Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  Afande sele ft Belle 9 dini tumeletewa

π•Ύπ–Žπ–’π–šπ–‘π–Žπ–Ÿπ–Ž: π’π‡π„πŒπ„π‰πˆ π”πŒπ„πˆππ†πˆπ™π€ πŠπ–π„π‹πˆ 𝐀𝐒𝐒𝐒𝐇 πŸ”žπŸ“š *SEHEMU YA NANE { 08 }* _Tulipo ishia_ πŸ“š kuoga wakiwa wamekumbatiana kwa Mahaba

27th Jul, 2025 Views 114

.

*Endelea nayo* πŸ“š

Kwa upande wa Rozi yeye alijisikia furaha moyoni mwake kuwa na Japhet na alikuwa yupo tayari kwa lolote juu ya kijana huyo hakuona shida kuacha kazi.

Basi wakaweza kuingia huko bafuni na kufungulia maji na kuanza kuogeshana wakisuguana kwenye miili yao huku wakicheza michezo ya kimahaba na mwishowe wakajikuta wakajikuta tena wanakata kiu yao ya kimapenzi kwa Mara nyingine hukohuko bafuni. Baada ya kumaliza kuoga wakatoka bafuni na kila mmoja akaingia chumbani kwake kwa ajili ya kubadilisha nguo. Rozi akiwa yupo chumbani kwake akafungua kabati la nguo ili achague nguo ya kuvaa aende sokoni kununua mahitaji ya chakula cha mchana hapa nyumbani ndipo akajikuta akiangalia fedha yake aliyokuwa akilipwa hapa kama ndio mshahara wake ilikuwa inafikia shilingi laki tatu kutokana na kujiwekea utaratibu wa kuhiifadhi fedha yake kidogokidogo. "Hii laki tatu inatosha kabisa kwenda kuanza maisha na Japhet wangu huko kijijini kwao" alijisemea Rozi huku akiziangalia fedha hizo na baadae akazirudishia sehemu anapozihifadhi na halafu akachukua nguo ya nguo ya kuvaa ili aende zake sokoni. Japhet naye kule chumbani kwake alikuwa sasa ndio yupo anapanga nguo zake kwa ajili ya kutoroka hapa nyumbani kwa kaka yake. "Hapa navizia tu Rozi akitoka kwenda sokoni na mimi huku nyuma nasepa zangu saa hizi bado ni mapema sana nitapata basi la kunifikisha Dodoma" alijisemea Japhet huku akiendelea kupanga nguo zake ndani ya begi. "Yaani nikiendelea kubakia hapa huyu Shemeji ataniponza kwa kaka yangu, nitajumjulisha kaka kwa njia ya simu baada ya kufika Dodoma kuwa nimeondoka hapa kwake" aliendelea kujisemea Japhet. Baada ya hapo sasa akaangalia fedha zake alizokuwa nazo na kupanga mahesabu yake. "Hii laki moja aliyonipa Shemeji ndio itakuwa nauli yangu, na hii elfu arobaini kati ya zile elfu hamsini alizonipa kaka wakati anasafiri nitampa Rozi imsaidie kwa matumizi yake" alisema Japhet huku akitabasamu. Mara ghafla mlango wa chumbani kwake ukagongwa. Japhet akalificha begi lake la nguo na kwenda kufungua mlango huo!.

Mara ghafla mlango wa chumbani kwake ukagongwa. Japhet akalificha begi lake la nguo na kwenda kufungua mlango.

Japhet mara baada ya kufungua mlango akaweza kumuona Rozi akiwa tayari amependeza sana kwa ajili ya safari ya kuelekea sokoni. "Mmh nakuona mpenzi wangu umeng'ara sio mchezo" Japhet alimchombeza Rozi huku akitabasamu.

"Ahsante baby kama umefurahishwa na huu muonekano wangu" alisema Rozi.

"Yaani sana tu mpenzi, muonekano wako nimeupenda na unavutia sana" aliendelea kusema Japhet huku bado akiwa amesimama hapohapo mlangoni.

"Ahsante sana, sasa vipi baby si tutaenda wote sokoni unisindikize?" Rozi aliuliza.

"Hapana hatuwezi kwenda wote, hapa nyumbani atabaki nani sasa?" Japhet naye aliuliza. Rozi akatabasamu halafu akasema: "Jamani nyumba si tunaifunga milango yote, tunaenda mara moja halafu tunawahi kurudi" Rozi alisema.

"Sasa tukienda wote na halafu Shemeji akirudi ghafla akikuta hakuna mtu wewe unafikiri itakuaje? hebu nenda tu ngoja nikupe hela ya kupanda bodaboda" Japhet alisema na kurudi chumbani kwake kumchukulia Rozi hiyo hela ya kupandia bodaboda. Rozi naye akingia humohumo chumbani kumfuata Japhet.

Baada ya Rozi kuingia chumbani kwa Japhet akapata kuhisi kitu tofauti.

"Baby zile nguo zako unazoweka hapo kwenye henga ukutani mbona sizioni?" Rozi alimuuliza Japhet kwa mashaka.

Japhet akagutuka kidogo na kumjibu:

"Zipo nataka baadae nizifue kwani ni chafu" Japhet alimdanganya Rozi.

"Hapana Japhet naomba uniambie ukweli, unataka kutoroka enhe?" Rozi sasa aliamua kumpasulia ukweli kwa kumuuliza hivyo baada ya kuhisi kama mazingira ya humo chumbani yapo tofauti. "Siwezi kutoroka Rozi naomba uniamini hiki ninachokisema" Japhet alisema. Rozi akaenda mpaka kitandani kwa Japhet na kuketi halafu akauliza tena: "Pia hata begi lako la nguo nalo silioni, Japhet unataka kunikimbia si ndio?" Rozi alimuuliza Japhet kwa sauti ya huzuni. "Siwezi kukukimbia Rozi, kwani pale mwanzo si tulikubaliana kuwa tutaongea kwa kirefu kuhusu kuondoka pamoja" Japhet naye alizidi kujitetea.

Rozi akaanza kupepesa macho yake mle chumbani na hatimaye akaweza kuliona lile begi la nguo za Japhet alilolificha likiwa lipo nyuma ya kitanda kwa pembeni. Rozi akanyanyuka kitandani na kwenda kulichukua begi hilo na kulitoa.

"Si nilikuambia Japhet kuwa unataka kutoroka, mbona hili begi lako umelificha kule?" Rozi alimuuliza Japhet.

Japhet akabakia kimya anajikuna kichwa na kuona sasa tayari ameshagundulika ikabidi tu amuambie ukweli wake Rozi.

"Ngoja nikuambie kitu Rozi, mimi sina mpango wa kuondoka na wewe" Japhet alisema na kuendelea tena. "Mimi nakushauri ni bora tu wewe ukabakia hapa uendelee na kazi yako, mimi niache niende zangu" Japhet alisema.

"Siwezi kukuacha Japhet uondoke peke yako hapa tutaondoka wote sipo tayari kubaki peke yangu" Rozi alisema.

"Wewe Rozi una kichaa nini unaposema hauwezi kubakia peke yako unamaanisha nini, mbona kabla mimi sijakuja hapa ulikuwa unaishi?" Japhet alihoji.

Basi waliendelea kulumbana humo chumbani huku Rozi akitaka kuondoka na Japhet kwenda huko Dodoma anapotaka kwenda Japhet kwa wakati huu ili amkwepe Shemeji yake Flora na visa vyake. "Kwahiyo sijakuelewa Japhet, ina maana unamkimbia Shemeji yako au unanikimbia na mimi pia?" Rozi aliuliza.

"Nawakimbieni nyinyi wote wawili, mimi sina nguvu ya kufanya mamboz na wanawake wawili wote kwa wakati mmoja tena mbaya zaidi na Shemeji yangu akiwemo" Japhet aliamua kufunguka na kuweka mambo hadharani.

