"Aviola" ni moja ya nyimbo ambayo inazidi kufanya vizuri kwenye mitandao ya kijamii na inazidi kutapakaa kwa mashabiki wa mziki na kulindima katika masikio ya watu........
Na hii ni challenge nyingine ambayo Mrembo QueenFraison "Bonge la dada" katoa tena kitu ambacho kinafanya nyimbo izidi kuwa kubwa sana........
Tizama video kwenye comment....
#ngombozitv #ngombozimedia.