MAMDOGO TARATIBU
GOLDEN BOY (0699286085)
SEHEMU YA NNE
Taa iliwaka ghafla. Macho yangu yaligongana na ya baba, lakini safari hii alikuwa kavaa suruali. Alikuwa amesimama pale mlangoni, kifua wazi, sura yake ikionyesha mchanganyiko wa mshangao, hasira, na kitu kingine ambacho sikuweza kukielewa haraka.
Juliet alishtuka na kuinama chini haraka kujifunika kwa shuka. Mimi nilibaki pale kitandani, mwili wangu ukiwa baridi ghafla kama mtu aliyemwagiwa maji ya barafu.
“Juliet…” Baba alisema kwa sauti nzito, lakini ilikuwa ya chini kama anayezungumza na kivuli chake mwenyewe.
Juliet hakujibu. Aliendelea kujifunika na kujifanya kana kwamba ni bahati mbaya kuamka pale. Lakini hali ilishajieleza yenyewe.
Baba akaniangalia, kwa macho yaliyotoka. Kisha akasogea hatua mbili mbele, huku akibana taya zake.
“Wewe kijana… ndiyo haya unayoyafanya ndani ya nyumba yangu yaani mamdogo wako leo na wewe unakula asali ya baba yako umekua sio?” aliuliza kwa sauti ya chini lakini yenye kutetemesha moyo.
Nilifungua mdomo kujibu lakini maneno yakagoma kutoka. Kitu kilikuwa kimekaza koo langu kama kamba ya kunyonga.
Juliet alinyanyuka taratibu, akamkabili baba. “Niache nikwambie ukweli,” alisema kwa sauti tulivu lakini thabiti. “mimi ndo nimemlazimisha kumpa hii asali yako baada ya kuona hata mzinga wangu hauwezi kuula vizuri. ni moyo wangu. . Umenifanya nijisikie kama mnyama ndani ya ndoa yaani we ni kamoja tu. Nilihitaji mtu wa kukiwasha aichape mpaka damu zimwagike . Na yeye alinisikiliza…”
Baba alitikisa kichwa, machozi yakimjaa, kisha akatoka nje bila kusema neno jingine. Milango ilifunguliwa kwa nguvu, na ikafungwa kwa kishindo.
Ndani kulikuwa kimya kikali. Tulibaki mimi na Juliet, tukitazamana. Sikuwa na la kusema.
Juliet alikuja pale nilipokuwa nimekaa na kuniambia, “Kwa sasa, bora tukaondoka hapa nyumbani. Twende mbali, huko utakula mpaka uchokee wewe na tutazaa watoto huko.”
Mara ghafla ! Kilisika kishindo toka njeeeikionyesha kuna mtu kaanguka kwenye ngazi.nikajua huyu ni mzee
Nilivaa shati haraka haraka, nikachukua nikachukua suruali , na nikatoka nje. Sikuamini nilichokiona baba alikuwa kajipigiza kateleza . Kisha kajipigiza ukutani damu nyingi zimemwagika ..
Nilitembea haraka kuelekea alipokuwa baba huku natetemeka na kulia sana maana mzazi pekee niliyebaki naye ni baba tu. Nilimsogelea na kumnyanyua alinambia neno moja
"nimekuacha na mama yako huyu muooe si ndo ulichokuwa unataka " kisha akapoteza maisha hapo hapo
Muda huo juliet hata hakushtuka alikuwa ananitazama tu niliita kwa sauti kubwa " baba !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!" aiseee niliumia sio siri ....
ITAENDELEA…
Follow the Kelvin Mlowe channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029Vaw5SzK7YSd3RKAO8G46.
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.