********
********
Jina halisi niliitwa Husein Semdohe japo wengi walipenda kuniita Mgosi Kipepe... Hii ni kutokataka na Mwili wangu kujazia hasa sehemu za kifuani na pia sikuwa mtu wa kuchelewesha mambo.. Hasa mtu akinikwaza basi huwa namalizana nae hapo hapo kama ni kumpiga nitampiga au kama nikumwambia basi nitamwambia ukweli.
Hali ile ilikuwa ikiwaridhisha watu wengi kwasababu sikupenda kudanganya hata kidogo na nilipenda kusimamia ukweli na uaminifu muda wote pale kijijini..
Nilikuwa nikipata dili nyingi hasa za kuuza maduka ya watu au hata kusimamia mashamba au mifugo ya watu na kulipwa...
Kwa hapa kijijini kwetu Mlalo wilaya ya Lushoto tanga nilikuwa ni mtu wa aina yake sana..
****
Jioni ya leo nikiwa naelekea nyumbani baada ya kutoka kwenye mizunguko yangu..
Nilishangaa sana kuona nyayo za Matairi ya gari ikielekea nyumbani. Lilikuwa jambo la Nadra sana kutokea kwasababu kwanza magari yalikuwa machache sana pale kijijini..
Niliongeza mwendi hadi nyumbani.. Kweli nilikuta gari nzuri nyeusi na yenye vioo vyeusi imepaki njee ya nyumba..
Nilipita na kuingia sebuleni nikiwa na shauku ya kujua ile gari ni mali ya nani na kwanini ipo pale nyumbani...
Nilimkuta mama amekaa na mama mwingine wa umri kama wanalinga hivi.. Walikuwa wakipiga story huku wanacheka sana..
"" " Shkamoni.. Niliongea na kupita ili nielekea chumbani kwangu..
Nyumba yetu ilikuwa ya nyasi lakini ilikuwa na ukubwa fulani na ilikuwa na vyumba kama vinne na sebule kubwa tu..
" "" Marahaba Mwanangu.. Mbona unaharaka.. Hembu njoo ukae hapa.. Aliongea mama...
"" "" Huyu ndio yule mama rafikiangu niliekwambia nilisomaga nae shule ya msingi ila kwasasa ameolewa hukoo Dar..
Aliniomba sana nimsaidie kijana wa kazi kutoka huku Lushoto..
Wengi aliokuwa akiwapata pale kwake walikuwa wakimuibia..
Kaomba ukamsaidie na atakulipa vizuri mwanangu.. Atakupa malazi na chakula kizuri pia..
Huyu ni sawa na Mama yako kwahiyo kila ulitakalo atakupatia mwanangu sawa..
Ukimuona huyu ni sawa na umeniona mimi...
Aliongea Mama huku ananitazama..
Kiukweli muda huo nilikuwa na furaha isiyo ya kifani baada ya kupata nafasi ya kwenda Dar kwa mara ya Kwanza tena kufanya kazi kwenye Familia ya kitajiri kama ya yule mama...
"" "" " Haaaaahh. Mama mimi nimekubali kwasababu nahamu sana ya kuijua Dar tangu zamani.
Nadhani nilikwambiaga mama kuwa ikifika mwakani kama sina kazi ya kudumu hapa kijijini basi ningetoroka kwe Dar..
Basi kwasababu Mungu kafanya wepesi na nimepata kazi nzuri basi napaswa niende tu mama..
Niliongea huku nafurahi sana.. Hali ile ilimfanya yule mama mgeni ainuka na kuja kunishika mkono.
"" "" Basi naomba ujiandae ili kesho mapema tuanze safari...
Aliongea yule mama mgeni huku anatabasam sana..
Nilitoka jioni ile na kwenda saluni kwanza kunyoa nywele na kuchonga vindevu vyangu kisha kurudi nyumbani na kufua baadhi ya vinguo vyangu na kujiandaa vyema kwa safari ya kwenda jijini Dar...
********
Kweli asubuhi sana kesho yake niliamka na kuoga kisha kuvaa vizuri na kutoka sebuleni. Nilikuwa wakwanza kuamka kwa pale nyumbani.
Saa kumi na mbilia na madakika yule mama alikuja na gari lake kisha kupanda...
Nilikaa siti ya mbele kwasababu tulikuwa wawili tu. Mabegi yangu niliweka kwenye siti ya nyuma..
Mama alituaga na safari ilianza tukiwa na furaha sana..
Yule mama aliendesha gari hadi tukafika Lushoto mjini.. Alipitia dukani na kuchukua juice kubwa na biskuti kubwa moja pia..
Alirudi na safari iliendelea.. Sikuwa najua tena ni wapi tunaelekea kwasababu sehemu ya mwisho mimi kufika ilikuwa ni Lushoto mjini.. Hata tanga mjini sikuwahi kufika...
Yule mama alikuwa akiendesha gari huku tunapiga story na kucheka mno mule ndani ya gari..
Gari lilitembea hadi tukafika barabara kubwa ambapo tulianza kukutana na magari makubwa kama semi trela na magari ya Mafuta..
"" " Mgosi... Hapa tumeingia barabara kuu sasa.. Huwa napenda kujiachia tu nikiwa naendesha ili nisije kusababisha ajali..
Aliongea yule mama na kunyanya juu Gauni aliyoivaa...
Miguu na Mapaja yote yalikuwa wazi...
" "" Uuuhhhh.. Hapa kidogo naweza kukanyaga gia vizuri.. Aliongea yule mama huku ananitazama kwa kuibia fulani..
Ki ukweli nilijikuta namshangaa sana yule mama kwa kukosa kujiheshimu mbele ya kijana mdogo kama mimi...
Ile kauli ya kuwa wamama wa mjini kuwa wanatembeaga na vijana ndio nilianza kuamini..
Nilikuwa nawaza tu huku natazama Mapaja ya yule mama kwa kuibia....
"" "" Kuwa huru Mgosi... Hata usijali.. Hii ni migu tu hata isikupe shida.. Na hapa tupo wawili tu. Hakuna anaeweza kuniona zaidi ya wewe tu...
Aliongea yule mama na kunitazama kwa jicho legevu huku anaendelea kuendesha gari...
ITAENDELEA....
Soma full kwa sh 1000
WhatsApp 0743433005.