Nilishtuliwa na sim ilikuwa inaita kutizama muda tayari saa kumi na moja na nusu
Na aliekuwa anapiga alikuwa daddy Henry nikaipokea
Haloo daddy Henry nimesha amka tayari
Alijibu safi haya jiandae na uwahi basi sasa
Nilimjibu ok naenda kuoga chapu kwa haraka
Henry alicheka na kuniambia vizuri ngoja nikate sim nisiku cheleweshe
Niliingia bafuni na kuoga kisha nikatoka na kuvaa na baada ya hapo nilibeba kibegi changu kidogo mgongoni niliweka nguo na laptop yangu
Kisha nilibeba kichupa changu cha juice na niliondoka huku nikinywa napenda sana juice inayo tengenezwa na mamaangu
Nilichukuwa boda sikuwaamsha hata mama nikaondoka mbio na boda hadi stand
Nilipofika nilikuta gari ndio linajiandaa kutoka kulikuwa na siti moja tuu nikaingia na hapo hapo lilianza safari
Niilimtumia msg Henry na kumuambia nipo njiani tayari safari nimeianza
Alinijibu nakutakia safari njema rafiki nakusubilia
Nilijibu asante nitafurahi sana kuwa nawewe hapo
Alicheka na kujibu ok sawaπmimi pia
Kisha nilimtumia msg mama ndio naanza safari kuwa na amani kip.nzi chako kakuwa sasa usiogope
Tulitembea muda kidogo tulifika sehem tukaruhusiwa kuchukua chakula na wenye kwenda kuchimba dawa waende
Nilishuka na kwenda kuchukuwa vitu vikavu kama viazi chips na nyama mishikaki
Kisha nililudi kwenyegari na kuendelea na safari niliingia dodoma mida ya jioni sana
Daddy Henry alikuwa kituoni ananisubilia na gari yake niliposhuka tuu nikamuona
Nilimkimbilia na kumrukia kwa kumuhagi huwezi amini nikama nilijuana nae miaka mingi
Akanikumbatia nae alishindwa kujizuia kisha alinishika mkono na kunifungulia mlango wa gari kisha nikaingia
Akaniuliza umetembea sarama sio
Nilimjibu hakika niko sarama kabisa vipi wewe
Alinijibu niko poa kabisa nilikuwa nimemisi kukuonatuu
Kisha tulicheka kwa furaha πwote tulielekea hotelini alipofikia yeye na kumuomba muhudumu anipatie chumba na mimi
Nilipewa funguo ya chumba ambacho kilikuwa jirani na chumbani kwa Henry
Walinipeleka hadi chumbani na kupakagua na muhudumu kisha muhudumu aliondoka na kuniacha na daddy Henry
Kisha Henry aliniambia haya sasa naomba nikuache ujiandae twende tukale nipo chumba chapilituu
Nilimuitikia sawa kisha aliondoka namimi niliingia bafuni kuoga baada hapo nilitoka nikavaa na kisha nilienda kumgongea Henry
Daddy Henry alinifungulia na kuniambia karibu akaniambia namalizia kuvaa tuondoke
Alitoka kifu.a wazi jamani asikuambie mtu kifu.a chake sasa kinavutia hatari
Alienda na kuchukuwa tishet na kujipulizia mapafyum kisha akaniambia twende tukapate chakula cha jioni
Tulienda restaurant ya hapo hapo hotelini tulikaa na kuletewa menu
Tukachagua na kisha kililetwa chakula tulikula nilikuwa nafuraha mnoo kuwa karibu na Henry
Tulipo maliza tuliludi chumbani Mr Henry aliniambia njoo chu.mbani kwangu tupige story kabla ya kwenda kulala au umechoka sana
Milimjibu hapana niko sawa alini.shika mkono na tuliingia chum.bani kwake tulipofika
Daddy Henry alikaa kitandani mimi nilikaa kwenye sofa na TV tuliwasha
Daddy Henry alianza natamani ningekuwa karibu na binti yangu unanikumbusha yeye muda mwingi anapenda kuwa karibu yangu
Nilicheka na kumuambia chukulia mimi ndio yeye
Daddy Henry alicheka πna kisha aliniambia nimkubwa kwako
Ila sio mbaya nikimkumbuka nitakuwa karibu nawewe tuu kama hivi nampenda sana na dio maana naku.penda sana Lisa
Nilishtuka kusikia hivyo kisha nilijiweka sawa maana nikama kaugusa moyo wangu
Tukaanza kupiga story mbali mbali
Lakini nilikuwa namkwepa kumtizama machoni hata yeye aligundua hilo hivyo alikuwa ananivizia
Akaniuliza Lisa samahani kwa swali unampnzi tayari
Nilimjibu huku nikitizama chini hapana sina mpnzi yaani nilikuwa naona aibu sana niukweli mapigo ya moyo pia yalikuwa yanaenda kasi
Daddy alicheka na kuniambia vizuri ukipata mpnzi utaniambia Daddy wako
Ila kwajinsi ulivyo na aibu hivyo sizani kama utaniambia wewe kisha alicheka Daddy Henry π
Nilimjibu sawa huku nikitizama chini
Henry akaniambia ninafuraha sana hivyo tunaweza kwenda kucheza mziki chini hapo wanapiga live bend
Nilimjibu sawa haina shida nitaenda nawewe
Akaniambia haya nenda ujiandae kisha tukutane hapo chini sawa
Nilimjibu ok sawa nikasimama
Akaniambia jitahidi upendeze sana kuzidi woote wewe nimtoto wa dar bwana
Nilicheka tu πna kuondoka nilienda chumbani nikafungua bag langu na kutoa nguo
Kisha mecap na baada ya hapo nilivaa na kisha nilifanya mecap vizuri na kuvaa kiatu changu kirefu hatari
Na nilivyokuwa mwembamba na kijishep chauchokozi
Niliziachia raster mgongoni gauni nilioivaa ilikuwa fupi sio ndefu hakika nilijua kupendeza sikuhiyo
Nikatoka hadi kule bend inapiga watu walikuwa wengi na walikuwa wanacheza mziki
Nilipofika nili washangaza watu woote waligeuka kutaka kujua nani huyo
Hadi daddy Henry alitoa macho na huku akijisemea hakika binti huyu nimrembo sana
Alibaki akishangaa nilikwenda hadi kwake na kumshika mkono
Alibaki akishangaa nikamuita daddy Henry
Alishtuka na kuniita Lisa
Niliitika naam nimimi Lisa
Alijiongelea mwenyewe ila aliongea kwa sauti bila kujua
Alisema hakika wewe nimrembo sana
Nilismail πtuu na kumshika asante daddy Henry
Alishtuka na kuniambia tunaweza kucheza mziki kidogo
Nilimuitikia na kumuambia sawa tunaweza kucheza
Alinishika vizuri kiuππno na mimi nilimshika begani asikuambie mtu nilijiona tayari ameshakuwa wangu Mr Henry
Watu walitushangaa kutuona tunacheza mziki kwani tuliwavutia sana wengi
Hakika daddy Henry alikuwa na furaha mno tulipochoka kucheza tulikaa na kuagiza vinywaji
Daddy aliniambia usinywe pombetuu nilimjibu sawa siwezi kunywa tukawa tunapiga story na kucheka kwa furaha pia tulikuwa na furaha sana kusikiliza muziki... sasa bwana ukafika muda wa kwenda kulalaπ€£π€£π€£
Endelea kufuatilia........
Full 1000
WhatsApp 0742133100.