Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  Pyar Ho Jane Dushman

KAFARA YA CORODANI ZANGU Episode: 01

1st Aug, 2025 Views 11


Mtunzi: ★™Simulizi za Abuu lion
№0685086201

Nikiwa mwanaume rijali, nina uwezo wa kusimamisha mashine na kushiriki tendo ipasavyo, lakini nilishahangaika sana mpaka sasa kila (nikifanya) mapenzi, nikikaribia kumwaga huwa simwagi (shahawa) au (manii), bali huwa namwaga maji maji tu ambayo hayana mbegu yoyote.

Nilijaribu kwenda hospitali kupima na kufanyiwa vipimo, nikaambiwa sina (corodani) yaani (mapumbu) yote mawili, hivyo siwezi kuzalisha.

Naishi maisha magumu sana sababu inanipa wakati mgumu mno, lakini chanzo cha matatizo yote haya ni gharama na faida ya (umalaya) wangu.

Kuna jimama moja hivi nililokuwa naishi nalo miaka 3 iliyopita, na jimama lile lilinipenda kwa sababu ya ukubwa wangu wa (maumbile). Nilijivunia sana kuwa na (uume) mrefu lakini sikujua kuwa ndiyo chanzo cha matatizo yangu. Hivyo napitia wakati mgumu sana. Mama yule ndiye chanzo cha kuzinyonya (corodani) zangu na kuwa kafara yake ya 16.

Tatizo lilianza corodani zote zilivimba na kuuma. Hata nilipokwenda hospitali, corodani zilikuwepo ila hazikuwa na uwezo wa kutengeneza au kuzalisha mbegu. Na hatimaye tatizo lilizidi kukua mpaka zikaanza kusambaa. Pindi nilipokwenda kujisaidia haja ndogo, nilikuwa nakojoa vipande vya nyamanyama. Mwisho, corodani zangu zilipotea na mpaka sasa hata nikizishika sizioni wala kuzihisi.

Siku ya Alhamisi, nikiwa natokea shambani, jembe langu nimeweka begani huku mkononi nikiwa nimeshika embe lililokuwa limekomaa ila halijaiva, nikiwa nalitafuna taratibu.

Basi, nikiwa naendelea na safari yangu njiani niko peke yangu. Ghafla nilishikwa na haja kubwa tena iliyoshamiri. Nikaona nikatize kwenye shamba la mwanammoja hivi almaarufu kama KAIZAKI, ambaye alikuwa ni mwenyekiti wa mtaa wetu au kijiji chetu.

Basi nilifika na kuvua nguo zangu katikati ya majani ya shamba la mahindi la mzee KAIZAKI. Sasa nikiwa naendelea kushusha mzigo au (kunya), ghafla nahisi kama majani ya mahindi mbele yangu yakicheza. Nikajua huenda mwenye shamba amefika. Nilitetemeka sana maana mzee KAIZAKI alikuwa mbabe na (ameshaua) wezi wa mahindi wasiopungua 8. Sasa nikajiuliza, kama atanikuta nanyea kwenye shamba lake, atanichukuliaje na atanipa adhabu gani mimi?

Nilikaa kwa kutulia huku mapigo ya moyo yakienda kwa kasi. Pembeni yangu kuna lile jembe ambalo nilikuwa nalo begani, huku nikiomba Mungu kama mwenye shamba atakuwa amefika, Mungu aninusuru na kipigo cha mzee huyu.

Basi, nikiwa nimejituliza huku nikikaza macho mbele ambako majani ya mahindi yakicheza, ghafla namuona dada wa makamo akiwa amembeba mtoto mchanga kabisa. Lakini yule dada hakuniona. Nilitulia na kumtazama yule dada ambaye alionekana kuwa na wasiwasi sana. Yule dada akasogea karibu na nilipokuwepo mimi ila bado hakufanikiwa kuniona. Nami nikajificha kama simba akiwa anammendea swala.

Yule dada ni mgeni machoni pangu kabisa, sijawahi kumuona kijijini kwetu. Dada alifika karibu yangu na kupiga magoti na kumuweka yule mtoto chini, kisha yule dada akaanza kulia huku akimtazama mtoto. Nilizidi kumkazia macho, yule dada nione anataka kufanya nini. Ghafla yule dada akaanza kuvuta harufu kwa kufyanta pua yake—harufu ya kinyesi changu ilianza kumchanganya. Ilibidi nikikalie kinyesi ili kukata harufu ili huyu dada asinitambue.

Yule dada hakujali sana harufu ya kinyesi changu. Nilistuka baada ya kumsikia yule dada akisema huku akiwa amemkazia macho yule mtoto mchanga aliyekuwa akicheza, kama unavyojua watoto wachanga. Yule dada akasema hivi huku akidondosha machozi mengi:

"Mwanangu kipenzi, sikuwa na nia ya kukutelekeza hapa ila maisha ndiyo yamenifanya nichukue jukumu hili. Nisamehe sana mwanangu, sina chaguo. Baba yako ameamua kuikataa mimba na kunitelekeza na mimi sina ndugu wala uwezo wa kukulea. Mwanangu, kama utanusurika basi unisamehe sana, na kama utafia hapa basi Mungu akuhifadhi mahali pema. Nakupenda na kwaheri, acha nikatafute maisha..."

Yule dada akambusu mtoto wake na kusimama kisha akaondoka akiwa anarudia kumtazama mtoto wake kwa uchungu sana...

Itaendelea...
Jamani ndiyo kwanza simulizi imeanza, moto haupoi. Ili niiposti mfululizo, naomba like na maoni yenu kwa wingi. Asanteni..
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

KAFARA YA CORODANI ZANGU Episode: 01  >>> https://gonga94.com/semajambo/kafara-ya-corodani-zangu-episode-01
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Pyar Ho Jane Dushman
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CHANZO NI BOSS 03

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CHANZO NI BOSS 02

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CHANZO NI BOSS 01

majario rewards 100 Comments 0
 

MTOTO WA MAMA LISHE

majario rewards 100 Comments 0
 

MY LUNA SEHEMU YA : 06

majario rewards 100 Comments 0
 

NDOA YA MIE ... 8...

majario rewards 100 Comments 0
 

LUVIE binti wa malaya

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest