Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

NAME ........................DADA WA KAZI MWANDISHI..............KELVIN MLOWE NUMBER .....................EPISODE 10

1st Jul, 2025 Views 13



Hakikisha unamfollow STORY ZA Zamrata kwa simulizi tamu na za kusisimua ......share comment like ...... Kwa sababu simulizi ni haki yako ndo maana uko hapa ....

SEHEMU YA 10
Siku iliyofuata, Onesmo alikuja mapema sana nyumbani kwa kina Baraka. Alivaa suti ya kaki aliyokopa kwa rafiki yake ili aonekane wa maana. Alipobisha hodi, Neema mwenyewe ndiye aliyefungua mlango.

"Karibu Onesmo, hujambo? Leo mapema hivi?"

"Ah, shikamoo mama, sijambo. Nimekuja tu kumuona Baraka, kuna deni lake dogo tu, aliniomba nimkumbushie leo."

Neema alitazama Onesmo kwa mshangao.

"Deni gani hilo? Mbona sijui?"

Onesmo alicheka kwa aibu na kujiuma uma.

"Ah… ni mambo ya mtaa tu mama, si makubwa. Acheni nimsubiri hapa nje, asije akasahau tena."

Wakati Neema akimwacha hapo nje na kurudi ndani, Baraka naye alikuja haraka kama aliyekuwa anapoteza amani. Alimtazama Onesmo kwa wasiwasi na kumuuliza kwa sauti ya chini.

"Vipi, umeongea nini na mke wangu?"

"Brooo! Nilimwambia ni deni lako tu, si unajua? Siri ni siri! Lakini usijisahau, nataka ile 50k mwishoni mwa mwezi."

Baraka alitoa pochi yake kwa haraka na kumpa elfu ishirini.

"Chukua hii sasa hivi kilikuwa ni 20k, nyingine nitakuletea wiki ijayo. Tafadhali usivujishe chochote."

Onesmo alitabasamu kama fisi aliyepewa mbavu za kondoo.

"Usijali kaka. Mdomo wangu sasa umefungwa kama kabati la bati. Lakini kumbuka, mwezi ujao narudi tena."

Baraka alimuaga haraka na kurudi ndani huku akiwa na hofu ya kutingishwa na siri ya penzi lake la hatari.

Saa saba na nusu za mchana...

Neema aliondoka nyumbani kuelekea kwa shangazi yake kwa shughuli za kifamilia. Alimwita Aziza kabla hajaondoka.

"Aziza, usisahau kufunga vizuri milango. Na tafadhali, hakikisha unamwandalia mume wangu chakula kizuri. Nitarudi usiku."

"Sawa dada Neema, nitafanya kama ulivyoagiza." Aziza alijibu kwa sauti ya upole sana, ila moyoni alicheka, “leo ni siku yangu.”

Baraka aliporudi kutoka kazini saa kumi jioni, alikuta harufu ya chakula kizuri imetanda sebuleni. Alipofungua mlango, alimkuta Aziza amevalia dera jeupe lililoonyesha kiuno chembamba na mapaja yaliyoshiba vizuri. Nywele zake zilikuwa zimefungwa vizuri na uso wake ulitabasamu kwa upole wa kimahaba.

"Karibu sana mume wangu , chakula kipo mezani... ila kabla ya kula, kuna juisi ya passion nimekutengenezea mwenyewe."

Baraka alihisi kama moyo wake unadunda kwa sauti. Aliketi kitandani na kuchukua glasi ya juisi, macho yake yakikwepa yale ya Aziza. Lakini Aziza hakuwa tayari kumuacha aachane na nafasi hiyo.

Alienda kukaa pembeni yake, kisha akachukua mto na kumrushia kwa utani.

"Mbona unaniogopa hivi shemeji? Si leo tupo wawili tu nyumbani? Hehe... au unataka nitafute nguo za kijijini ndio ujisikie vizuri?"

Baraka alicheka kwa aibu na kurushia mto pia. Walicheka pamoja, kisha Aziza alisimama na kumvuta Baraka kwa mkono.

"Simama hapa bwana mkubwa... kuna kitu nataka nikuonyeshe."

