Wasiwasi ulikuwa umetanda mwilini mwake 😟. Kijasho kilianza kumtoka, huku akitetemeka mno kwa miguu 🥶. Lilikuwa jambo ambalo hakutarajia kabisa ndani ya mwili wake.
Alijiuliza afanye nini 🤔. Aliona anapaswa kuoga ili kujiweka sawa, lakini bado mafunza waliendelea kutoka. “Ni nini hiki?” alijiuliza huku akiendelea kupitisha sabuni katika sehemu nyeti 🧼.
Alipomaliza kuoga, kidogo mafunza walipungua, lakini harufu ilibaki mwilini mwake 🤢. Akatoka na kuelekea kwenye kabati, akachagua nguo ya kuvaa 👗. Akaenda kwenye dressing table na kuchukua marashi mazuri ili kuondoa harufu ile 💐.
Alipojipulizia kidogo, harufu ilipungua. Alijisikia mpya—mwenye harufu nzuri. “Natakiwa kumwambia mume wangu kuhusu hii hali... au nifanyeje? Namjua Garma, huenda atanichukia, ila hapana. Ngoja tu nimwambie. Akichukia, sawa; asipochukia, pia sawa.” 💔 alijiambia ndani ya moyo wake.
Baada ya kujiweka sawa, alirudi kwenye meza ya chakula 🍽️ ambapo walikula na kucheka huku wakibadilishana stori. Ndani ya moyo wa Mayner kulikuwa na hofu—labda harufu ingetanda mle ndani 😬, lakini haikuwa hivyo. Mungu alimstiri 🙏.
Walipomaliza kula, waliwaaga wenzao na kuelekea chumbani kulala 🛏️. Rasma alibaki sebuleni akiangalia runinga 📺, na Mama yake Garma alienda chumbani kupanga mambo yake.
Kama ilivyo kwa wapenzi wengine, ni lazima wasisimue damu zao 💏. Walipofika kitandani, Garma alihitaji kipima joto ili kuuweka mwili sawa. Mwanzoni, Mayner aliogopa kwa kuhofia harufu, lakini mwishoni alijiachia 😔.
Kitendo tu cha kuandaana kilizalisha harufu kali kutoka ukeni mwa Mayner 🤮. Ilikuwa kama mzoga wa panya.
“Kuna nini?” aliuliza Garma kwa mshangao.
“Ni mimi ndiyo nanuka...” Mayner alisema huku machozi yakimtoka 😢.
Kujijua kwamba ananuka lilikuwa jambo moja, lakini kusema wazi wazi lilimuumiza sana 😓.
“Hujaoga leo?”
“Nimeoga... tena sana tu. Lakini sehemu yangu ya siri inatoa mafunza... sijui shida ni nini.”
“Mh! Imeanza lini?”
“Jioni hii. Ila mchana nilikuwa sawa.”
Garma alifikiria kwa muda 🤔, alikuna kichwa kisha akajisogeza pembeni.
“Baby, usinitenge kisa nanuka...” Mayner alisema kwa uchungu 😔.
“Siwezi kukutenga kwa jambo hili dogo... nawaza shida inaweza kuwa nini.” alisema Garma kwa huruma 💞.
Mayner alitaka kumweleza tukio la mchana kati yake na Mama, lakini hofu ilimshika 🤐.
“Kesho nitamwambia Laila anipeleke hospitali.”
“Kwanini usiende na dada yako? Laila anaweza kusambaza habari kwa marafiki zake...”
“Sawa. Hata Rasma si mbaya, nitaongea naye.”
“Ok. Pole sana, mke wangu. Naamini utakuwa sawa.” 🥺
Garma aliinuka na kuchukua simu yake, akarudi kitandani. Akaonyesha picha ya mtu aitwaye Jack—mpiga picha mzuri sana 📸.
“Kwahiyo huyu ndiye tutamtumia siku ya harusi?”
“Ndiyo. Nimeshaongea naye.”
“Aha! Kumbe ni yule aliyepiga picha ya ndoa ya Clara?”
“Haha! Ndio huyo. Mawazo yetu yalifanana.” 🤭
Waliongea na kucheka sana usiku huo, lakini Garma alimsisitiza Mayner kwamba jambo la kwanza asubuhi ni kwenda hospitali 🏥.
🌅 Siku iliyofuata...
Mayner aliamka na sauti ya jogoo 🐓. Harufu bado ilikuwa mwilini mwake 😷.
“Mh! Natakiwa kwenda hospitali tu.” alisema na kutoka kwenda kwa Rasma.
Alipofika, alikutana na Mama Garma ambaye alimtazama kwa jicho la husuda 😒.
“Ona unavyonuka, huhisi aibu? Utaondoka humu bila kupenda.” Mama alisema kwa nyodo. Mayner hakujibu, akagonga mlango wa Rasma.
“Kuna nini wifoo?”
“Samahani. Naomba unisindikize hospitali.”
“Kuna nini?”
“Nitakuambia njiani.” 🚗
Rasma alikubali kwa upendo na walielekea hospitali. Mayner alipimwa, na aliporudi kwa Daktari, aliambiwa:
“Ulishawahi kutumia sabuni ya unga?”
“Hapana.”
“Umeweka sabuni sehemu ya siri?”
“Sijawahi.”
“Hakuna ugonjwa wowote. Ila nakuandikia dawa za kukata harufu. Ukiona hali haibadiliki, rudi tena.” 🩺
Baada ya kupewa dawa, alirudi kwenye gari:
“Baby, tayari.”
“Wamesemaje?”
“Sina ugonjwa wowote, hata fangasi.”
“Haiwezekani...” Rasma alichukua majibu na kuyasoma, kisha akasema:
“Hapa kuna mchawi anakuchezea!” 😳
“Una maana gani?”
“Hii ni nguvu za giza. Uliniambia mtu alichukua chupi yako, si ndio?”
“Sawa. Mganga tunampata wapi?”
“Sengerema, Magu au Ukerewe.”
“Ila kaka yako asijue.”
“Sawa. Kesho tunaenda Magu.” 🤫
🕓 Usiku...
Mayner alikuwa sebuleni saa sita usiku, mume wake hajarudi bado 😟. Alijaribu kumpigia, lakini simu haikupatikana 📵.
Mama Garma aliamua kulala.
“Nitamwambia Garma nina mazungumzo naye.”
“Yahusu nini?”
“Si kila mtu ana timu yake humu ndani.” 😒
Rasma naye alielekea kulala.
“Wifi, kaa wenye waume zenu. Kesho si kawaida.” 🤭
“Nakupenda sana.” 💕 alisema na kuondoka.
Saa sita usiku, gari liliingia. Garma alikuwa amerudi.
“Baby, I was thinking about you.”
“Pole mpenzi. Nimechelewa kwa sababu ya Jack na MC wetu. Nimeshalipa kiasi hiki hapa.” 💼
Mayner alimkumbatia mume wake kwa furaha 🥰. Wakiingia ndani, sauti ya Mama Garma ilisika:
“Garma, nina mazungumzo na wewe.”
“Si ungeniambia kesho?”
“Kuchoka kwako kutakufanya ufe. Shauri yako.”
Garma alienda chumbani kwa Mama yake.
“Nimemsikia Mayner anapanga kwenda kwa mganga aniroge mimi. Mkanye huyo mbwa wako. Nimemaliza!” 🚪 Akafunga mlango...
Tupo kwenye dunia huru na salama zaidi. Raha ya kununua ipo pale ambapo muuzaji anakuambia, Lipia kwa pesa unayotaka. Leo, simulizi hii unaweza kununua kwa pesa yako mwenyewe. Nitext WhatsApp, namba ni 0717255498. Nunua kwa pesa yako..