“Nilipopata dola milioni moja kwa mara ya kwanza kupitia muziki wangu nilikuwa na furaha sana na nikasema acha niitumie haraka. Kitu cha kwanza nikanunua studio kwa ajili ya kurekodi ngoma za wanamuziki wengine na zangu endapo tu nitakuwa sina kitu.
“Nilitumia dola laki mbili na nusu kwenye hiyo studio kwa ajili ya kununua vifaa vyake. Nikampa mama yangu dola laki moja na nusu, pia baba yangu dola laki moja na nusu. Na nikawapa kaka zangu dola elfu ishirini na tano kila mmoja ili wafanyie biashara zao.
“Demu wangu alipojua hayo, ikabidi anifuate na kuniomba dola laki mbili. Nikajikuta nacheka tu na kumpa dola elfu tano kwa sababu siwezi kumpa mwanamke zaidi ya asilimia mbili ya kile nilichokiingiza. Akaamua kuniacha, wala sikuhuzunika kwa kuwa niligundua alihitaji pesa zangu zaidi kuliko kunipenda mimi.
“Ukweli ni kwamba, kama unataka kuwa tajiri, inabidi uwe mkali sana kifedha na hawa wanawake wa kisasa.”
AKON.
Endelea kunifuatilia kwenye channel yangu kwa kubonyeza link hapo chini...
https://whatsapp.com/channel/0029Vaj2egfCRs1iDmk7Bt1W.