Baraka alisimama bila kupinga. Aziza alimkumbatia kwa nguvu, kifua chake kiligandana na kifua cha Baraka, pumzi zao zikachanganyika.

"Naomba uniangalie kwa macho yako yote leo, tafadhali," Aziza alisema kwa sauti ya upole. Baraka alimtazama. Macho yao yakakutana. Muda uliganda.

Aziza alinyanyua uso wake taratibu na kupapasa shavu la Baraka, akamvuta polepole. Wote walikuwa kimya, kama dunia imenyamaza. Alimsogezea mdomo wake na kumkiss taratibu kwenye shavu.

Baraka hakusogea. Alihisi moto wa mapenzi ukipanda. Aziza alimgusa kidevu chake na kusema kwa sauti ya chini:

"Naweza kukupenda kimya kimya. Lakini leo nataka usikie moyo wangu unapiga kwa ajili yako natamani unipende zaidi ya unavyompenda Neema na nitashinda nia penzi lako kama kombe la dunia ..."

Akamkumbatia Baraka kwa nguvu, wakashuka polepole kwenye kitanda . Mikono yao ikawa inazungukana. Aziza akamkumbatia tena, akimpapasa mgongoni na kumlalia kifuani.

"Niseme tu mume wangu ... mapenzi ni kitu cha ajabu. Siwezi kujizuia tena. Mbona unanifanya nihisi salama hivi?"

Baraka alizidi kulegea. Alimpapasa nywele zake na kumwambia:

"Hata mimi sijielewi tena... lakini naogopa. Naogopa mke wangu Neema akijua itakuwa mbaya kwako sio kwangu ."

"Sijakwambia umuachie yeye. Nimekuambia nipende kwa namna yangu. Mimi si mshindani... bali ni mpenzi asiye na nafasi."

Wakati walikuwa bado kwenye kitanda , wakitazamana na kubusiana kwa mikono, mara simu ya Neema ikaita mezani. Baraka alishtuka na kurudi kwenye akili yake.

"Ni Neema huyu anapiga!"

Aziza akamwambia kwa utulivu: "Mwachie mpigie baadaye. Saizi uko na mimi."

Lakini Baraka alinyanyuka kwa haraka, akajibu simu huku akitetemeka.

"Hello mke wangu... ndiyo... niko nyumbani, nimeshapata chakula... Aziza amepika vizuri sana..."

Aziza alimkazia macho na kumrushia mdomo wa busu kwa mbali. Baraka alijikuta anatabasamu bila kujua.

Baada ya simu, Aziza alimsogelea tena, akamkumbatia kwa nyuma na kumnong’oneza:

"Kesho tukiwa peke yetu tena, utaniruhusu nikubusu vizuri? Au bado utasema unaogopa?"

Baraka aligeuka, akamtazama Aziza na kumgusa mashavuni kwa upole:

"Wewe ni hatari, Aziza... lakini sitaki kukupoteza..."

Akayashika madodo na kumtoa huku Aziza akimtazama tu ........

#likeforlikes
#zamrata20k
#tunapigahatua @topfans.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NAME ........................DADA WA KAZI MWANDISHI..............KELVIN MLOWE NUMBER .....................EPISODE 10  >>> https://gonga94.com/semajambo/name-dada-wa-kazi-mwandishi-kelvin-mlowe-number-episode-10
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

GIGY MONEY DAH😭

majario rewards 100 Comments 0
 

YOUNG AFRICANS,

majario rewards 100 Comments 0
 

BAKORA VILLAGE

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 7...8

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA EPISODE 2

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE...5...6

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 3...4

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA 1

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈21

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈20

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 8

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 7

majario rewards 100 Comments 0
 

Life in a Year (2020)

majario rewards 100 Comments 0
 

Kenya, Tanzania, Congo

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 40

majario rewards 100 Comments 0
 

POSHY QUEEN:

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 39

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈19

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈18

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈17

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈16

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈15

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 05 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 04 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 03 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 02 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 01 ❤❤.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 34

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈14

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈13

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

TUWASHUKURU KINA BABA

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest