"Unajua mrembo, kila nikikuona nakuwa kama Yanga kwenye finali ya CRDB bank mapigo ya moyo yanaenda mbio, presha inapanda, lakini najua mwisho wa siku ninaibuka bingwa nikiwa na kombe mikononi... na kombe hilo ni wewe hapo ."
"Wewe ni khalid aucho , unavyojipanga moyoni mwangu hakuna anayekupita. Naamini utanipa mapenzi ya kweli , kama assist za Pacome na utanichezesha kwenye uwanja wa hisia na kila ukinichekea ni kama bao la dakika za jioni la Clement Mzize "
"Naomba tu nafasi moja ya kuingia kwenye ligi ya moyo wako, sitahitaji VAR kuthibitisha kuwa nakupenda kila mpira nitakaochangia kwenye penzi letu utakuwa na assist ya kweli, hadi tufike fainali ya ndoa."
"Najua timu yako ni kubwa, lakini moyo wako ni zaidi ya ubingwa wa NBC nakutaka wewe, si kwa sababu ya rangi ya kijani na njano, bali kwa sababu ya vile unavyonifanya nihisi kama nimepata pointi tatu za maisha yangu."
"Kama Yanga inavyoamini mpaka mwisho, nami nitaamini penzi letu mpaka mwisho... maana mapenzi yetu yanaweza kuwa kama finali ya CAF yamejaa presha, lakini mwisho wake kuna kombe la furaha."
sitakusaliti kama Mangungu na makolo
Nakupenda sana.......
kujiunga na chanel yangu ya hadithi ni bure tuma neno niunge
0699286085.