1 - Alicheza mechi zote Sita (6) za Hatua ya Makundi & Mechi mbili (2) za Robo fainali dhidi ya Al Ahlyπͺπ¬
Hakufanyiwa Sub hata mara mojaβ Alicheza Dakika zote katika mechi zote 8
Fitness yake ipo juu β
2 - Upigaji wa Krosi (50%)
Amepiga Krosi 14 katika mechi 8
Krosi 7 Zilifikaβ
Krosi 7 hazikufikaβ
3 - Kushindania Mipira ya Juu (73%)
Ameshindania mipira 11, Ameshinda mipira minane (8)
4 - Kushindania mipira ya Chini (57%)
Ameshindania mipira 51, Kashinda mipira 29
5 - FAULO
Amecheza Faulo 8 na yeye amechezewa Faulo 7 kutokana na uwezo wake mkubwa kukokota mpira
Β©οΈTakwimu kutoka kwa Ramadhan Mbwaduke.