"Kwani kuna ulazima wowote wa wewe kufanya mamboz na huyo Shemeji yako? kumbuka huyo ni mke wa kaka yako hata kama anakulazimisha lakini unao uwezo wa kumkatilia sio lazima mpaka ufanye naye inabidi na wewe uwe na msimamo" Rozi alisema. Japhet akashusha pumzi na kuona kweli anachosema Rozi kina maana sana. Rozi akaendelea tena kusema: "Hata ukiamua kuondoka bado utakuwa aujamtendea haki kaka yako kumbuka amekuahidi kukutafutia kazi pindi atakaporudi kutoka safarini, sasa wewe leo unataka kuondoka unafikiri kaka yako atajisikiaje akikukuta haupo?" Rozi alizidi kumuweka kwenye wakati mgumu kijana Japhet. "Sawa Rozi mimi nimekuelewa hicho unachosema, lakini wewe aujui Shemeji ameniambia nini endapo kama nitakataa kuendelea kufanya naye mamboz" Japhet alisema.

"Usiogope Japhet, Shemeji yako anakuambia hivyo ili kukutisha na wewe uendelee kumridhisha kimamboz kama yeye anavyotaka kwahiyo usiogope vitisho vyake wewe kuwa tu na msimamo halafu tuone atakufanya nini" Rozi alisema. Japhet akajikuta anayelewa maneno haya ya Rozi na kuona kumbe ni ujinga endapo kama atatoroka hapa nyumbani kwa kaka yake eti kwa sababu ya Shemeji yake na wakati alishakubaliana na kaka yake kuwa atamtafutia kazi na yeye pia (Japhet) awe na maisha mazuri. "Basi sawa Rozi nimekuelewa mpenzi wangu, sitoroki tena nitabakia hapa niendelee kulifaidi Penzi lako" alisema Japhet huku akimkumbatia Rozi. "Nashukuru baby kama unaniahidi autatoroka, lakini nina mpango hapa nitakuambia leo usiku" Rozi alisema. Japhet akawa na hamu sana ya kuujua huo mpango wa Rozi. "Ni mpango gani tena mpenzi wangu?" Japhet aliuliza. Rozi akatabasamu halafu akasema: "Wala usiwe na papara utaujua tu, ngoja ifike usiku nitakuja chumbani kwako kukuambia nina imani mwenyewe utaupenda huo mpango" alisema Rozi.

Basi baada ya hapo Rozi akaweza kuondoka kwenda sokoni lakini kabla ya kuondoka akalichukua begi la nguo za Japhet na kwenda kulifungia chumbani ili huku nyuma Japhet asipate kutoroka.

Japhet tena akabakia sebuleni huku akiwaza na kuwazua. "Yaani sikutegemea kama huyu binti angeweza kunishauri kitu kama hiki, lakini nitawezaje kumuepuka Shemeji humu ndani na vile visa vyake?" Japhet alijiuliza peke yake. Hapo ndipo akaukumbuka ule mkwara aliopigwa na Shemeji yake (Flora) leo asubuhi kabla ajatoka kwenda saloon kwake kuwa kama atakataa kuendelea kufanya naye mamboz basi ndani ya hii nyumba yeye (Japhet) atapata taabu sana na nyumba yote ataiona ya uchungu. "Ananitisha tu hawezi kunifanya kitu chochote" Japhet alijipa moyo na kuendelea kuangalia TV.

Hatimaye Rozi naye akaweza kurudi kutoka sokoni alipoenda kununua mahitaji ya chakula cha mchana na baada ya kumaliza kupika chakula hicho akampelekea Flora kule saloon kwake na chakula kingine wakaweza kula yeye na Japhet hapo nyumbani. Jioni ilipowadia Japhet baada ya kuona karibia Shemeji yake (Flora) atarudi hapa nyumbani akaamua kwenda kujifungia chumbani kwake kimya. Huku Rozi naye akiwa kwenye maandilizi ya chakula cha usiku.

Kwenye majira ya saa 1:30 za usiku Flora akawasili hapa nyumbani akitokea saloon kwake. "Yaani nimemmiss kweli Japhet natamani nimuone kila muda, kumkosa kumuona mchana kutwa kwangu ni adhabu kubwa" alijisemea Flora wakati akiingia ndani ya nyumba. Alipofika sebuleni akumkuta Japhet tofauti na mategemeo yake alitegemea labda angemkuta hapo anaangalia TV akaamua kwenda jikoni kumuuliza Rozi. Baada ya kufika jikoni akasalimiana na Rozi halafu akamuuliza: "Eti Shemeji Japhet yuko wapi?" Flora alimuuliza Rozi.

"Alikuwa yupo sebuleni anaangalia TV baadae nilimuona anaingia chumbani kwake" alijibu Rozi. "OK basi ngoja nikamuone hukohuko chumbani" alisema Flora na kuelekea chumbani kwa Japhet. "Yaani huyu mwanamke haoni hata aibu kutembea na Shemeji yake!?, mimi ananikera" Rozi alisema moyoni mwake huku akisonya. Wivu tayari ulishaanza kumvaa Rozi baada ya kumuona Flora amerudi hapa nyumbani. Flora akafika hadi kwenye mlango wa chumbani kwa Japhet na kuanza kubisha hodi. "Yaani huyu kijana Jana usiku amejua kunikuna kiukweli, na usiku huu wa leo lazima anikune tena niufaidi Utamu wake" alijisemea moyoni Flora huku akitabasamu na kumsubiri Japhet aje kumfungulia mlango. Mikononi mwake alikuwa amebeba mfuko Mkubwa wa Plasitic wenye zawadi alizomnunulia kijana Japhet ambaye ni Shemeji yake.

Japhet naye akiwa amejilaza kitandani aliweza kuisikia hodi hiyo ikibishwa hapo mlangoni kwake ikabidi anyanyuke kitandani na kwenda kufungua mlango.

"Nahisi Shemeji atakuwa amerudi" alijisemea moyoni Japhet huku akiufungua mlango huo. Na kweli Mara baada ya kuufungua mlango macho yake yakapata kumuona Shemeji yake Flora amesimama hapo mlangoni huku usoni mwake akiwa amejawa na tabasamu.

"Ooho Shemeji kumbe umerudi karibu sana" alisema Japhet huku na yeye pia akitabasamu. "Nimeshakaribia Shem wangu yaani nilikumiss sana baby, nimefurahi kukuona vipi uko poa?" Flora alimuuliza Japhet. "Mimi niko poa sijui wewe" Japhet alijibu. "Kama unavyoniona ndio nimerudi kufuata Yale mambo yako ya usiku wa Jana uliyonifanyia" alisema Flora huku akimrembulia macho Japhet. Wakati Japhet akiwa bado yupo anashangaashangaa hapo mlangoni akajikuta anasukukumiziwa kwa ndani na Shemeji yake huyo (Flora) na halafu mlango ukafungwa kwa ndani na Flora.

"Shemeji vipi tena mbona sikuelewi!?" Japhet aliuliza kwa mshangao.

"Usihofu utanielewa tu taratibu" alisema Flora huku akiketi kitandani kwa Japheti
πŸ“šπŸ’¦πŸ–‹οΈ
Soma mpaka mwishooo kwa sh 1000
Njoo WhatsApp 0781858056.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

π•Ύπ–Žπ–’π–šπ–‘π–Žπ–Ÿπ–Ž: π’π‡π„πŒπ„π‰πˆ π”πŒπ„πˆππ†πˆπ™π€ πŠπ–π„π‹πˆ 𝐀𝐒𝐒𝐒𝐇 πŸ”žπŸ“š *SEHEMU YA NANE { 08 }* _Tulipo ishia_ πŸ“š kuoga wakiwa wamekumbatiana kwa Mahaba  >>> https://gonga94.com/semajambo/simulizi-shemeji-umeingiza-kweli-asssh-sehemu-ya-nane-08-_tulipo-ishia_-kuoga-wakiwa-wamekumbatiana-
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Afande sele ft Belle 9 dini tumeletewa
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

LUVIE binti wa malaya

majario rewards 100 Comments 0
 

A.J.A.D SE03 EP02

majario rewards 100 Comments 0
 

Simulizi: MAPEPE **

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest