Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94

HUYU KAKA🙈3~4

6th Jul, 2025 Views 36



Niliwaomba wazazi wangu tuondoke kama ni msamaha si tushaomba tunasubiri nini tena?.

Wazazi wa yule mkaka walituzuia walisema sisi ni wageni hatuwezi kuondoka bila kula chochote..

Kula tena🥺🥺 na hizi hasira nilizonazo nile meza moja na hili limkaka??hapana siwezi..

Wazazi wangu walirudi kukaa yani ndo nikazidi kuchukia yani baba na mama inamaana wanakaa kusubiri chakula hapa??

Jamani mimi naombeni nitangulie nyumbani angalau nikaoge siwezi kula chochote mpaka nioge..

Mama wa yule mkaka aliniambia usijali mwanangu hivi unaitwa nani kwanza??

Naitwa Paris..

Wow jina zuri sana❤️subiri nikuitie dada akupeleke bafuni ukaoge..

Yani mimi nioge hapa kwenye hii nyumba🥺 hapana siwezi..

Dada aliitwa akaja akaambiwa anipeleke bafuni haraka nioge kisha aende chumbani kwa Baila anichukulie nguo ya kubadilisha..

Hapana mama nilijaribu kukataa lakini wazazi wangu wakaniambia kwa ishara nikubali..

Basi nilipelekwa bafuni nikaoga nikaletewa nguo nikabadili nikarudi sebleni ni kama vile nilikuwa nasubiriwa mimi tu

Nilivofika tu watu wote tukaombwa tuhamie dinning kwa ajili ya kuweza kupata chakula..

Basi ilibidi tu yani lakini sikupenda kula kwa yule mkaka..

Jina lake ni Bill nilisikia mama yake akimuita hivo na kumuomba aongoze sala ya kuombea chakula..

Aliomba kama mtu vile kumbe linyanyasaji kiukweli hata sikufumba macho wakati anaomba

Nilibaki namwangalia tu huku nikitamani nichukue uma nimtoboe nao ili nilipize kisasi cha yeye kuniweka lokapu kwa makosa ya mtu mwingine..

Tulikula nyumbani kwa Bill mimi hata sikushiba nilipakua kichakula kidogo kama cha mtoto mchanga..

Nilikula haraka haraka nikamaliza nikatulia kuwasubiria wazazi wangu wamalize tuondoke

Baba na mama walimaliza kula wakashukuru baada ya hapo wakaaga..

wazazi wa Bill walitusindikiza nje kwenye gari kabla hatujaondoka waliomba radhi kwa wazazi wangu

Waliomba tumsamehe Bill kwa sababu ni kijana mwema na hilo alilolifanya kunilaza mimi lokapu hata wao hawajalifurahia..

Baada ya wazazi wa Bill kuomba msamaha kidogo hasira zangu zilipungua..

Waliuliza kama tyr nimeshapata ajira wakaambiwa ndo niko nahangaika kutafuta kazi..

Basi wazazi wa Bill waliuliza kazi niloisomea nikawaambia..

Mama Bill alinipatia namba yake akaniambia nikifika nyumbani nimtumie cv zangu za kazi ili azipitie kisha atanipatia kazi ofisini kwake..

Mmhh nilisita kuchukua namba lakini wazazi wakaniambia nichukue ..

Niliwashangaa wazazi wangu🥺hivi nitafanyaje kazi sehemu moja na mzazi wa adui yangu??

Nilichukua namba tukaagana tukaondoka

Itaendeleaaaaaa

EPISODE 4

Tulifika nyumbani nikaelekea moja kwa moja chumbani kwangu nilikuwa na usingizi wa hela yote..

Nilijitupia kitandani bila hata kuvua viatu..

Muda mfupi mama alikuja chumbani kwangu akiwa na maziwa..

Alinikuta tyr nishalala lakini nilikuwa namsikia..alijisemea masikini mwanangu amejaa mapele ya mbu..

