14
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 14
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 26..
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 26..
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 21.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 21.
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

869
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 21

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 21

671
 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

556
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 16 na 17

353
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

166
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 18

165
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

126
BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 4

BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 4

100
BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 5

BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 5

29
Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas

Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas

10

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.49K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.25K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.76K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.22K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.61K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.61K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.53K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.5K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.46K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.45K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 5 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 5
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEAAA โ€œ Brayton..โ€ Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa โ€œ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?โ€ Camilla alishangaa kwa...

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example Post Mpya
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example
@majario LIVE

. Dimple became a sensation with Bobby, and the same year she married superstar Rajesh Khanna. She was only 16 when she got married and became a mom at 17...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers โ€” but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 14 na 15 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 14 na 15
@majario LIVE

Basi nilipomaliza kuongea na ibraaa nikakata simu, nikaendelea kudrive kuelekea nyumbani kwangu sasa, na nilipofika nikampigia j kawa na furaha sana , anafurahia kwenda shule kesho, nikasema muache afurahi...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest