Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track

BORA BEKI TATU KULIKO DEMU WANGU WA KISUKUMA.. Sehemu ya kwanza.

27th Jul, 2025 Views 69

.

Nipo hapa maskani nimechili, nahisi kummisi sana mpenzi wangu wa kisukuma, kama kuna katoto nakapenda ni hako bana sema duh! haka kademu jau sana.
Au acha nikapigie Kaje geto, muone ukali wake, nachukua hapa simu namba nimesevu my baby, tufe la kupiga nalidondosha, ehee amepokea..
"Hallow, Maraika wangu" nampamba sunajua tena mtu chake.
"Hellow za saizi wa moyo "
"Fresh tu, sema nahisi njaa so poa siku ya tatu sasa" nasema hayo, huku taratibu nikishushia juisi bariiiiidi iliyokuwa mezani.
"Kwanini sasa, unajua naweza kukupoteza"
"Dah! Hata sielewi maana kila napo kula nashindwa kabisa, nimeishi kwa kunywa maji lakini hata juisi nimeshidwa kunywa "
"Mh! Unaumwa au"
"Wala siumwi sema tu, kwasababu yako"
"Mimi tena "
"Ndio"
"Kivipi sasa"
Waooo hapo sasa toto la kisukuma limejaa kwenye mfumo, acha ninywe mafunda kadhaa ya juisi kulainisha koo.
"Kwahyo hujui"
"Ndio"
"Naomba unisaidie"
"Nini sasa"
"Njoo nyumbani unisaidie kula kipenzi, maana nimenunua chips zimenishinda kabisa, naomba uje basi maana kama ukila nikiwa na kuona lazima hata mimi hamu ya kula itakuja suna jua tena"
"Ila wewe Mkaka"
"Ee kipenzi, si unajua tena wewe ndio hamu yangu "
"Sasa shida nipo mbali kipenzi ningekuja "
"Upo wapi?"
"Nipo Mlimani city"
"Ahaa hapo boda boda si buku tatu kufika"
"Ee, sasa unadhani nimetembea na heka basi"
"We panda boda boda njoo, nalipia"
Leo mtoto apangui lazima aje nimzagamue, nani kasema mimi nina huruma bana, acha alete tamu yake niitamue na kujilamba.
"We Dastan wewe mbona hivyo lakini"
"Sio mimi ni njaa, au unadhani nakutania siku tatu nimeshindwa kula" taratibu nikainuka na kusogea ilipo kabati nikatoa kipande cha mkate na kuendelea kushibisha tumbo huku mtoto wa kike namkaseti nakufa njaa, ila mapenzi bana.
"Duh! Sawa kwahiyo nikija unakula"
"Ee ukija tu nakula" Hapo nawaza nitakua mara mbili nitaanza kula kisha nile tena.

"Mh! Haya nakuja, ngoja nichukue boda"
"Sasa mlimani city ulienda kufanya nini"
"Nilikuwa kwa Anitha nilienda kusuka"
"Ohooo, ok sawa njoo unisaidie "
"Sawa"
"Nakupenda"
"Nakupenda pia"
Nakata simu kisha nafungua mlango na kulala zangu baada ya kumalizia mkate wangu, kabla sijajifunika shuka ili nijilegeze, taratibu nasogea ilipo friji nafungua na kukutana na mafungasho mawili ya chips.
Kabla hata sija lala mara hodi, duh! Toto hilo, chap kitandani na kujilaza kisha nikalegea mwenzenu sina nguvu, Yani leo mtoto havuki miaka mitano yote hajanipa dodo leo na Lila.
"Fu-fungua mlango upo wazi"
Nasema hayo huku nikiutazama mlango kivivu kinoma kama mgonjwa, toto la kisukuma hilo, linazama ndani.
"Pesa ya boda boda "
"Hapo kwenye meza"
Mtoto anachukua elfu tatu, kisha anatoka nje na kurudi ndani,
"Ehee, mbona hali hiyo tena,"
"Nahisi kufa"
"Kwanini "
"Njaa"
"Duh! Pole sana, nikadhani muongo acha nipike chapu ule"
"Wala usijisumbue kuna chips "
Taratibu akafungua friji na kukutana na chipsi pakiti mbili, mara juu ya friji grass ya juice.
"Mh! Kama imejitahidi kunywa juisi angalau"
"Hata sijanywa mimi, alikuwa hapa Ema, ndio amekunywa"
Toto la kisukuma likaamini, huyu shemeji yenu nampenda sana sema mgumu wa kutoa tamu yake nile eti hadi ndoa.
Mtoto akatenga nikala nikamaliza chips yote,
"Duh, kweli ulikuwa na njaa"
Alisema hayo huku akiniweka na chips yake, nikajifanya kama siku tatu sijala kwa sababu yake na chips yake nikaila.
"Nini sasa"
Kaka anza kulalama baada ya kukashika kidogo.
"Ahaa! Nini tena jamani"
Mie siongei naendelea kuchezea mapaparazi yake yalikuwa yamesimama kifuani, na kufanya kumtamani sana.
"Ohosssssss, acha basi" akaendelea kujisemesha huku akionekana kulegea.
Sasa hapa simuachi..
Unataka kujua nitakacho mfanya na vile nilikuwa namtamani kitambo, amekula chips nimemshika kalegea leo nakula dodo.
Usikose sehemu ya pili uone nitakacho kifanya mpaka wewe uone wivuπŸ˜‚..

Lakini kama unataka kusoma simulizi hii mpaka mwisho hakikisha umefolow Chanel hii Whatsapp.. *HISTORIA ZA KWELI....*
Gusa link hapa kisha ukifika follow baada ya muda nitaleta mwendelezo mpaka finali buleeee.
Gusa hapaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

https://whatsapp.com/channel/0029Vb6oDLRKWEKtFfuDUd3l/1224.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

BORA BEKI TATU KULIKO DEMU WANGU WA KISUKUMA.. Sehemu ya kwanza.  >>> https://gonga94.com/semajambo/bora-beki-tatu-kuliko-demu-wangu-wa-kisukuma-sehemu-ya-kwanza
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

gonga94 official track
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
offa ya msimu wa nanenane
offa ya msimu wa nanenane

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

LUVIE binti wa malaya

majario rewards 100 Comments 0
 

A.J.A.D SE03 EP02

majario rewards 100 Comments 0
 

Simulizi: MAPEPE **

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest