*______________________________________*
*SEHEMU YA SITA*
Nilitafakali sana,kapata wapi ujasili wa kumwambia mama ake mahusiano yetu, ilhali mimi sina hata wazo juu yake, niliona ni ujinga nikapotezea baba aliludi na ticket yangu, alikuwa vitu vigeni nilimwelea hakujibu lolote, niliandaa chakula tukala, tukaingia kulala, kabla sijapata usingizi vyema simu ikaita kucheki no ni Rameck...
Haloo, Re wangu natamani kukuona ndio nilale unaweza washa data nikupigie video call? Niliona sasa huu usumbufu wa viwango vya lami, niilijibu sina bado ngoja niunge unipigie, "Re mke wangu naomba nikuungie mwenyewe tafadhali usikatae",sawa manake ata nikikataa najua hutokubali,basi Rameck aliniungia bando la mwezi mzima la elf 50k, liliniuma yani elf 50 inachezewa kwenye bando π€, kibaya zaidi asubuhi naivunja hii line π...
Alipiga, "haloo Re, wewe ni mrembo sana, naomba kesho hakikisha mnayajenga na mzee, kesho kutwa nije tumalize kila kitu nakuhitaji sana pembeni yangu Re" usijali Rameck kesho jioni nitakupa majibu,najisikia kuchoka ata sijui kwa nini jamani, " pole Re wangu, huenda kwa sababu ya hali uliyonayo, natamani ungekuwa pembeni yangu, nikumbembeze ulale, natamani kushare ugumu wote wa hali unayopitia, sitaki kusaidiwa hili ni jukumu langu...
Usiku mwema Re wangu", asante kwa kunielewa Rameck, alinichumj akakata simu, nililala nakuja kushtuka baba ananipigia simu, muda wa safari umefika, niliamka nikajiandaa, kisha nikaenda kumsalimia Baba tuliagana nikawai stend, Baba alisubili mpaka gari ikaondoka, nilikuwa nimeshavunja line na baba alinipa line nyingine asubuhi wakati naondoka...
Nilifika kwa mamdogo alinipokea vizuli, maisha yakaanza nikiwa moshi kwa mamdogo, siku ya pili, Rameck alienda nyumbani, " hodii,
Baba; karibu pita,
Rameck; asante mzee shikamoo,
Baba; marhaba hujambo?,
Rameck; sijambo mzee, samahani sana, nimekuja kwako, japo sio sahihi lakini sikuwa na jinsi, nimekosa amani nimeona ninvyema nije nijue nini shida mzee wangu...
Baba; kuhusi ninj kijana wangu? Sijakuelewa bado,
Rameck; mzee kwana nisamee kwa sababu nimefanya kosa kubwa sana, nahitaji kumuoa Rehema, lakini tayari nimekosea, nimempa ujauzito niko tayari kwa faini na kila kitu, nahitaji kujua utalatibu ili niwalete wazee waje kuweka sawa hili, toka juzi asubihi nampigia Re, lakini simpati, jana nilikuja hapa na juzi pia sikukupata, ndio maana leo nimekuja usiku huu, ninahofu niliomba aongee na wewe ili anipe utaratibu wakuja nyumbani...
Baba; kwa hio ni wewe ndio ulimfanyia unyama binti yangu, tena bila huruma, leo unakuja unataka kumuoa ulishawaza kwa hayo uliyomfanyia atakukupenda? Ama atakufaikiliaje? Unajua anapitia fedheha kiasi gani hapa mtaani? Umefanya binti yangu, anazunguka kuishi miji ya watu, kakimbia kwao kuepuka fadheha uliyomtengenezea, leo unakuja kumhitaji, kwa nini hukuja mapema kabla hujamhalibia binti yangu maisha?...
Kwa mwendelezo zaidi follow hii page hapa chini tuko mbele zaidi
*SEHEMU YA SABA*
Rameck; Baba ni kweli nimekosea, najutia nihasila tu mzee wangu, naomba nilekebishe nilipokosea, tafadhali mzee wangu naomba unioe nafasi, sina lengo baya na Re, namapenda sana, naomba mzee wangu, utupe nafasi tulee mtoto wetu pamoja, nahitaji familia yangu iwe pamoja mzee, nakuomba mzee wangu, fikiria zaidi tayari nimeshakosea, hatuna budi kulekebisha makosa...
