Jamani wewe kaka hivi umechanganyikiwa??
Unanifungulia mimi kesi ya nini?.
Si nilikwambia siyo mimi nilokuponda na kopo inamaana hukunielewa??
Okay fine fungua kesi yoyote unayoitaka hata ya mau aji nipatie na uhakikishe ninafia gerezani ili roho yako isuuzike okay?..
Alifyonza kisha akasepa hivi linajikuta nani hili??
Muda huohuo nilitolewa lokapu nikaenda kufunguliwa kesi et ya udhalilishaji jamani..
Kwetu walipewa taarifa wakawa wamefika kituo cha police
walipewa taarifa za kesi yangu na wakaambiwa kesi haiihitaji dhamana..
Wazazi wangu walichanganyikiwa baada ya kunyimwa kuniwekea dhamana..
Ikabidi waanze kumtafuta jamaa aloniweka lokapu..walipeleleza mpaka wakajua sehemu anapokaa
Baba na mama walikwenda mpaka nyumbani kwa huyo mkaka kwa lengo la kwenda kuongea nae..
Huyo kaka alikubali niwekewe dhamana kwa sharti moja tu
Nikubali kumuomba msamaha🥺🥺niliwaambia wazazi wangu waache niendelee kukaa mahabusu
Sikuwa tyr kuomba msamaha kwa kosa ambalo sijalifanya..
Niliwahakikishia wazazi wangu siyo mimi nilompiga jamaa na kopo la maji..
Wazazi wangu wananiamini sana ila sasa ili nitoke kituo cha police ni lazima niombe msamaha na familia ya yule kijana niliambiwa ni familia yenye nguvu sana
Baba aliniambia siwezi kuachiliwa bila kuomba msamaha..
Niliwaza nikasema okay acha tu nijishushe niombe msamaha ili nitolewe police..
Basi nilitolewa pale kituoni nikapelekwa nyumbani kwa huyo mkaka niende nikaombe msamaha..
Nilienda na wazazi wangu tulikaribishwa nyumbani kwake yeye hakuwepo tuliwakuta wazazi wake..
Tulikaa sebleni baada ya lisaa limoja alifika mlengwa alikuja akaa kwenye kochi akaandika 4 akawa anasubiri niinuke nikamuombe msamaha..
Nilishikwa na hasira lakini sa nitafanyaje
Nilisimama nikapiga hatua mpaka sehemu alipo nilipiga magoti nikamshika miguu nikamwambia sorry naomba unisamehe..
Alinyofoa simu yake mfukoni akapiga police na kuwaambia futeni hiyo kesi haraka..
Yani hasira zilinipanda lakini nikawa najizuia tu..
Kile kitendo cha mimi kumpigia magoti yule mkaka kiliwafurahisha sana wazazi wake..
Wakaanza kuwaambia wazazi wangu binti yenu ana heshima sana anaonekana ni binti alielelewa katika malezi mazuri sana..
Mmhhh wasije wakaanza kuleta mambo mengine wala sitokubali
Itaendeleaaaaa
Full 1000
0699286085.