Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track

*NDOA YA MKEKA* 11 & 12👰🤵🤟💗 Mwandishi; Kitty Fefe

16th Jul, 2025 Views 4



"Kwahiyo mimi msumbufu?"😔😔 Nilianza kujidekeza😩
"No no no mama,napenda vile ulivyo😘😘😘sawa Kulthum wangu 😘😘😘 nafurahi kuibeba mimba yangu....you mean the world to me😘😘😘Mke wangu unafahamu nakupenda.na nakutakia ujauzito wenye afya na furaha, jua tu kuwa haujawahi kuwa mzuri kwangu, kama ulivyo leo.....umezidisha thamani yako kwangu....Ninakupenda sana na I can't wait kukutana na mtoto wetu,sijui atakuwa mrembo kama wewe au atakuwa mvulana...!"
"Ahsante mume wangu,hivi usemayo ni kweli....!!!😩 Maana mimi naumia sana juu yako,sitarajii kukupoteza"😔😔
"Mimi ni wako mke wangu,usiwe na wasiwasi basi...! Si ndomana nikakuoa namaanisha niliacha wote nikakuchagua wewe"😘😘😘
"Thank you honey 😘😘😘 namimi nakupenda sana,sijielewi juu yako"😔😔
"Thank you mama"

Nikachukua lile ua 💐 na kutoa chocolate 🍫 moja nikule mieee yeye akaenda kuoga alipotoka nilianza kumfuta maji,natake responsibility🤭😂👐maana kuna mtu anaitwa Agnes asije kupita na chibaba wangu jamani🤔🤔🤔😩sikutaka kumuacha kizembe nikampa juisi ya kikubwa tena imechanganyika na chocolate 🍫😋 nilijikuta tu nishapewa dozi🙈(tulimuongezea mtoto komwe)🤭😂😂😂kisha tukaoga

Kesho yake asubuhi Hakim akiwa anataka kuondoka nilienda mfungulia geti maana mlinzi alikuwa ashaondoka,mara ki Agnes nacho nikawa kimefika na gari lake😏nilimnyali😏
"Unataka nini?"Hakim alimuuliza🌚🌚
"Nahitaji kuongea na wewe please"
"Una matatizo ujue wewe mwanamke,naomba jiheshimu na nikuombe leo iwe mwanzo na mwisho kuja hapa, sihitaji nikuone nitakuja nikufanye kitu kibaya.... please leave"😡😡😡
"Hakim mpenzi wangu, naomba unisikilize basi"
"Nadhani hunielewi.....ngoja"

Hakim alimfuata Agnes na kutaka kumpiga, nilijaribu kumgombelezea😁🤸🏻‍♀️ akanambia nimuache.... mimi ni nani nisikae pembeni 😅👐akamkokota mpaka nje,na kufunga geti....hapo mimi nishanuna🥺moyoni nina wasiwasi kupita kiasi kama mdada mzuri vile anatimuliwa je mimi.....??😅😅😅 nilitamani sana japo Agnes aniambie alimkosea nini nisije nami nikalitenda hilo jambo nikayatimba🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️

Aliniambia,
"Mke wangu naomba nisamehe mimi kwa hizi drama za Agnes....niruhusu niende kazini kisha nitakuja tuongee vizuri baadaye"
"Mimi siwezi kubaki hapa😭😭😭akija kunidhuru jeee...? Jana penyewe alikuja, sikukwambia tu"🥺
"Sasa uende wapi? Habari za mtu wa kukaa naye hutaki.....kuweka mlinzi awe masaa 24 pia hutaki nifanye je mimi"
"Usinifokee baby mimi naumia sana,halafu naogopa kukaa hapa peke yangu je Agnes akirudi"🤔🤔🤔
"Okay sorry wife,naomba nikakuache kwa mama, kisha nitakupitia jioni"
"Haya sawa"nilijiandaa fasta na kuondoka nae aliniacha kwa mama yake kisha yeye akaenda kazini, ilinibidi nimwambie mama mkwe kuwa nina ujauzito🤭🤰 alifurahi sana🙈na kuniambia kuwa aandae zawadi sasa🎁hayo ndio mambo niyapendayo 🤸🏻‍♀️🤸🏻‍♀️🤸🏻‍♀️mama mkwe wangu mieee huyo🥰🥰🥰