Baba; natamani ungefanya hivyo mapema, kwa sasa sijui kama utafanikiwa, binti yangu bado anamaumivu makubwa moyoni mwake, hayupo kaondoka, tumia juhudi zako kuelewana nae, kama mtaelewana mimi sina tatizo endapo yeye atakuridhia...
Lakini sitaki umkoseshe amani binti yangu, tumia hekima na sio nguvu, endapo utamgusa binti yangu, sitokujibu kwa utulivu mpaka leo, wala sitoacha liende tena kama hivi sasa nilivyofanya, nitaitafuta haki ya binti yangu mpaka niipate, hata kama itachukua uhai wangu...
Rameck alijikuta anatoa machozi, hakutegemea kama nitamkimbia, kibaya zaidi hajui ata wapi pa kuanzia, alilia mbele ya mzee akiomba angalau no zangu, au hata mkoa niliopo,lakini Baba alimnyima, " sawa mzee wangu, kwa sababu nampenda sana,sina budi kupambana kwa njia yoyote mpaka nimpate, huenda hamnielewi, lakini namanisha ninachokiongea mzee, kama ningekuwa simpendi nisingejali kuhusu mimba yake wala heshima yake, ningeendelea na mambo yangu, Re niliongea nae mbona vyema tu jamani, kama hakunielewa, basi ni vyema angeniuliza, nisingechoka kumuelewesha ili tuweke mambo sawaπ...
Rameck alivyomaliza kuongea, hakusubili Baba ajibu, aliamua kuondoka huku anaumia, macho yameiva, Baba alihisi kama hayuko na mtu nihatali kwake kuondoka usiku huo, alitoka na kuwahi kumzuia,kijana subili, alikuta Rameck anashika moyo kwa nguvu, huku anajizuia kulia, alimuomba amludishe kwake, lengo sio tu usalama wake, bali angalau ajue kwa Rameck, ili ata siku ikitokea shida, ajue pakunipata...
Rameck hakujibu chochote zaidi yakumfugulia Baba,aliingia na kumfikisha mpaka kwake kisha akakodi uber kuludi nyumbani,mzee alinipigia kunijulisha lakini nilipuuza, siku zilizidi kwenda, hatimae mimba yangu ilifikisha miezi 7, sikujua Rameck anaendeleaje, japo kuna wakati nilikuwa nammiss, hasa lile kiss lake lilikuwa tatizo mno kwenye ubongo wangu...
Nilikuwa najizuia kupitia kosa alilonifanyia, kila nikikumbuka alichonifanyia, hisia zote zinapotea,nilimuaga mamdogo, nikanunue mihogo hapo jilani ilikuwa ni jioni na kitumbo changu, nilitoka mdogo mdogo, nilivyofika balabalani, nikahisi kama kuna gari inanifatilia, ni muda toka nimetoka nyumbani, nilivyofika kwenye mihogo hofu ikaisha, ilikuwa saa 12 jioni...
Nilikaa kula mihogo yangu na kachumbari mpaka nikashiba nikashushia na pepsi baridi, nilivyomaliza mida ya saa moja moja , mamdogo akanipigia simu, haloo mamdogo ndo nimemaliza kula nakuja, nilimaliza kuongea na mamdogo nikaanza kulejea nyumbani,nikiwa katikati na nyumbani, nilishtukia tu nimekabwa, hata sikupata muda wakupiga kelele nikazima, nakuja kuamka niko ndani ya ndege, tena privete, kila nikitoa sauti haitoki, kucheki pembeni yangu, jamani nilichoka mwili na roho....
Kwa mwendelezo zaidi follow hii page hapa chini tuko mbele zaidi
*SEHEMU YA NANE*
Hamwezi amini,alikuwa na Rameck, alikuwa hacheki na wowote ni kanikazia mpaka nikaogopa,niliamua kunyamaza tu nisije tupiwa nje,nikapotea na mwanangu kusiko julikana, Baba angu asije akapata hata mwili wangu,nilijikuta napitiwa usingizi, nakuja kuamshwa tumefika sehemu nisiyoijua,nilishushwa kimya kimya...
Nikapakiwa kwenye gari, moja kwa moja kwenye ofce za ndoa za serikali, nilishtuka nikataka kuongea ila sauti haitoki, Rameck akaongea tukiwa nje, ili tuingie ndani,Re sina masihala na moyo wangu nahitaji saini yako na pete, sihitaji maswali, pendekezo wala duku duku kwa sasa, maumivu niliyonayo ni zaidi ya maumivu ya kidonda, nikama mtu anaechokonoa kidonda kibichi tena kwa kukisugua kwa pilipili na chumvi...
Sitaki drama, utanifanya nifanye mambo ya ajabu dunia inishangae, nimemaliza, tuliingia ndani alikuwa ameshawaandaa, nilisainishwa ndoa na pete juu,baada ya hapo nilibebwa msobe msobe, mpaka nyumba moja inaulinzi mkali kuanzia walinzi binadam, mbwa, cctv camera, umeme, yani ulinzi mkali kila kona mpaka milango...
Njaa nayo ilikuwa inaniuma, mpaka minyoo tumboni ikaanza kupayuka, Rameck alisikia, akanipeleka mpaka chumba kimoja kikubwa sana,aliniweka kwenye sofa kisha akatoka, aliludi na chakula kwanza akanipa kidonge nimeze, nilitia shaka, akanimezesha kwa lazima, baada ya hapo akanipa chakula, nilivyokuwa na njaa, ata sikuvunga, na uzuli aliniletea chakula ninachokipenda...
Nilikula kimya kimya, nilivyomaliza, nikataka kuongea, nikasita baada ya kukumbuka sauti haitoki, " we ongea sauti imeshaludi niliifunga kwa muda, nimeshakupa antidote, saivi unaweza kuongea" Rameck kwa nini, umenifanyia hivi, mbaya zaidi umenifungisha ndoa, hujui kama ninafamilia? Vp familia yangu saivi itakuwa kwenye wakati gani Rameck, unanikosea sana, naomba niongee na mamdogo na Baba...
" Re ivi unajisikia unachokiongea, ama unaongea tu kulingana na upana wa mdomo wako, au kwakua mdomo ni mali yako? Famili yako pekee ndo unajali kuhusu wao, ila vipi ulivyofanya maamuzi yakunikimbia, uliwaza angalau kidogo tu kuhusu mimi na damu yangu?...
Unajua naumia kiasi gani Re? Lakini Rameck kwani mimi nilikukosea nini ambacho unaendelea kuniandama kila leo?
"Re unaongea kitu vitu gani ivi ni kweli huelewi kabisa hisia zangu?, Re nakupenda nimekupa muda, lakini nini ulichonifanyia tena bila huruma, Re mimi kuwa mbali na wewe ni mateso, ni bola uniue, lakini kama bado naishi, sitokubali kukaa mbali na wewe...
Rameck naomba tu nikuweke wazi, ukweli mimi sina hisia zozote na wewe, kwa kile ulichonifanyia kwakweli sijui kama nitakuja kusahau, hujui nilijitunza kuasi gani, tena kibaya zaidi ulinivua utu wangu hadharani, umenidhalilisha vyakutosha, naishi tu kwa sababu ya hii mimba, maumivu uliyonipa sitamani hata kukuona, hizo hisia sina juu yako kabisa...
" Re mimi ni binadamu mke wangu, maneno yako yalinitia hasira mama nihasira tu, sikukusudia naomba unisamee mke wangu, nakupenda sana Re,naomba ukunje moyo wako tuanze upya, kama ninadhabu mama imetosha nimeteseka sana, mpaka nakupata...
Nimeshalipia mke wangu, nihurumie, hisia juu yangu unazo , nivile hujatambua, lakini nitakusaidia kutambua kwa sasa hutoondoka kwenda popote, kesho mama na bamkubwa wataenda kwenu kumalizia utaratibu, endapo utaondoa chuki unayoichochea moyoni, basi utatambua hisia zako kwangu...
Rameck tatizo hunielewi, hujui ninavyojisikia π, natamani kufanya hivyo ila moyo wangu unakinzana, ivi kama mimi ulinifanyia hivi, vipi huko wengine mtaani inamaana ni tabia yako mbona wengine hawakunifanyia haya ni wewe tu, hizo hasira zako zako, zingefanya kazi, endapo ungenipa adhabu, na sio kunibaka...
Vipi ukibaka watu wenye maradhi, nitakuwa na amani gani kuwa mkeo huku ninahofu, yakuambukizwa maradhi, kusalitiwa,sina uwezo wa kuhimili matukio yako mfano nimesgaupata kwangu, hio nguvu yakukupenda naitoa wapi Rameck?..
"Re mke wangu, mimi sikufanya hivyo kwa sababu tu nimekurupuka,nimekuchunga kwa miaka sasa, nilikiwa nasubili tu umalize chuo niongee nawewe na hio siku nilifanya makusudi kutoa mafuta kwenye gari, ili tu nipate muda wakuongea na wewe, niliumia sana pale mtu ninaempenda, ananichukulia poa,tena kibaya zaidi ulinishuku kuwa mimi ni shoga, mke wangu hii kitu angeongea mtu mwingine tofauti na wewe, nisingepanick mke wangu, hili neno sio geni kwangu, ila kulisikia kutoka kwako ndo tatizo lilipoanzia, nilifanya hivyo kwa sababu nilijua nakuhitaji na nitakuchukua mwenyewe hivyo wewe ni heshima yangu...
Ndio maana walioingia kukutoa niwakike na hata usafiri nilikuandalia na kulipia, nilishajua nimekosea na kwa heshima yangu na yako nilihitaji ufike sarama, kuhusu afya yako nilishatambua, wakati mnaelekea kuhitimu kama unakumbuka mlichangia damu,vipimo vyako nilihonga kwa doctor nikavipata, hivyo wakati nafanya hivyo tayari nilishatambua afya yako, kwasababu nikishajiandaa kukuoa, na hatua zako toka ukiwa kidato cha pili nilikuwa nakufatilia...
Naomba mke wangu nisamee sana, unanitesa Re,hata jina nilikuwa nakujua nilitaka tu unitamkie kwa kinywa chako, lakini nilikiwa nakitambua toka ukiwa kidato cha pili, na nilikupenda toka siku hio nilikuwa kulinda mitihani ya nector, na wewe ndio ulikuwa unatuhudumia chakula kama unakumbuka...
Nilibaki nashangaa sana, kwanza hata sikumbuki, niliamua tu kunyamaza, Rameck alikuwa kaloa kwa machozi, kama vile sio mjeda, yani analia kama mtoto, nilimtizama nikamuonea huruma kwanza kakonda sio kama mwanzo...
Kwa mwendelezo zaidi follow hii page hapa chini tuko mbele zaidi
*SEHEMU YA TISA*
Nilimsogelea kisha nikamwambia, Rameck mbona unanichanganya, naomba utulie kwanza, tupumzike basi,mimi nasikia usingizi tukiamka tutaongea, usiku kucha tulikuwa safari, hata hatujapumzika unanipa mambo mazito mazito,Rameck ukweli nashindwa kuelewa..
"Re nachotaka unielewe tu mke wangu, nakupenda, nisamee sana, kwa sababu ya hasira zangu mke wangu nilifanya kitu cha kijinga sana, naomba usiendelee kuniazibh mama nimekoma mke wangu π,naomba nioe nafasi moja tu nikuoneshe upendo wangu, natamani unielewe mke wangu, kama ningekuwa mhalibifu kwako, nisingeludi kukutafuta, ningekuacha mwenyewe...
Niliona hapa hatufiki mwisho, nilikuwa nimechoka sana, niliamua kumtuliza kwa kumkumbatia bila kuongea chochote, kidogo alitulia, akaomba nikaoge nije kulala, niliingia kuoga nikatoka nikapanda kitandani kulala, nikiwa nimelala nikahisi, Rameck amenisogelea,niliogopa nikikumbuka yale maumivu na hili tumbo langu, nikaamua kujihami...
Nilikumbuka njia pekee ya kumwelewesha Rameck ni kauli tulivu, niliamua kiwa mpole, niligeuka nakuongea, Rameck nimechoka sana alafu na hili tumbo hio inauma sana, " Re mke wangu saivi haiwezi uma usiogope, lakinj kwa leo sitokufanha chochote, kwanza umechoka lakini pia nahitaji uridhie mwenyewe kwa moyo mmoja...
Mimi nitazidi kujikaza, nitavumilia lakinj tambua pia mimi ni mwanaume, naomba usinikawize, najikaza sana mke wangu, nakuhitaji sana kimwili, kihisia, na kiakili na kiroho, tafadhali usinipuuze...
Kwa mwendelezo zaidi follow hii page hapa chini tuko mbele zaidi
*SEHEMU YA KUMI*
Nimekuelewa Rameck, basi nilikubwatiwa na mtumbo wangu kama mtungi,nikalala nimeamka jioni, nikakuta msosi tayari, tukiwa tunakula, simu ya Rameck iliita, ni mjomba wake ndie alipiga, waliongea nikapewa mimi nithibutishe kwa mzee ili apokee mahari yangu...
Nilisita ila Rameck alipiga magoti kunisihi, tena kwa machozi, nilijikuta nimekubali bila kufikiria,na simu ikakatwa, Rameck alinikumbatia kwa furaha, "Re nakuahidi mke wangu, hutojuta, nakupenda sana Re, najua bado unawasiwasi na mimi, naomba unipe muda wakunielewa...
Rameck alinisogelea, akaomba angalau kidogo nimpimie juice amix, nilikubali yaishe aliomba kidogo lakini aliludia yale yale ya kwenye gari, na leo ndio kabisa alizidisha na hivi sikuwa napenda kuvaa kitu ndani nilikuwa na kijora tu, sikuwa na chochote ndani, alijua kunivuruga huyu mjeda nyieππ, nilianza kutoa sauti za malalamiko,nimekuja kushtuka sina hata kijora , mwenzangh nae hana kila kitu, tena nibaada ya kuhisi kitu, kinataka kuzama...
Nilishtuka nikakumbuka, yale maumivu ya siku ile, weeee utamu ulikatika muda ule ule,ile nataka kuleta vulugu Rameck aliniwahi, akazamisha kitu,huku anajinywea juice yake, nikaanza kusahau kabisa ile hofu, jamaa alivyokna nimenigewa akaniongezea moto, aaweeeee ilikuwa tamu kishenzi, nilinogewa nikawa naomba gia tu zikaziwe...
Nilishuhulikiwa mpaka nikaomba kuachwa sasa, "Re we ni watofauti sana mke wangu, nisamee hili joto lako mke wangu nashindwa kabisa kukuachia,naomba nimalizie kidogo tu mke wangu,alimaliza nikiwa hoi,aliniogesha,akanipaka mafuta na kunivalisha, "Re mke wangu mbona hunitizami?..
Nitizame basi mrembo wangu, natamani kuona vimacho vyako, wakati nakutia mke wake macho yako yalikuwa yanazidi kunivuruga jamani π, jicho la kunichanganya sio siri, hili jicho leo ndio nimelibaini, nimepa udhaifu mwingine mwilini kwako, yani nikiliona tu jicho lako mke wangu, nakumbuka utamu wako, nakumbuka ulevyokuwa unaililia dah Re umenimaliza mama, umenimaliza sijiwezi kabisa, natamani hata nikufiche wasikuone wengine mke wangu...
Rameck jamani mmh, sikuwa najua hata niseme nini, nilikuwa hoi ata kuingia kupika sikuweza ilibidi Rameck ndo anipikie tena, nilikula tukaingia kulala, "Re naomba usiwe unalala na vijora, alinipa kinguk cha kulalia akanionesha na nyingine tayari alikuwa kaniandali nguo za kutosha kwenye kabati, kilikuwa kinaonyesha mwili vibaya mno, nilikuwa kama sijavaa tu...
Ila sikuwa na jinsi, nilipanda kitandani nilale, nikaona Rameck kaganda kunitizama kwa matamanio, nilijua hapa nisipokuwa makini nialiwa tena, muda huo ata moyo wangu sijui unawaza nini...
Niliingia kulala, uku nalalamika tumbo, ilibidi ajiongeze hapa hapati kitu, tukalala, kumekucha nikatamani kutoka nje kunyoosha miguu,
Lakini Rameck alinikatalia, "Re najua unatafuta mbinu yakunikimbia tena, hapa kila kitu kimo, unataka kwenda nje kufanyaje? Huduma zote utazipata humu ndani....
KWETU morogoro.