Niliondoka pale chumbani kwangu na kwenda kwa Robby .....nilimkuta amelala kifudifudi huku akiwa anawaza sana.....aliponiona tu .....njoo mama....nikaenda akanivutia pale kitandani.......hivi unaitwa sikitu nani.......Sikitu Bosco .......ooh nice name.......Mimi naitwa Robbyson Raulent........sawa kaka Robby.......nahitaji kukufahamu zaidi mama.....kivipi kaka Robby....... tumekubaliana saa sita usiku ........ndio kaka.....yes usikose ni siku ya muhimu sana katika maisha yangu na yako pia.....mmh umuhimu kwangu? ...niliwaza .........
naomba ukaniletee maziwa fresh nina kiu sana ......sawa kaka....nilitoka na kwenda jikoni nikachukua maziwa kwenye chupa na kikombe nikarudi kwa Robby......nilimimina maziwa na kumpatia.......mama ujanja wangu wote huu siwezi kula wala kunywa chakula cha moto ...naomba unipoozee.......nilianza kupooza maziwa huku Robby akinikazia macho usoni........ Niliona aibu.......sikitu....abee kaka.....wewe ni mzuri sana ...yaani uzuri wako ni unexplained (hauelezeki) .......aaah aibu jmn aibu mweee๐คฃ.......sina uzuri wowote kaka Robby Mimi ni masikini tu ambae nakubali chochote kinikute ilimradi tu nipate pesa nigawane na mamdogo angu........nilimjibu kinyonge huku machozi yakinilenga......stop it ....stop it sikitu wewe siyo masikini..... wewe ni tajiri kwa kila kitu .....Mungu amekupendelea na ndio maana akaona nisife bila kujujua......lakini hii haitoshi nahitaji kukujua zaidi ya unavodhani........hujanielewa Lkn saa sita usiku utanielewa.....aliongea
usiku usilete chakula hapa.......nimemuagiza Moses ( mlinzi) supermarket ataleta chakula kwaajili yetu ๐......kaka Robby nimekuelewa ......sawa mama ....niliingia kwenye kabati nikatoa nguo za robby ambazo zilikua chafu nikazama bombani kufua....nilifua nguo zake zooote nikamaliza kisha nikaenda kumgongea mama lulu ili nimuombe nguo zake nizifue.....karibu sikitu....asante mama ...naomba nguo zako chafu nizifue chap hapa nina hamu ya kufua sana leo.... ..OMG mwanangu sitaki upate shida hata moja ....jukumu lako ni moja tu ..lipi ? Mama lulu aliniuliza.....kaka robby.....nilimjibu .....yees huyo ndo jukumu lako hizi zangu nitazifua mwenyewe nafanya mazoezi sitaki kukaa tu. ...sawa mama......
nilitoka nje na kwenda kupiga story na yule dada anaekua akilisha mifugo pale ndani......shkamoo dada...alikua mkubwa kwangu kiasi....marahaba mzima ....mzima.... unaitwa nani Mwaya.....sikitu ....ooh Mimi ni Miriam.....sawa dada pole na kazi asante sikitu.......
Mmh Ila una bahati wewe mtoto .....yule dada alinambia.....kwanini dada? Mmmh Kwan hujui ? Aliniuliza ....sijui dada ...... Kama hujui poa ila naomba usininyime kadi tu ingawa nalisha mifugo hapa ila unikumbuke walau nije nimshuhudie Hb Robby akipata mke ......mke? Mke gani dada mbona sikuelewi.....nilibaki naduwaaa๐ณ sielewi yule dada alikuwa akimaanisha nini .....aya bwana kama huelewi basi ngoja mimi nifunge kufuli langu ๐ค........
tayari ilikuwa ni saa tatu na nusu usiku......niliondoka na kwenda jikoni nimuandalia mama lulu na wafanyakazi wengine chakula....nilikipasha tu maana Mwaj alipika asubuhi ....nikatenga mezani ......mama lulu alikuja ......mwiteni Robby aje ale.....amesema atakula asubuhi kwasasa hana njaa....nilimjibu mama lulu ....Lkn nilikumbuka Robby alisema nisile nitakula nae chakula spesho alichokiagiza supermarket.....ooh sawa amekunywa dawa? ...aliniuliza ndiyo mama....sawa njoo ule mwanangu ..... aliniambia.....mmmh nikawaza hapa nilikataa naweza kushtukiwa bas nikaenda kupakua kidogo tu nikampatia kampani mama lulu pale sebuleni.....
mama kwani huyo lulu yuko wapi? Nilivunja ukimya.....
hahahahaha....leo umeamua kumuulizia lulu mwanangu...... Ndiyo mama maana kila siku nasikia unaitwa mama lulu lakini namuona Robby Tu....nilimjibu......lulu yupo kwake anaishi na mume wake nchini Marekani Los Angeles....huwa anakuja kutusalimia kwa mwaka mara tatu......na hivi navoongea na wewe atakuja miezi miwili ijayo......ooh tafurahi kumuona mama.....nilimjibu.....usijali utamuona mwanangu.....
asante kwa huduma yako nzuri kwa Robby naona anafuraha sana sikuiz hayupo kama zamani na daktari amesema anaweza kusimama siku chache zijazo......mama lulu alinambia......kwani mama kaka Robby alifanya nn hadi anaumwa? ..niliuliza.......mwanangu ni story ndefu sana Lkn chanzo cha yote ni Maua ......maua?๐ณ....nilikodoa macho......tuachane na hayo mwanangu nina usingizi sana tutaonana asubuhi.....sawa mama.....nilitoa vyombo nikasafisha meza nikaenda chumbani kwangu ......niliona mezani kuna vimemo pamoja na biki......nilichukua kimemo nikaandika maneno haya
" nakupenda sana Robby Ila siwezi kukwambia ipo siku utaelewa"
...nikachukua kile kimemo nikakiweka kwenye begi langu nikafunga .....nilienda kuoga nikavaa nguo zangu ......tayari ilikuwa ni saa sita na dakika kumi usiku......haraka nilienda chumbani kwa Robby nilimkuta sehemu ya dirisha kubwa amekaa kwenye kile kiti chake amenipa mgongo alionekana anaandika kitu fulani ...nilipoingia tu ...akasema....nanukuu
"Asante Mungu kwa zawadi hii.....moyo wangu unadunda kwa kasi bila hesabu pindi tu nimuonapo mtoto huyu....nisikiapo harufu yake navurugwa kabisa hakika amenivutia na namkabidhi kwako useme nae moyoni ili awe wangu daima amen"
.....nikaitikia Amen๐คฃ ..nisijue anaeombewa ninani daaaaah๐......nyie acheni tu mwanaume akiwa na maneno matamu unaweza kukaa bila kula hata mwaka unashiba tu maneno yake ๐คฃ....karibu mama ...asante kaka Robby .....maombi yako yamepokelewa moja kwa moja mbinguni na huyo mtoto hawezi kupingana na Mungu.....nikaropoka.....Amen.....
kaka robby akaitikia.......
naomba uniandae nikaoge mama.....nilimuandaa nikampeleka akaenda kuoga ...lakini pale kitandani niliona kigauni fulani cheupe kizuriii kata mikono alafu kinaangaza vizuri atari๐คฃ hahahaha.....naona wapenzi wasomaji mnasoma kwa msisitizo mimi sipo huko mimi hahahaha.......
Pembeni ya kile kigauni palikuwa na kaushi pamoja na bukta ya kiume zote nyeupe.....sikuwa na neno niliangalia tu nikatulia.....Robby alimaliza kuoga nikamchukua nikampaka mafuta na dawa .....naomba hizo nguo hapo....zile za pale kitandani nikamsaidia kumvalisha......sikitu naomba uvae hiyo nguo hapo ni spesho kwaajili yako pia useme neno zaidi nahitaji utulivu mkuu leo please mama......kheee๐ณ nifanyeje sasa wamama.....ila robby wewe daaah sawa baba
roho inaenda ndundunduuu
ITAENDELEA
*NIMEZAMA* 15๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
nilichukua kile kigauni nikawa naelekea chooni ili nikavae........mama unaenda wapi.....Robby aliniuliza.... Kuvaa kaka Robby ....no feel free( hapana jisikie huru) vaa hapahapa ....usiniogope mimi ni wewe na wewe ni mimi...... maneno matamu haya daah๐
mara akatoa kitu kama kisimu kidogo....akakibonyeza paap.....waaao mara mwanga ukabadilika chumba kizima kikawa na mwanga fulani hivi wa blue daah amazing sanaaaaaaaa๐๐......halafu akatoa kisu spray flani hivi akakinyunyiza pale ndani uwiiiiiiiii jmn ni kinanukia vzr kitamu balaaaa๐๐.......jmn yaan palepale nikahisi nipo peponi katika uwanja wa mapenzi mazito... yaani nilifeel kama niko ulimwengu wa pekeyetu......mapenzi matamu ukimpata mtu sahihi kwako
bas nikavua nguo zangu nikabaki na ki ๐โบ๏ธ......nikatupia kile kigauni daaaaah nyie nyie asikwambie mtututu yaan kimwili changu choote kikawa kinaonekana vzr kabisa๐คฃ........bas Robby akawa haamini macho yake akakodoa macho๐ณ๐คฃ.....kigauni kilikua kifupi alafu vichuchu vikachora na kitako huku nyuma sihaba hahaha......
come to me my angel( njoo kwangu malaika wangu) ......robby akanambia....daaah nikasogea kiuogauoga ivoivo ila nilikuwa nataka hahahah sema navunga tu hahaha.......wakat huo yeye alikua amekaa kitandani na zile nguo zake nyeupe bas na mm nikaenda pale kitandani akanivutia kwake......akanisogezea uso wake kwa umakini mkubwa akaniangalia kisha akasema kwa kunong'ona......sikitu you are the only one in my mind no body else( uko pekeako kwenye akili yangu hakuna mwingine) niruhusu nikuoneshe ulimwengu mpya ambao najua hujawahi kuingia humo.......nahitaji utulivu kwako kwenye utu wako ndani ya nafsi yako......utupu wako ndo kichaa changu umeumbika kwaajili yangu niruhusu nikuoneshe madhaifu yangu mama na uanaume wangu mama.....daaah nyie nyie wamama nyie .....fikiria hayo maneno yanatamkwa kwa kunong'ona alaf bezi faln hivi ya chinichini hahaha..... bas Kwa utam ule wa maneno ya robby nikajikuta naanza kulia๐ญ kilio cha hisia kali za mapenzi.......si mnajua mtu kama unampenda alafu na yeye akuoneshe mapenzi ya dhati zaidi unahisi feelings za ajabu moyoni Mwako.... Basi moyo wangu ulikuwa unaenda mbio mithili ya mshale uliopigwa kwa swala ili ageuzwe nyama...... Kwa maneno yale tayari mambo yalikuwa yameshaharibika kwangu๐คฃ๐คฃ wakubwa mshaelewa bana.......robby pia hakuwa mbali kihisia tayari babu alikuwa anataka kupasua bukta hahahaha.......bas mpenzi msomaji unapenda kweli hiki kipengele ๐คฃ
.....sikitu kabla ya yote naomba nikuelezee mambo kadhaa kunihusu ....sina haraka na wewe huendi popote tutakesha leo mpaka asubuhi na tutakuwa pamoja milele zote ....... Katika historia yangu ya mapenzi niliwahi kupenda wanawake kadhaa najua unajua mimi ni mwanaume Rijali kabisa nina nguvu kama Samsoni wa delila ....hivyo sina kasoro kwa hilo ....lakin mahusiano yangu mengi hayakufikia nilipotaka ......niilikuja kuangukia kwa mwanamke mzuri niliyempenda mpaka nikawa kichaa juu ya penzi lake .....oooh maua sitakusahau juu ya maumivu makali na mazito uliyoniachia ....yale maumivu yanayochoma kama moto kiganjani.....nilimpenda mwanamke yule nilimpa kila kitu ili tu nikuoneshe thamani yake ndani yangu....... lakini hakujali utu wangu kabisa alichonitenda ni kibaya zaidi ya kibaya daaah .....wamama robby wangu akaanza kulia๐ญ......kaka Robby usilie tafadhali naomba umsamehe tu utaumia hadi lini duniani kuna mitihani na ipo kwaajili yetu sisi wanadamu samehe na sahau utapata amani mpya ......niliongea huku machozi yakinitoka na nilikuwa nikimfuta Robby machozi kwa mikono yangu.......yeees na hii amani sitoipata kwingine zaidi ya kwa huyu mtoto ...... robby aliongea kwa msisitizo .....mtoto yupi kaka robby.... nilimuuliza.....sikitu peke yake .....alinijibu ......hakutaka kunipa nafasi ya kujitetea hapohapo akanisogelea na kunipa romance๐.......jamani jamani jamani waego mwenzenu nashindwa kusimulia vzr mkanielewa ile romance ilivyokuwa tamu hahahaha....yaan nawaambia ile hisia ya viwango vya juu mawinguni jinsi ilivokuwa..... Aaaaaash halafu kizuri zaidi sikuwahi kabla kupata hivyo vitu nilikua mgeni wa haya mambo .....ila daaah Robby anajua mweee ๐คฃ.....alinipa ile kitu romance mpaka nikaanza kutetemeka baadae akaniambia......unajiskiaje mama.......sina hata cha kujibu namuangalia tu nimelegea kama mrenda๐คฃ.........akasogeza mdomo wake sikioni kwangu "I NEED YOU THIS NIGHT "( nakuhitaji usiku huu) daah jmn ile sauti tu ni hoi ........utanizoea tu mama...robby alisema .....jmn akanikumbatia akanikiss mdomoni kisha akanilaza kifuani kwake .......yaan hakuwa na Papara kabisa .
.....mama....abee .....naomba historia yako ya mahusiano yako ....aliniambia.....daah nijibu nn sasa wamama nakumbuka nilikuwaga na ayubu enzi za zamani huko kijijini Lkn kila ayubu alipokuwa anataka dudu nilikua najificha jikoni ๐คฃ๐คฃ na vile mamdogo alikua hataki ujinga bas nilijitunza sana......bas nikamuelezea Robby....niliwahi kuwa na mtu zamani sana Lkn sikuwahi kushiriki mapenzi hata mara moja.....whaat? ( Nini) Robby alishangaa akaniinua kifuani kwake nae akainuka akakaa..... unasemaje sikitu hujawahi ...hujawahi....hujawahi kufanyaje? Ni ya kweli hayo mama? Au unanipima upendo wangu kwako......robby aliuliza huku haamini yaani ilikuwa ni bonge ya sapraiz hahahaha.....My God My God...sikitu nitakupenda mpaka ushangae wewe mtoto..nitakuthamini mpaka dunia ishangae nakupenda wewe mtoto ..uliumbwa kwaajili yangu pekeangu umeletwa na Mungu kwajili ya Robby Ooh My God.....robby aliongea kwa msisitizo wakati huo kanikumbatia kwa nguvu....si mnajua mtu akiwa na hisia kali eee alinikumbatia akanikandamiza kabisaa.... bas kaanza kunikiss mwili mzima hahahahaha
ITAENDELEA
FULL STORY UNAIPATA KWA KULIPIA TSH 1000
NAMBA YANGU YA WHATSAPP NA KULIPIA PIA NI 0715906120 MTANDAO YAS JINA LA USAJILI FLORA.
   
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.