β
βMany men have this notion that madem warembo sana ni maplayer... π Like how comes you are the only woman every man talks of ukipita na hauna mtu.. Lazima ukuwe unawachezanga kama Dj.
β
β
βAlafu to add it all, akue anavaanga tunguo tufupi ana-expose her thighs na uko na tupesa twako... Walai hio nayo inafanya wanaume wanakuogopa tu..π₯Ί
β
β
βSo mimi hukua mechanic wa magari hapa tao (Automotive engineering)... So kuna hii siku nikiwa garage nimeboeka ka shiet.. Kidogo kidogo Toyota Auris namba latest sana ikaingia site. Mimi garage si yangu so mwenye garage ndiye hupokea customers wapya ndio wachukue namba zake yeye mwenyewe sisi ni majaguti tu.. π
β
β
βGari kufika, nilikua nimetulia kwa kilori kingine hapo so niliiona kwa side mirror ya kilori.. Ikapiga horn peep! peep! mwenye garage akatoka kwa kaofisi kake hapo akaenda hapo kwa hio gari na nikaona wakiongea but sikua nasikia chenye wanasema was abit far.. Mimi nikajipea shughuli na nikaendelea kuscroll simu yangu hapo kusoma story za Nyamu Mbogo Facebook..
β
β
βKiasi tu nikasikia nimeitwa na mdosi.. "Mike kuja!" Eeehe now you know naitwa Mike. Nikatoka kwa kilori nikielekea kwa gari lenyewe lakini hatua kidogo kabla nifike place mdosi na lile gari, mlango ikafunguliwa..π²
β
β
βWalai si unajua vile mtu hushuka kwa gari, Miguu ndio ilitangulia, Uuuuuui!sema kidosho...π₯΅ Alichomoka kwa mwemdo wa aste aste.. π² Kabla nifike hapo mahali walikua, naye alikua ashatoka kabisa...
β
β
βWolololololo! gwacheni niseme hapa! Kuna watu Mungu alichukua time akiwaumba, nikama huyu mrembo....π yani msichana mweupe pepepe!π€ͺ... Rangi ya thao, ngozi nyororo rororo! π Kiuno cha siafu, yaani huyu potty anajua ni ya mtoto ya kwendea choo peke yake.. manake kwake yeye ni Flat tummy ajabu.. π Mapaja nayo kapambaja..π The hips were hipsing wello wello.. Uweeeeeh! Na ata sijaongelele, kifua chake kilichonivutia kwa muinuko peke yake.. huyu anafaa apewe hii economy ya 'My friend' aiinue kiasi kama kifua chake.. π
β
β
β"Mike, ebu skiza vile huyu madam anasema, wewe ndio unakuanga umeiva hizi story za software... " Mdosi akaniagiza. And by now you already know I specialized in car softwares mostly on hybrid, electric and high-tech digitalized cars.
β
β
β"Mmhm Sasa? nimesikia unaitwa Mike, am Sonie.. " The pretty lady said to me, na hapa ndio nikaona walai, hata dimples ako nazo.. Finishing the Full set of prettiness...
β
β
β"Yes I'm Mike, I do software engineering in hybrid and high-tech vehicles. however am also a general mechanic that was just a specialisation, what's wrong with this cute Auris.. ?" I asked calmly...
β
β
β" Haka Kagari kangu, I bought from a colleague, na hakakua kanaonyesha izo taa kanaonyesha sahii kwa dashboard, (ushering me in) ebu ingia uzione.. "She requested.
β
β
βSo na juu apron yangu ilikua na chafu kiasi, I first unzipped it, nikaislide vizuri hadi kwa magoti and then entered the car hapo ndio nikasikia akicheka...
β
β
β"Haha.. Nilikua nimeshindwa kwani unatoa nguo za nini? I thought ata ni tools ziko ndani huko...π€" She made the joke
β
β" Haha.. Hapana Sonie, nimeona machine yako ni safi tu sana hakuna haja nikuchafulie... " I made my reply as I went on checking the dashboard nikaona imewasha check engine na taa ya Air Bag plus sensor ya mataa za deem ilikua imeonyesha iko pia.. .π
β"Hii inataka tuweke kwa computer tutoe errors and small maintenance repairs on the sensors we shall be good to go..." I said to her.
β
β" How much would that be Mr Mike? Na usinifukuze na bei aki.." She said while burgaining
β
β
β" Three thousand iko sawa, 1500 ya computer na 1000 ya sensor, mimi nikule mia tani tu...π€" I explained to her.. Initially nilikua nakula 2K hapo napea mwenye garage 1K lakini pesa lazima itafutwe nani..π€π€£π€£
β
β
β"Okay then tengeza... Can I sit on the passagers sit kama unaendelea kutengeneza please?" She asked me.
β
β
β" Yes sure, kaa haina noma.. " I said to her.
β
βSo nikaendea computer reader na connection cable nikarudi.. But guess what? Huyu sasa atafanya nishindwe na kazi... π€ Imagine ile urembo yooote ako nayo plus kamini skirt alafu akae hapa tu akinionyesha thighs... π Don't blame me guys... Mimi hapa napo nitamwambia ukweli... π
β
β
βSee you in part 2 turushe mistari kiasi tuone Sonnie akiingia box.. π₯°
β
βAlafu kumbuka the reason you are reading this story is because Acacia concrete works LTD have sponsored it... It's only so fair if you go to their page and follow them kindly.... Coz the more follow the more the stories will flow... Part 2 loading mkifollow nyinyi wote...
β
βAcacia are legit manufacturers/sellers of 3D Cabro Paving Blocks, Paving Slabs, Concrete Poles(any size) or any other quality assured concrete products, Contact then on 0722 908 144 | 0780 775 708. They are located at Kutus-Kianyaga Junction, Kutus, Kirinyaga.
#nyamumbogo
#nyamuyakirinyaga
#talktonyamu
β.