Mlinzi alifanikiwa kuvunja mlango akiwa na jirani,mimi hali yangu ilishaanza kuwa mbaya😔😔😔😩wakakodi usafiri wa kuweza kunifikisha hospitali,wasingeweza kuwasubiri Hakim na mama mkwe👐mimi nilifikishwa hospitalini nikiwa nisitambui😔😔yaani nilizima😔😔😔walianza kunipatia matibabu ili kuokoa maisha yangu,nilizimia kwa muda wa siku mbili ndio nikapata fahamu....nilikuta sina tumbo😩👐 kwani nishajifungua au....!?🤭🤭🤭nilikuwa na maumivu balaa😔😔😔mama mkwe pamoja na mama yangu mzazi walikuwepo(mama alikuja kutokea tanga) walinipa pole na hongera 😔😔😔sasa mtoto yuko wapi jamani🥺🥺🥺maana simuoni hapo pembeni yangu😔😔😔😔😔
Nilipata wasiwasi sana ya kuwa nimepoteza mtoto wangu😭😭😭na huu ni uzembe wangu kupanic na kujipa presha wakati niko na hali ya ujauzito, nilitamani waongee chochote basi nijue 😔😔😔 nilijikaza na kuwauliza mtoto wangu yupo kweli......!?
"Ndio mwanangu,umejifungua mtoto wa kike,amewekwa chumba kingine kwa uangalizi maalumu,maana ana changamoto kidogo hivyo usijali na hongera sana.....pia ilibidi wakufanyie operation haraka maana ulikuwa na hali mbaya wamejitahidi kuokoa maisha yako na mtoto pia" mama mkwe aliniambia
Kidogo roho ilitulia😔😔😔
Baadae dokta akaja pia na kuniambia hayo hayo,nilichoshukuru tu mtoto wangu yupo🙌maana nilishaanza kuogopa mimi 😔😔😔Hakim alikuja pia akanipa pole na hongera zangu,sikuweza hata kumjibu.....rohoni nilikuwa nimekabwa na hasira....namtamani nimchape makofi🤸🏻♀️🤸🏻♀️🤸🏻♀️ nikipatiwa huduma baada ya siku kadhaa niliruhusiwa kurudi nyumbani,tukaenda kwa mama mkwe kwanza.....nikae siku kadhaa, mtoto wetu tukampa jina Hilda❤️🔥❤️🔥❤️🔥nikasema ngoja niwe sawa tu siwezi zinguana na huyu mtu mbele ya kina mama nipate nguvu halafu ndio nimuwashie moto🤣🤣🤣basi wakina mama wakawa wananiuliza kilichofanya niende kule nyumbani kwetu ni kipi...!? Naona sasa nimepatwa na uchungu naishia kuharibu vitu🤣🤣🤣 nilikosa cha kuwajibu,niliwadanganya tu kuna kitu nilikifuata na nilihisi ningeaga ningekatazwa, hivyo wanisamehe tu😅😅😅wakina mama wakawa wananambia nisirudie🤭Hakim alibaki kama hana amani🤣🤣🤣 atajiju yaani ngoja 😁🤭🤸🏻♀️na hakuniuliza chochote japo nilihisi kajua kila kitu🤔🤔🤔nami nikasema navunga kwanza🤸🏻♀️🤸🏻♀️🤸🏻♀️
Sikutaka kukaa sana kule kwa mama mkwe hivyo niliamua kurudi kwangu baada ya mwezi,maana Hakim aliniambia Joel anahitaji kurudi hivyo anaenda mbeya kumfuata mimi nae nilirudi rasmi kwangu ,mama akarudi Tanga...... kule kwangu nikakuta Hakim ameshanunua vile vitu nilivyoviharibu🙈🙈🙈na kile chumba ambacho nilikuwa nalala mimi alikiwekea wallpaper na akakipamba vizuri kuwa cha mtoto💋💋💋kilipendeza sana kile chumba, nikasema hapa nitakuwa nalala naye mwanangu yaani sihitaji niende kulala na Hakim 😏😏😏namchukia kumbe mimi nalea mimba yeye huko ananiseng'enya na mademu zake😔😔🙌ile simu sikutaka iangalia tena ila tu nilijitumia vitu vyote vya mule kama ushahidi kisha nikaizima🤣🤣🤣nisije zidisha presha bure mimi🤣🤣🤣niliizima vile vile 😩😩😩 nangoja aniulize niuwashe moto🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nae hata haniulizi mimi sipendi anavyokaa kimya🥲🥲🥲
Joel akawa ananisaidia kazi zote jamani,sikuwa nagusa kazi labda kumuogesha mtoto na vingine vidogo vidogo🥰🥰🥰
NO.14
Nilillanza kulala na mwanangu tu kwenye kile chumba chake🥱🥱🥱siku nne mfululizo,Hakim uvumilivu ukamshinda akaamua aongee🙆🏻♀️🙆🏻♀️🥱
"Kulthum naomba tuongee"
"Nakusikiliza"🥱
"Kwanini umeamua kulala huku na mtoto wakati kipindi kama hiki mtoto anakuwa anasumbua sumbua mara alie, unahitaji msaada wangu lakini unaamua kulala mwenyewe,unataka nionekane mwanaume wa aina gani kwako,siwajali au...!?''
"Mbona sijawahi lalamika juu ya hilo,nayamudu"
"Sawa, lakini nami nahitaji nishiriki kwenye malezi ya mtoto"
"Kwani haushiriki au ni nini unasema ambacho mimi sikielewi?"🥱
"Sikatai hiki ni chumba cha mtoto.... ambacho kinaweza tumika mchana na wakati ambao atakuwa amepata ufahamu wa kulala mwenyewe,hivyo kwa sasa twaweza kulala wote chumbani kwetu na.sio wewe kulala humu na mtoto pekee "
"Kuna ubaya mimi kulala huku kwani...!? Halafu kumlea na kumbembeleza hivyo sioni usumbufu wowote wa kuwa mwenyewe "
"Kulthum kwani umenikasirikia?"
"Kisa....!?"
"Kitendo kuhama chumbani kwetu unamaanisha nini?"
"Nakuwa sikuelewi🤔 nimekasirika au nimeamua kulala huku tu "🤔🤔🤔
"Sawa,unaweza niambia kwanini ulikuja nyumbani kufanya uharibifu...!? Ilhali hatujakosana chochote,ukaondoka kimya kimya....!!!"
"Hahaha jamani ebu niache sitaki kuongea kitu"
"Kulthum.....!!!! Hivi unanijua vizuri wewe binti?"🤔
"Kheeee na wewe unanijua vizuri mimi?"
"Tunabishana kwani?"
"Wala hatubishani....ebu rahisisha mambo kwanza.....nenda kwenye point"🥱
"Ulikuja nyumbani kufanya uharibifu kisa nini....!!!? Naomba uniambie sababu ya msingi...maana umevunja vitu vingi.....umeona haitoshi umevunja PC yangu hujui nilikuwa nimehifadhi nini...! Hivyo naomba unipe sababu za msingi sana"
Nilimpandisha na kumshusha🙄😏kisha nikamjibu,
"Unataka niambia kuwa hujui sababu? kwanini lakini unajifanya hujui....!?🥱haya basi nimevunja sababu nimegundua unanicheat...umeridhika...!?"😏
"Unasemaje wewe....!? nimekucheat na nani?"
"Bado unataka nikuelezee kitu unachokijua???"
"Kulthum niko serious sipendi ujinga ujue....usitake kujua Hakim ni nani kiundani"
"Bhana uwe hakim uwe jaji sijui mahakama usinitishe,yaani unicheat bado uanze nifokea......afu unaniuliza nimekucheat na nani? Kwani wapo wengi huwakumbuki au...? ngoja nikuonyeshe basi maana hapo unajikuta mimi nakusingizia "
Niliitoa ile simu alionyesha kushangaa🙄kwani hajui ninayo au😏
"Nipatie hiyo simu"bila hiyana nilimpatia🤣🤣🤣🤣🤣si mavitu yote nishajitumia kuanzia chat niliziscreenshot na voice note nilijifowadia,akawa anazunguka zunguka hapo chumbani mimi kimya🤣🤣🤣🤣yaani simjali hata🥱🥱🥱akatoka pale chumbani yaani kama kavurugwa hivi🤸🏻♀️🤸🏻♀️🤸🏻♀️ akwendreeee tu bhana😂🙌nikabaki kucheza na mwanangu😤😤😤kwanza kanipa maumivu makali sana yaani sijui nitampa pigo gani na yeye😶🌫️😶🤒🤕ahisi yale maumivu niliyoyapata mimi😤😤😤
Alirudi baada ya masaa mawili akiwa na ua💐na kunipatia,
"Pokea mke wangu please"🙏
"Ni lanini?"
"Nimekupa tu kama zawadi....pia nahitaji kuongea na wewe tena"
"Mmmh....niambie kwanza ndo nijue nalipokea au vipi"
Mpenzi, natamani kuwe na njia ya kukuonyesha hatia iliyo ndani yangu. Siwezi kukukosa ninakuhitaji. samahani sana. Tafadhali naomba unisamehe🥲naahidi haitatokea tena......🥺🥺🥺
Wewe ni furaha yangu😔😔wewe pekee ndiye uliye na ufunguo wa moyo wangu❤️🔥❤️🔥🙌 samahani sana kwamba nilivunja uaminifu wangu kwako. Tafadhali naomba unisamehe. Nilifanya makosa makubwa kwa jinsi nilivyofanya. Ninaahidi haitatokea tena😢 ninaelewa kuwa njia pekee ambayo wanandoa wanaweza kupata furaha ya kweli ni kupitia upendo wao kwa kila mmoja. Ikiwa nitakuletea furaha, mpenzi wangu, tafadhali ukubali msamaha wangu wa dhati......sitorudia yale niliyoyafanya..... nisamehe KULTHUM wangu"🙏🙏🙏
"Vizuri, niambie na sababu za msingi tano zilizofanya unicheat.....ilhali wewe mwenyewe ulikiri ulifanya mpango na baba yangu unioe,uliniahidi kuwa unanipenda 🥺🥺🥲ukanifundisha kupenda na kulinda penzi letu,kipi kimefanya tena urudi kwa ex wako,...!? Yaani mara mia ungenisaliti na huyo mmoja imagine na ex wako......kwamba leo ndio amekuwa bora tena....!!!?"😢😢😢
"Sina sababu yoyote ile"🙏🙏🙏
"Sawa si sababu mimi ni punda wako sina cha kufanya,kwetu walishindwa nithamini utaanzaje wewe nithamini.....!!!?hayo mauwa mimi wala siyataki nenda tu kawapatie my zako🥲🥲🙏 niache tu"
"KULTHUM sasa mimi niongee nini....!?😢😢😢 Anyway ukijisikia kunisamehe utanisamehe na ukiona hutaki siwezi kukulazimisha🙏🙏🙏 tuendelee kuishi maisha haya uliyoyachagua"
Imagine jitu limekukosea halafu linakujibu hivyo.....!!!!😢😢😢😢
ITAENDELEAAA
FULL STORY UNAIPATA KWA KULIPIA TSH 1000
NAMBA YANGU YA WHATSAPP NA KULIPIA PIA NI 0715906120 MTANDAO YAS JINA LA USAJILI FLORA.