Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

DOCTOR NIKUNE NA HUKU KUNAWASHA🌹🌹❤️❤️❤️🌹 ❤👌👌 12...

1st Jul, 2025 Views 94



Nililia mpaka nilihisi kuumwa kichwa ,ilipita zaidi ya dakika 30 nimekaa huko nyuma , simu yangu ndo ikaanza kuita alikuwa anapiga abbas niliitazama basi hasira ndio zikazidi nikaanza upya kulia kidogo nilikuwa nimeanza kupunguza speed , alipiga sikupokea mpaka ikakata,ikaanza tena kuita nilikuwa naitazama tu wala sijapokea akatuma sms (sorry maam simu niliweka mbali kidogo nilikuwa nakazi kipenzi what happen?? Please pokea simu niambie mke wangu) niliisoma ile sms nikaaachana nayo ,simu ikaanza tena kuita, ikaita akapiga zaidi ya mara kumi na sms kibao za kunibembeleza lakini siku pokea ,kidogo nikasikia geti linafunguliwa hata sikuinuka kuona nani anaingia au bi shost anatoka sikujali sec hiyo hiyo simu yangu tena ikaanza kuita abbas amekazana kupiga nikaona huyu asinizoee nikaikata nikaizima wakati naizima nashangaa abbas amesimama kwenye kona ya nyumba ananitazama ,

Kwanza alishusha pumzi akawa ananiangalia kama mtu anaejiuliza , afu akaja nilipo haraka kumbe wakati anaingia alifata mlio wa simu ndo akanikuta huku nyuma
"Dearing shida nini kipenzi changu???" Aliniuliza huku ananishika uso ananifuta machozi basi mimi kumuona ndo machozi yanatiririka tu bila hata sauti kutoa , yaan machozi yanavyotoka jamani kama sifa vile anafuta yanavuja tu ..
"Naomba nipeleke tu kwangu.."
"Nasraa honey, nikupeleke kufanya nini kuna kitu hujakipenda hapa au nimekukosea nambie kosa langu mamaa nambie tafadhali sana , Hasira hazijengi mke wangu haya nambie nimekosea wapi"
"Nyumbani kwangu nilikuwa na amani mi sijaja kula hapa kama kula hata kwangu nilikuwa nakula tena nakula chakula ambacho nakitaka mimi wala sijafata kula kwako"
"Yes!!! Yeah najua hujafata kula , kipi kimekukela au chakula amekuletea kibaya"
"Hata haihusiani na chakula, umenileta humu ndani kama nani yako??"
"Mke wangu mtarajiwa inshaallah mwenyezi mungu ajaalie hilo lipite"
"Sio kweli ,umenileta kama mwanamke wako humu ndani lakini umenitambulisha kwa mpenzi wako mimi ni mfanyakazi wako ndio mana anafanya anachojiskia kwasababu humu ni kwake"
"OMG!!!! Who's???"
"Hujamuona humo ndani"
"Sijaingia hata ndani nimefika getini napiga simu yako inaitia huku ndo mana nikaja moja kwa moja , embu inuka " akaniunua akawa amenishika kiuno mkono mmoja mwingine amenishika mkono wangu

Tukafika sebleni ipo pochi tu shoga hayupo akanambia "yupo wapi??" Nikamjibu unaniambia mimi mwangalie chumbani kwake kwani hapa si ndio kwake ...
Kweli bwana tukaingia chumbani Martha kajiachia kwenye lile tanda mwenzangu yupo na nguo ya ndani tu chini afu juuu yupo na Tshirt ya baby kajiachia mwenyew. Tumeingia tu nikamsikia abbas Amesema kwahasira "Damn it" akakuna kichwa
"Martha!!!" Alimuita uso wake ulikuwa na hasira yaan ukimtazama tu unajua sio kwema hapaaa
"Ooh umerudi "
"Embu nisikilize Martha, " alimwambia huku anamtupia taulo ajifunge
"Yes humu ndani ulipazoea nafikiri ulikuwa sahihi kwa sababu nilikuwa alone but now ,siko vile tena sitaki tukosane ni bora tuheshimiane ,, hichi chumba sio changu tena kina mtu na mtu ni huyu , huyu ni mwanamke wangu mpenzi wangu mungu akijaalie ndie atakuwa mke wangu , jana nilikueleza kila kitu nashangaa leo umefanya mambo ya kipuuzi sana ili iweje?? Mimi nawewe tuna mahusiano?? Au unavyofanya hivyo inakuja picha gani?? Mwanamke wangu afikirie nini?? So please Martha wewe ni kama rafiki yangu wa kwanza dada angu ndugu yangu please and please hii tabia isijirudie tena na ka......."
"Inatosha abbas unaongea sanaaa" Martha alimkatisha kuongea huku anachukua nguo zake kuvaa yaan hata aibu haoni anavaa hapo hapo mbele yetu
"Mh naomba kuongea na wewe" alimvuta mkono abbas lakini abbas alikataa
"Ongea hapa hapa hakuna cha kumficha Nasra " Nikasema yessssssss🥰🥰hivyo ndio napenda mieeee👌
"Martha alinitazama juu ,chini akasonya afu akatoka alinipiga kikumbo cha nguvu manusra nianguke
"Huyu ana nini mbona kawa wa ajabu gafla???" Abbas akabaki tu anamshangaa mimi mwenyewe nikajiuliza sa kama hana mahusiano na abbas mbona anaigiza vitu vya ajabu hivyo ...
Alipo ondoka abbas akanibeba juu juu akanipakata miguu yangu nikaipitisha kiunoni kwake
"Utakuja kuniua nasra ujue?? " akanambia huku ananibusu mdomoni mi nikacheka mwenyewe nilijiona mjinga khaa sio kwa nilivyopaniki vile
"Hata kama ungekuwa wewe abbas mmh ndo nini vile mtu anatawala kama kwake tena anaingia chumbani kwako anavaa nguo zako"
"Hata sijui huyu mwanamke amekumbwa na nini gafla hivi , hakuwahi kuwa hivii"
"Labda anakupendaa"
"Mmh Hapana aliwahi kuwa na mahusiano na ndugu yangu ye ni DOCTOR muhimbili, na hiyo ndio ilikuwa sababu ya mimi na yeye kuwa Karibu hata walipo achana akabaki kuwa mshkaji wangu"
"Mh" niliguna tu huyu shemeji anataka kuliwa na abbas lakini abbas anakichwa kigumu kweli kweli hata haelewi kidogo tu mimi nimeelewa anataka nini😀😀 ..
Akanambia " tusiharibu siku yetu et mana kote kumekuwa kizungu zungu kule shost wako akuonee wivu huku aliekuwa shemeji yangu analeta mapicha picha ,embu jiandae tukale afu tuzuruleee mpaka basii " nikasema hayaa chap nikaenda kuoga akanipa mfuko kulikuwa na nguo nzuri afu zimaonekana za bei ilikuwa suruali ya suti koti lake na kinguo cha ndani afu na kiatu kirefu eeeh🥰🥰nilinogaa nikawa wa kishua hatari ,

Akatoa piki piki yake na hivi nyuma mtoto mashaallah basi nikaubinua bwana weee hakiamungu nilikuwa natamani nimwambie embu twende kule Vingugwe Bondeni kwetu wakanione kwanza nilivyonawiri kwa usiku huu mmoja tu😀 hata kama nikionekana limbukeni Fresh tu mladi moyo wangu nimeulidhisha ....

Tukaenda mpaka mwananyamalia mimi tena naona bado limeandikwa Shishifood aiyaa😋😋🤗 hata sipajuagi napaonaga tu Fb hukoo , nikashuka mpaka natetemeka nisije kutia aibu bure , baada ya kushuka tukaenda kwenye meza kukaa akachukua simu akampigia mtu akamwambia tumeshafika tayari ,,yeah ukija tu nitakuona ...okay poa poa...
Alipo kata simu muhudumu akaja pale juu kulikuwa na menu akanipa nichague nakula nini mwenzie hata sielewi ni kama alinisoma flani hivi akamwambia muhudumu tutakuita afu akaondoka yule kaka aliekuja , akachukua menu akanambia ngoja nikuchagulie sawa nikasema asante ,moyoni nasema ulijuaje mi hata sielewi
Akanambia kwa vile sa hivi bado mapema tunywe juice tu baadae tutakula cha usiku then home unaonaje nikasema yote sawa tu ..
Simu yake ikaita akaipokea kama kuna mtu alikuwa anamuelekeza aje upande wetu ,
Akaja huyo mkaka yeye anaonekana ni mkubwa kidogo kwa abbas japo ukiwatizama utasema wako sawa, sema sasa aaaah yule kaka alokuja mungu wangu weeee !!!! Ni MZURIIIIIII !!!!mzuri mpaka anachanganya akili jaman nyie mimi nilikuwa nasema abbas ni mzuri huyu ni kiboko nae ni msudan uuuh🙌🙌
Akanisalimia kwa kunipa mkono Anavyonukia mpaka nikawaza hivi haya sio majini kwelii??😥 ngoja nijichanganyeee ...

ITAENDELEA....

Soma mpaka mwisho kwa sh 1000
Njoo WhatsApp 0781858056.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

DOCTOR NIKUNE NA HUKU KUNAWASHA🌹🌹❤️❤️❤️🌹 ❤👌👌 12...   >>> https://gonga94.com/semajambo/doctor-nikune-na-huku-kunawasha-12
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

GIGY MONEY DAH😭

majario rewards 100 Comments 0
 

YOUNG AFRICANS,

majario rewards 100 Comments 0
 

BAKORA VILLAGE

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 7...8

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA EPISODE 2

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE...5...6

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 3...4

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA 1

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈21

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈20

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 8

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 7

majario rewards 100 Comments 0
 

Life in a Year (2020)

majario rewards 100 Comments 0
 

Kenya, Tanzania, Congo

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 40

majario rewards 100 Comments 0
 

POSHY QUEEN:

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 39

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈19

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈18

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈17

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈16

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈15

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 05 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 04 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 03 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 02 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 01 ❤❤.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 34

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈14

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈13

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

TUWASHUKURU KINA BABA

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest