Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  Afande sele ft Belle 9 dini tumeletewa

NIMEMUONJESHA ASALI MAFIA BOSS EP 10

1st Aug, 2025 Views 55

.

Zilipita siku tatu, kuko sawa siku ya 4, nikatoka mwenyewe nijaenda kutulia mahali, kumbe nilipo na x wangu nae alikuwa maeneo hayo, ametoka zake kupiga mzigo, akaniona, alimpitisha demu wake kwa halaka ila nikawa nimemuona, nikampuuza nikiamini hataludi, kwasababu yuko na mtu...

Lakini pia kulikuwa na kaka mmoja alikuwa ananifuatilia ni miaka sasa, ni mtu poa sana, tatizo tu hana ndevu, kakaa kama sufulia, nae akawa ameniona maeneo yale, hakusita akaja akaomba kukaa, sikumkatalia,kwa sababu tayali nilishafanya maamuzi ya kuachana na D moja kwa moja...

Tuliongea sana, akanimbembeleza, nikaona sio mbaya acha nisifuate tamaa zangu, ngoja nimkubalie, huenda ndie niliyepangiwa na Maulana,alifulahi mno, wakati tunatoka dear x huyu hapa...

Akakiwashi ooh kwa hio huyu ndo mwanaume wako sikuizi? , ukaona umpe simu kabisa anitukane, ugomvi ukaibuka, ikabidi walinzi wa hotel waingilie kati, nilifika kwangu nikuwa hoi, nikatafakali nakufanya maamuzi ya kuhama, ili kumkwepa dear x, na kuapa sitokaa nilete meanaume geto kwangu tena...

Ata kama atanileta nyumbani, nitakuwa nashukia mbali na kwangu, sitaki huu uninga tena,niliamua kuhama, baby mpya alikuwa vizuli, alikuwa haombwi pesa ni anatuma kila siku pesa ya matumizi, bwana si ndo huyu sasa, sijui nilicheleweshwa nini jamani...

Mwanaume yuko romantic, msafi,anajua wajibu wake, hasubilii kuobwa ama kukumbushwa,ni anatoa tu, na huu uchaga wangu ndo kabisa kanishika pabaya...

Nilianza kuwa na shine masaa 24, siku moja baby akataka kuja home, nilimkazia , hakuamini akajishusha nakuomba twende hotelini, lakini kwa ninj tusiende kwako?

" Kwangu aah unajua hatujaoana nataka uje ukiwa tayali mke wangu, hii ikanipa mashaka uyu mtu vipi,lakini sikuyazingati, nijajuanda zangu huyo mbaka hotel,kufika tukaonge kidogo jamaa akaomba twende chumbani...

Nikamkumbusha makubaliano yetu ni kupima kwanza, akasema yeye kaja na vipimo, tutapimana umi umo,mimi sasa ni kukubali tu kama jinga, tumefika jumbani tu hivi, kitandani tunakutana na Darian🙄....
Kupata full mpaka mwisho dear bonyeza hio link hapi juu itakupeleka moja kwa moja kwenye simulizi na namna ya kulipia, ikikusumbua nitxt whatsup nitakusaidia...

Itaendelea...💥

Full 1000
Whatsp 0784468229.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NIMEMUONJESHA ASALI MAFIA BOSS EP 10  >>> https://gonga94.com/semajambo/nimemuonjesha-asali-mafia-boss-ep-10
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Afande sele ft Belle 9 dini tumeletewa
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CHANZO NI BOSS 03

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CHANZO NI BOSS 02

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CHANZO NI BOSS 01

majario rewards 100 Comments 0
 

MTOTO WA MAMA LISHE

majario rewards 100 Comments 0
 

MY LUNA SEHEMU YA : 06

majario rewards 100 Comments 0
 

NDOA YA MIE ... 8...

majario rewards 100 Comments 0
 

LUVIE binti wa malaya

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest