}*
_Tulipo ishia_ π
mbaya zaidi ni kwa mke wa kaka yangu" Japhet alijisemea kwa huzuni.
*Endelea nayo* π
Wakati akiendelea kuyawaza hayo hapo kwenye ngazi alipokuwa ameketi Mara akasikia mlango wa kule chumbani kwake ukifunguliwa na Rozi akapata kutokea ukumbini na kuanza kuja huku uwani alipokuwa Japhet. Rozi alikuwa anakuja kwa mwendo wa taratibu huku akivifunga vifungo vya blauzi yake aliyokuwa ameivua kule chumbani kwa Japhet. "Naona umeamua kunikimbia kabisa, hii maana yake hauna tena shida na Penzi langu si ndio enhe?" Rozi alimuuliza Japhet huku akiwa amejishika kiuno chake kuonyesha amechukizwa.
"Hapana sina maana hiyo Rozi, nilisema subiri kwanza Shemeji aondoke halafu ndio tutafanya hayo mambo naona mwezangu kama vile unalazimisha" alisema Japhet. "Haya poa baba, basi tufanye yameisha lakini naomba ujue usiku wa Jana nimeteseka sana juu ya kulikosa Penzi lako Japhet nakupenda" alisema Rozi kwa hisia Kali za mahaba.
"Hata mimi nakupenda sana Rozi, Jana ni Bahati mbaya tu ile imetokea kufanya mamboz na Shemeji, lakini sikupanga kabisa itokee vile" Japhet alianza kujitetea hapohapo kwa Rozi. Kabla hata Rozi ajasema chochote Mara ghafla Flora akatokea hapo uwani akitokea chumbani kwake kuonyesha sasa ndio anaamka.
Flora akiwa amevaa kanga moja tu mwilini mwake huku akionekana ni mchovu kupita kiasi kutokana na ile shughuli pevu ya usiku wa Jana yake waliyoifanya baada ya kufika hapo uwani Flora akamuangalia sana Japhet halafu akatabasamu na kumkonyeza kimtindo. "Vipi Shemeji habari za asubuhi?" Flora alimsalimia Japhet huku akimrembulia macho yake mazuri yaliyotoka usingizini.
"Za asubuhi safi tu Shemeji, vipi na wewe umeamkaje?" Japhet alijibu salamu hiyo huku akimuonea aibu Shemeji yake huyo.
"Mimi nimeamka vizuri tu kama hivi unavyoniona" alisema Flora kwa mapozi.
Baada ya hapo Flora akamsalimia Rozi ambaye alionyesha hana uchangamfu kabisa lakini Flora hakuweza kujua ni nini kilichomfanya binti huyo apoteze huo uchangamfu wake. Rozi huku akiwa na fukuto zito la chuki dhidi ya bossi wake huyo (Flora) kwa kulivamia Penzi lake na kijana Japhet. Lakini ndio hivyo tena hakuwa na uwezo wa kumfanya kitu chochote kwani Flora alikuwa ameshika mpini kwa kuwa yeye ndio bossi na Rozi yeye ndio alishika makali kwa kuwa ni mfanyakazi wa ndani tu hapa nyumbani.
Japhet akaingia chumbani kwake na kuchukua mswaki pamoja na sabuni halafu akaingia zake bafuni kuoga ili kujisafisha mwili wake. Flora naye akarudi chumbani kwake kuendelea na mambo yake mengine. Huku Rozi yeye akiendelea na kufanya kazi zake za hapo nyumbani kama kawaida. Akiwa kule bafuni anaendelea na kuoga kijana Japhet akapata kujiapiza kabisa ndani ya moyo wake kuwa hatorudia kufanya mamboz tena na Shemeji yake (Flora) ili kuilinda heshima ya kaka yake Lukasi aliyopo safarini. "Kutenda kosa sio kosa, Bali kurudia kosa ndio kosa" Japhet alijifariji na misemo ya wahenga wa zamani huku akijitiririshia maji mwilini mwake. Baada ya kumaliza kuoga Japhet akatoka na kurudi chumbani akajikausha maji na kuvaa nguo zake vizuri sasa akawa anasubiria kunywa chai tu. Flora kama alijua vile kwani aliikumbuka vyema ile kazi nzito aliyoifanya kijana huyu (Japhet) ya kumridhisha yeye kimapenzi.
Hivyo Flora akajitoa kwa kila kitu kumfurahisha Japhet akamuandalia chai nzito ya maana yenye mapochopocho ya kila aina. Japhet naye akujivunga kabisa alijichanganya na kuishambulia chai hiyo na kufidia nguvu zake zilizopotea Jana yake kwa Yale makasheshe yaliyofanyika.
Baada ya kumaliza kunywa chai Rozi akaviondoa vyombo mezani hapo huku akiwa amenuna na maumivu yake moyoni juu ya Japhet kufanya mamboz na Flora.
"Yaani Shemeji Jana umejua kunikuna hapa nilipo najihisi mwepesi najisikia raha kiukweli, natamani kila muda kama vile tufanye tena" alisema Flora huku akiwa anatabasamu. Tayari alikuwa ameshanogewa na michezo aliyofanyiwa na Shemeji yake Japhet. Kwa upande wa Japhet mwenyewe alikuwa anaumiza kichwa na kupanga ni njia gani ataweza kuitumia ili kumkwepa huyu Shemeji yake (Flora) anayeonekana kuanza kumganda kama vile Ruba. "Natamani hata kaka yangu arudi leo kutoka safarini jamani" Japhet alijisemea moyoni kwa huzuni.
Baada ya hapo Flora akajiandaa vizuri na kuondoka kulekea Saloon kwake lakini kabla ajaonondoka akamfuata Japhet na kumpa kiasi Fulani cha Fedha halafu akamwambia: "Hiyo ni shilingi Laki moja Shemeji Japhet utanunua chochote unachotaka, nakupatia kwa kazi nzuri uliyoifanya mwilini mwangu Jana usiku, nakuahidi kama utanifanyia makubwa zaidi ya Yale nitakupa pesa zaidi ya hiyo hapo" alisema Flora huku akimshikashika Japhet kwa mahaba. "Lakini Shemeji unanipa hiyo pesa ya nini? Jana ile ni Bahati mbaya tu imetokea usifikiri itajirudia tena hapa nilipo najuta sana" Japhet sasa aliamua kufunguka.
"Eti unasemajee? sikiliza Japhet kwa kile ulichonifanyia usidhani nitakuacha kirahisi rahisi tu, na kingine ngoja nikuambie kama unataka kuishi humu ndani kwa raha basi utafuata vile ambavyo mimi nataka vingenevyo utaniona nuksi" alisema Flora kwa kujigamba flani hivi. Japhet alichoka hoi akutegemea kabisa kama Shemeji yake atakuja kum'badilikia hivi! "Lakini hebu angalia kwanza kile tulichokifanya Jana ni sahihi kweli, na kaka yangu akija kujua je unafikiri nini kitatokea?" Japhet alihoji.
"Japhet hebu acha ushamba zingatia hiki ninachokuambia vinginevyo utapata taabu sana humu ndani kuhusu huyo kaka yako niachie mimi, naomba utambue kuwa tayari nimeshakupenda sasa sitaki uniudhi" alisema Flora na kumkabidhi Japhet zile Fedha kwa lazima halafu akaondoka. Alipofika kwenye mlango mkubwa wa kutokea nje Flora akageuka na kumuambia Japhet hivi: "Na usiku wa leo tena nitautaka Utamu wako Shemeji" alisema Flora huku akitabasamu na halafu akampa Japhet busu la mbali na kufungua mlango akaondoka zake.
Japhet alibakia pale sebuleni ameduwaa kama vile amepigwa na Bomu. "Hivi huyu Shemeji yupo sawa kweli kiakili?" Japhet alijiuliza huku akiketi kwenye kochi na kuziangalia zile fedha alizopewa.
"Hapa sasa nimeshalikoroga bado kulinywa tu, cha kufanya niondoke haraka sana nirudi zangu Dodoma hata kaka simsubiri arudi nitampigia simu juu kwa juu kumjulisha kuwa nimeshaondoka hapa kwake" Japhet alijisemea moyoni. Mara ghafla akaja Rozi hapo sebuleni akitokea jikoni na kuja sebuleni hapo.
"Sasa baby Shemeji yako ameshaondoka kwahiyo naomba unipe Yale mambo matamu uliyoniahidi kunipa" alisema Rozi kwa madoido huku akimfuata Japhet na kumkalia juu ya mapaja hapo kwenye kochi. "Rozi naomba uniache tafadhali hapa nilipo sina hisia yeyote kabisa juu ya hicho kitu nimevurugwa" alisema Japhet kwa msisitizo. Rozi akacheka kwa dharau halafu akasema: "Japhet hebu acha mambo yako, ina maana Jana ndio ulinionjesha tu halafu ndio aunitaki tena?" Rozi alimuuliza Japhet huku akiivua blauzi aliyoivaa na madodo yake mazuri yenye chuchu za kuchongeka kama msumari yakapata kuonekana.
"Rozi nini unafanya? nimesema sina hisia na jambo hilo Eboo!" Japhet sasa aliamua kufoka kwa sauti. Lakini wapi aikusaidia kitu kwani Mara ghafla akajikuta anavamiwa kwa nguvu mwilini na Rozi hapohapo kwenye kochi.
"Hizo hisia zako unamuwekea Shemeji yako usiku akirudi aje kuzifaidi, halafu unanidhulumu mimi sio enhe?" Rozi aliuliza huku akiupeleka mdomo wake mdomoni kwa kijana huyo ili apate kumla denda. Japhet alijikuta kwenye wakati mgumu sana wa kukabiliana na Rozi ambaye tayari ameshapandisha 'Maruhani' kwa kulitaka 'Gobole' limsurubu kwa lazima. "Rozi hebu naomba uniachie kwanza tuongee mpenzi" Japhet alijaribu kumlaghai Rozi hata angalau apate kumuachia. Lakini Rozi tayari mikono yake ilishazama ndani ya suruali ya Japhet na alishalikamata 'Gobole' la kijana huyo na sasa alikuwa anaangahika kulitoa tu kwa nje ya suruali.
*ITAENDELEA* ππ¦ποΈ
Full story sh 1000
WhatsApp 0781858056.