POLE SANA GIGY MONEY DAH😭
"Nilitolewa Bikira nikiwa kidato cha pili, aliyenitoa alinidanganya atanipa duka zima la baba yake ambalo lilikuwa Kariakoo, lakini baada ya kunitoa hakunipa duka wala nini na shule nikafeli"- Gigy Money, Msanii wa muziki Tanzania..