Nilikaa pale kwa mama mkwe tulishinda tunapiga stori tu za hapa na pale,mchana Hakim alinitext na kuniambia,usiskip lunch mama nikimaliza kazi nitakupitia.....nilimtakia majukumu mema😘😘😘Mida ya saa moja usiku akawa amenipitia tukala kabisa kisha tukarudi nyumbani

Kesho yake pia nikamwambia kuwa mimi naogopa kukaa pale nyumbani 😩😩😩
"Usiwaze mke wangu,Agnes hana muda wa kuja kukufuata wewe,yupo bize na mambo yake kila siku atakuja huku kweli...??"
"Kwanini asije kama amepanga jambo lake atachokaje ikiwa bado hajalitimiza...!!!?"😩
"Kulthum mama ebu tuachane na hayo masuala ya Agnes yanachosha,wewe huko ndani atakuingiliaje cha msingi usimfungulie mtu yoyote yule mpaka ujue ni mimi au mlinzi,mbona ni simple tu....Mimi naenda kazini tutaonana" baadae"

Hakim akaondoka, yaani nilipata hasira haswa😩😩😩 sijui ni nini kimenikuta 😔😔😔Nilijisihi jamani ebu nimtoe Agnes akilini mwangu maana nina wasiwasi ataniibia mume wangu pili nina wasiwasi asije siku nivamia humu ndani,nilihakikisha geti limefungwa vizuri 😂😂😂na nikisikia hata kishindo nawahi kuchungulia nje,asije ruka ukuta huyu dada😏🤭🤭

Siku zilianza kusonga mimba yangu ikafika miezi mitatu🥰🥰😘ndipo nikaanza kliniki rasmi💋💋💋nilikuwa nadekezwa sana na mume wangu, haondoki kazini bila kunipikia chai🥰🥰🥰na kunisaidia kazi....yaani madekezo kama yote mpaka nikasahau mtu anaitwa Agnes 😁😁😁ila nilikuwa namuendesha sana Hakim na sikutaka kumpatia kabisa unymba yaani nilikuwa naona kero sana🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️yaani kila siku ni fujo ugomvi na kumtesa....sijui ndo mimba😥😥😥

Ilipofika mimba miezi minane wakanambia niende kwa mama au kwa mama mkwe nikajifungulie huko🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️yaani nimuache mume wangu 😔😔😔jamani hawa shida yao nisalitiwe hawa🌚🌚🌚wakati mwenyewe nilivyokuwa nae nambana sana 🤭🤭🤭niko radhi nimpigie simu tuongee huku anaenda kazini na anapotoka pia nipige video call nimuone tu mpaka anapofika nyumbani hata asipoongea ategeshe simu tu yaani niwe namuona maana anadrive sio vizuri kuongea na simu🤸🏻‍♀️🤸🏻‍♀️🤸🏻‍♀️

Sasa hiki kitendo cha kusema eti niondoke hapa nyumbani uwiiii😏😏😏🌚wamenigusa kwenye mshono🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️nikaona sio kesi namhack kufuatilia mawasiliano yake,maana si atakuwa yupo huru sana huko nyumbani mwenyewe,sasa atajua hajui🤸🏻‍♀️🤸🏻‍♀️🤸🏻‍♀️sms zake nitakuwa nazipata😋😋😋na nikigundua kuna kitu anakifanya huyu mtu atanieleza vizuri kwakweli, sijui nitamfanya nini ila ngoja😩😩😩

ITAENDELEA

*NDOA YA MKEKA* 12👰🤵🤟💗
Mwandishi; Kitty Fefe

Nilitafuta namna ya kumhack🤸🏻‍♀️🤸🏻‍♀️🤸🏻‍♀️(ninachokitafuta nitakipata😔😂) nikakubali kwenda kuishi kwa mama mkwe mpaka nijifungue🤰 ilipita wiki moja shwaaa sioni chochote kibaya kwa Hakim,nikajishauri mmmh....! Au nitoe...?? Ila hapana bado mapema sana kuhisi huyu mtu ni malaika....labda anavuta kasi🙌🙌🙌 ikaingia wiki ya pili hata sioni ninachokitaka🌚🌚🤔

Nikabaki kumsumbua sumbua kwanini hanijali kivile.... yaani kama kuondoka kwangu nyumbani kwake ni sawa tu😔hana hata amsha amsha na mimi jamani😩🤣🤣🤸🏻‍♀️ nikaona nimuache nisimforce sana wala nini akiamua atakuwa ananitafuta tu👐🌚asipotaka basi🥺🥺🥺nikamtoa na kumfuatilia

Siku moja weekend akaja kutuona,mida ya saa moja usiku,...! tumekaa pale tunapiga stori niliona zipu ya suruali yake ipo wazi😩nilishtuka sana🤔🤔kwamba amesahau kufunga alipokuwa nyumbani au kuna mahali alikuwepo ndio amejisahau kufunga zipu🥺🥺🥺 nilishindwa vumilia mimi, nikamwambia
"Kwanini hujafunga zipu?"alishtuka hatari🤔hadi akanipa wasiwasi 😏😏😏kwanini kashtuka hivyo, nilimuuliza
"mbona kama hauko sawa?"
"Niko sawa mama,usijali"
"Mmmh....! baada ya kukuuliza hivyo tu umechange ghafla....! But sawa mimi nimemiss sana kurudi nyumbani"🥺
"Nyumbani utarudi,kule ni kwako kabisa....wala usitie shaka"
"Haya sawa,maana huku najihisi kama penzi langu haliko salama,nakumiss mume wangu natamani tu tuwe pamoja"
"Mimi niko pamoja na wewe always,kubwa tu karibu namama yangu ni nafasi kubwa sana maana yeye anakuangalia vizuri kuliko mimi😘😘😘 hivyo usifeel upweke wife"😘😘😘
"Sawa baby.... nimekuelewa"
"Poa naomba ukae kwa kutulia,leo nitawapkia mimi chakula cha mchana"
"Wow....! Nimemiss mapishi yako bora tu yaani'
"Hakika mama" pumzika ngoja mimi niwapikie "
"Sawa"

Hakim alienda jikoni kwa ajili ya kupika🥣 akamwambia dada wa kazi afanye tu shughuli nyingine yeye atapika,mimi nae nikaenda nje kutembea tembea kufanya mazoezi🤰nikawa nimeegemea gari la Hakim,maana kutembea kidogo tu nimechoka 🤣🤣🤣🤸🏻‍♀️sasa si nikasikia mlio wa simu inaita kutoka mule kwenye gari 🤔 nikajiuliza kaacha simu yake kwenye gari? Mbona simu nilimuona nayo jamani.....!!!! na tena haina mlio wa hivi...!?

Nikachungulia siwezi ona maana kioo ni tinted🌚👐 nikaamua nifuate funguo ya gari yake ndani, aliiweka tu mezani sebuleni nami nikaamua nisimuulize maana hakuwa na habari yupo bize anapika,nikaenda hadi kwenye gari.....nikakuta smartphone ingine mule....kumbe ana simu ingine sikuwahi iona😔😔😔halafu sasa haina password yaani ni swipe to unlock 🤸🏻‍♀️🤸🏻‍♀️🤸🏻‍♀️nikaanza kuukagua jamani jamani nilijuta kuzaliwa😔👐nikakuta anachati na wadada wawili mmoja Agnes (ex wake) mwingine simjui....wote wapenzi wake🥺🥺🥺tena nilisoma sms na kupitia mambo yao Whatsapp mara wametumiana picha,mara voice notes😭😭😭😭😭tena mazungumzo yao.mengine yalionyesha wametoka kupiga shoo na Agnes😩😩👐 ndio maana kanijia zipwazi😭😭😭nilijuta mimi kukagua,,nikakuta na mimi wananiongelea mara mke wako hiki mara kile😏mara hanijali hanipi haki ya nd😔a😔😏asa mimi nimekosa kipi mpaka wanihusishe kwenye mambo yao🌚🌚🌚 mwenyewe najikuta namchunguza nimkamate kumbe mwamba ana simu ingine anayofanyia mambo yake👐👐yaani humo ametumiwa picha na Agnes za aib😢😢😢🙌🙌🙌yaani zaajabu😢😢😢roho iliniuma haswa 🤦🏼‍♀️

Nikasema nitamkomesha nikaingia ndani nikachukua hela na kuondoka bila kuwaaga,ile simu niliizima na kuificha chumba ninacholala.....nikakodi usafiri wa kunifikisha kule kwetu,nilitaka nikakague🤣🤣🤣🤣ukute hata kuna mmoja yupo huko, nilipofika mlinzi alinikaribisha na kwa sasa anakaa hapo hapo tu,nyumba isiwe upweke sana,nilimuuliza kama kuna mwanamke amewahi kuletwa.....!!! Alinikatalia nikajua tu anatetea boss wake😡😡😡 nikamwambia asimwambie mtu nipo hapo🤸🏻‍♀️🤸🏻‍♀️🤸🏻‍♀️nikazama ndani,maana funguo zote ninazo mpaka za chumbani 😁😁😁niliingia na kuanza kukagua kama nitakuta chochote 🤣🤣🤣🤣yaani maumivu ya zile sms sijakoma tu natafuta na mengine 🤭🤭🤭lakini sikukuta kitu,hasira zangu nikazimalizia kuvurugua chumbani na kwenye vitu vya sitting room nilivipasua kama kichaa,Tv ,decorder,sijui,sabufa,meza.......mapambo yote ya sitting room nilichakaza😤😤😤

Mlinzi akagundua mule ndani hakupo sawa maana nilikuwa nalia kwa sauti na kuendelea kufanya uharibifu😔😔😔akawapigia kina Hakim na kumuomba atafute mtu wasaidiane kuvunja mlango maana nilijifungia nisije jidhuru na wao wanakuja😩😩😩mara tumbo likaanza niuma sana na dam,zkaanza kunitoka🥺🥺🥺huko mlinzi anajitahidi kuvunja mlango akiwa na jirani

ITAENDELEA

FULL STORY UNAIPATA KWA KULIPIA TSH 1000
NAMBA YANGU YA WHATSAPP NA KULIPIA PIA NI 0715906120 MTANDAO YAS JINA LA USAJILI FLORA.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*NDOA YA MKEKA* 11 & 12👰🤵🤟💗 Mwandishi; Kitty Fefe   >>> https://gonga94.com/semajambo/ndoa-ya-mkeka-11-12-mwandishi-kitty-fefe
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
karibu msagala furniture
karibu msagala furniture

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

NDOA YA MKEKA 03

majario rewards 100 Comments 0
 

SEHEMU YA 30💘💘

majario rewards 100 Comments 0
 

TREVOR CHALOBAH 🫡

majario rewards 100 Comments 0
 

SEHEMU YA 28💘💘

majario rewards 100 Comments 0
 

🌹I MISS YOU 🌹

majario rewards 100 Comments 0
 

.BABAMKWE epsd 19.

majario rewards 100 Comments 0
 

SEHEMU YA 22💘💘

majario rewards 100 Comments 0
 

ALINIINGIA BILA IDHINI

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE..17..18

msagala rewards 100 Comments 0
 

bei sawa na bule

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 16

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 14...15

majario rewards 100 Comments 0
 

MDOLI MPENDA UTAMU...1

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA🙈3~4

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 11.

majario rewards 100 Comments 0
 

GIGY MONEY DAH😭

majario rewards 100 Comments 0
 

YOUNG AFRICANS,

majario rewards 100 Comments 0
 

BAKORA VILLAGE

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 7...8

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest