Darian; we mwanamke unapenda maswaliπ, nafanya hivi kwa usalama wako zaidi, ndio maana sikutaka mazoea na wanawake kabisa , matokeo yake ndio haya sasa, sijui imekuwaje nimekwama kwenye mtego wako, ila nakuahidi huu mtego wako tutazama wote, kama ni ushindi tutashinga pamoja...
Unachotakiwa sasa hivi, nikunisikiliza mimi peke yangu, haya ni maisha yangu mimi na wewe, hupaswi kumhusisha yeyote, labda kama huyo mtu anaweza kukusaidia kuingiza mhogo kwenye kitumbua chako, mtu ambae unaweza kubali tukafanya yakwetu mbele yake, huyo mtu kama yupo huyo pekee ndie utamwambia,...
Sikujibu chochote, niliamua kukaa tu kimya, nikimtizama tu, mkaka mzuli ila sasa akili zake ni matatizo matupu, nilimamua niulize , D utanioa ama unapita tu?
Darian; wewe tayali ni wakwangu, nimeshakuoa hapa bado vitu vichache tu, nitatekeleza, naandaa uasalama wako kwanza, kwa sasa hauwezi kunielewa lakini muda ukifika utaelewa, muhimu kuwa na siri zako binafsi usiamini sana binadam hata kama mme zaliwa nae tumbo moja ama kukua nae...
Aliongea hivyo kisha akatoka, nilitafakali maneno yake, nakuanza kujiuliza kwanza naulizia ndoa kwa huyu huyu bandiduπ€, mbona ni kama sijitakii mema mimi, nitaweza kweli kuendana na tabia za uyu kakaπ€, ni mzuli sio chawote, lakini hizi amri, sheria mmmh, nimejichanganya mbonaπ€...
Ila muda bado ngoja nisikilizie nikiona sielewi naludi zangu moshi, nkuepuka mengi, kwetu sijaua, niliwaza hivyo nikaendelea na biashara yangu, jioni nikiwa na toka nikakutana na toyo wangu ninaemtumiaga, nilifurahi, kwasababu nilikuwa nishaanza kuwaza nampata wapi na no nimepoteza...
Aliniwaoo kwa furaha mno, nikamuomba no akanipa, nikamuomba anipeleke nyumbani,nilifika nikamuaga akasema afu dada, kabla sijasahau shem aliniagiza nikikuona nimjulishe aje, anakutafuta hakupati, na juzi nilimleta hapa kwako hakukupata hata jana vipi naweza kumjulisha ama ni jau?...
Bola hata umeniuliza, naomba usije kabisa ukamleta, nakuomba, " imeisha iyo dada usijali kabisa, kwaheri...
Tuliagana akaondoka, nikiwa na pika simu ikaita kucheki toyo wangu, nikapokea nikasikia sauti ya D anampa kipigo wa toyo, sasa sijui simu ilijipiga, nilijua tu hili balaa,nikampigia D hakupokea, nikamtumia txt, lakini haikujibiwa,nikawaza nimtafute koku anisaidie nikasita,nikaamua kucheki rocation bahati nzuri location ya toyo ilikuwa on...
Nilitafuta toyo mwingine, nikampa maelekezo, kwanza akanituzama nakukataa kabisa haendi, ilibidi nitumie ujanja ndio nikapata mwingine, akanishishia mbali nakunielekeza, mimi huyo kufika aisee sikuamini toyo kaloa damu kwa kipigo, hakuwa hata na watu wengine ni wao tu wawili...
Nilimuwahi D nikamkinga toyo asiendelee kumpiga, D mme wangu, naomba unisikilize plz, niliamua kujishusha nakutumia kauli nzuli ili kimtuliza D kwanza anisikilize, bahati nzuli alipoa,japo kwa tabu sana,nilianza kumuelewesha, akagoma kwa nini akukumbatie kuna kitu kinaendelea, kwa nini hukunipigia simu mimi nikuijie, mpaka ukamchukue huyu...
Nilijieleza mpaka kueleweka ilinighalimu muda na mate yakutosha aisee, nilihisi kabisa huyu mtu hanifai anatisha,alitafuta doctor wake binafsi akaja kumtibu, haamini mtu,tukaludi kwangu na D, sikuwa na raha kabisa,akanitizama na kuuliza, kwahiyo umekosa raha kwa sababu nimekupigia bwana ako?..
Nilimtizama nikajikaza nakumwambia tu, D nakuogopa nahisi kabisa sikujui ata kidogo, unaonekana wewe ni mtu hatali mno,na huenda ata ushawahi kuua...
Darian; kwa hio?
Naomba kwanza tuachane, unipe muda niyatafakali haya mahusiano, sijioni nikikaa na amani, nahisi kabisa nitakuja kujuta, hivyo ni bola niwahi mapema kujiengua...
Darian; ok
Alijibu tu kifupi akaondoka, nilimuwazia mtoto wa watu hii okπ€, isijekuwa anaenda kumulete shida huko, bola ningesubili tu akapona kwanza, nilipata hofu mno, koku tulikuwa tunawasiliana lakini haya nilimfucha, niliona sitopata msaada wowote hawa ni ndugu lao moja...
Kupata full bonyeza link hii hapo juu ukasome yote mpaka mwisho kwa buku tu...
Itaendelea...π₯
Full 1000
Whatsp 0784468229.