Siku tano nzima amesota na kuteseka kituoni💔mama alinung'unika badae alinifunika akaniacha nilale..

Baada ya mama kuondoka niliamka nikayanywa yale maziwa yote🤣nilikuwa na njaa kinoma

Kule kwa Bill sikushiba wala sikutaka kula chakula kwenye ile nyumba nilijilazimisha tu..

Nilimaliza maziwa nikalala siku iliyofuata mapema mama alikuja chumbani kwangu akiwa ameshajiandaa kwa ajili ya kuelekea kazini..

Yeye ni nesi na baba yangu ni mwalimu wa secondary..

Mama alinijulia hali akaniambia akifika kazini kuna dawa atanitumia za kusafisha damu na kuondoa infection zote nilizozipata huko kituoni..

Sawa mama hata usijali mi niko salama🥰alinikumbatia kisha tukaagana..

Wakati anatoka alipofika mlangoni aliniuliza kuhusu kutuma cv

Nikamwambia wala sijatuma na siwezi kutuma mama..

Kwani bado una hasira na ile familia??

Ndio mama ninazo haswa kwa Bill namchukia sana siwezi kuwa karibu na mtu yeyote wa familia yake..

Mama aliitikia sawa lakini baba yako alisema nikukumbushe utume cv..

Mxiiuu mama mimi situmi.. haya sawa mimi naondoka..sawa mama kazi njema..

Baada ya mama kuondoka niliendelea kulala..nililala mpaka saa saba mchana nikaamka..

Nilioga kwanza baada ya hapo nilienda jikoni kutafuta chochote kitu nipashe utumbo..

Nilikula chakula nikamaliza nikarudi chumbani.. nilikuta kuna missed call kutoka kwa baba..

Ikabidi nimpigie hello baba..hello Paris unaendeleaje??

Naendelea vizuri baba sijui wewe..mimi sijambo mwanangu vipi umekumbuka kutuma cv kwa mama Bill??

No baba bado sijamtumia..

Kwanini mwanangu?? Hiyo ni bahati mungu kakuletea ya kupata kazi kirahisi ilitakiwa utume cv usiku uleule wa jana..

Lakini baba mimi sitaki kuajiriwa na mama Bill sitaki kuwa karibu na familia ya Bill..

Naelewa mwanangu lakini kufanya kazi ofisini kwa mtu siyo kuwa karibu nae wewe unaenda kufanya kazi utakuwa muajiriwa kama waajiriwa wengine...

Baba alinisihi sana nitume cv nikamwambia sawa alikata simu namimi nikaendelea kulala..

Nililala mpaka usiku waliporudi baba na mama waliniita ili kuniuliza majibu niliyopewa baada ya kutuma cv

Niliwaambia bado sijatuma baba alifoka aliamuru nitume muda uleule akiwa amenisimamia..
FULL 1000
0699286085.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

HUYU KAKA🙈3~4  >>> https://gonga94.com/semajambo/huyu-kaka-3-4
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
rungu la kipofu 22
rungu la kipofu 22

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 14...15

majario rewards 100 Comments 0
 

MDOLI MPENDA UTAMU...1

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA🙈3~4

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 11.

majario rewards 100 Comments 0
 

GIGY MONEY DAH😭

majario rewards 100 Comments 0
 

YOUNG AFRICANS,

majario rewards 100 Comments 0
 

BAKORA VILLAGE

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 7...8

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA EPISODE 2

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE...5...6

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 3...4

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA 1

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈21

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈20

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 8

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 7

majario rewards 100 Comments 0
 

Life in a Year (2020)

majario rewards 100 Comments 0
 

Kenya, Tanzania, Congo

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 40

majario rewards 100 Comments 0
 

POSHY QUEEN:

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 39

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈19

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈18

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈17

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈16

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈15

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 05 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 04 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 03 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 02 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 01 ❤❤.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 34

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈14

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈13

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

TUWASHUKURU KINA BABA

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest