Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

🏴‍☠️𝙒𝙄𝘾𝙆𝙀𝘿 𝙎𝙊𝘾𝙄𝙀𝙏𝙔 Episode 4

2nd Jul, 2025 Views 27



...nlitense Sana coz vitu nliona ilikuwa miraculous 😬😬😳. Nlijitia Moyo niende kwa yule daktari anitolee hii shida once😭😭. Nlikumbuka zile masauti ya " mom don't do it nkaanza kulia😭😭" but maisha ilikuwa imenichapa Hadi nkaanza kuwa na unyama. Nlichukua bag yangu nkamake sure kila kitu kwa auntie iko poa. Nlijua auntie hangerudi siku iyo cause alienda kwa bwanake so ilikuwa Mimi nyumbani solo😢😢. Nlishika nduthi mbiobio nifike kwa daktari 🏍️.

Nlifika kwa daktari akanikaribisha na smile🤗🤗. "Karibu sana Violet , relax acha kuwa na uoga, hii kazi nmefanya kwa muda na nmeudumia wengi🤗🤗" daktari shosh mrembo, physical appearance yake ilikuwa opposite na kazi alikuwa anafanya.

Me: ahsante Sana daktari, bytha Mii Ile stigmatism nmepitia uko nje😭😭😢, hadi babangu ameloose hope na Mimi😢, nkiwa shule wanafunzi walinicheka time walishuku nmetumwa home juu ya bol, haki nmeteseka ya kutosha😭😭😭( nlianza kulia)

Daktari: don't worry, from next week utakuwa salama salimini, Mimi ntakupea tu dawa ya ku- induce pregnancy ndo umiscarry uyo mtoto alafu watadhani ilihappen naturally. Nmeudumia wengi na clients ni wengi dear🤗🤗
Yule daktari aliniacha sitting akaendea madawa zake, nlibaki nkiangalia angalia Ile sitting room yake nkiongoja afike acheze kiyeye. Nliona hapo kwa ukuta picha yake, bwanake na mtoto wao wakiwa kwa field flani wote wakiwa na furaha😳😳, kidogo ivi nkaangalia picha ingine ikacapture attention yangu😳😳😳😳🤯🤯🤯 nlikuwa kwa iyo picha nmesimama nmeangalia kaburi ya mtoto wangu 🤯🤯🤯, nlishtuka mbaya sana right on time yule daktari akafika amebeba kit flani iko na content ndani " whaaaaat😳😳, mbona umeshtuka na kusweat Violet???" Daktari aliniuliza akiwa ametense, nlimwangalia then nkapoint Ile picha ilikuwa kwa ukuta😳🙆, kwa mshangao nkaona Ile picha ni ingine tofauti, ilikuwa picha ya daktari akiwa amegraduate "what is wrong with my photo Vayo? " Aliniuliza akiwa ameshangaa😳😳aliweka Ile kit ya dawa akakuja akanikaribia "Violet, are you depressed??, I think you are not okey😳"

Nliamua nipee daktari full story kuhusu this things inanihapenia na masauti huwa naskia😢😢, yule daktari aliskia keenly akiwa ametense. Nlimwambia kuhusu Ile sauti ya "please mom, I need life too and I have a mission to change the world..."

Nlimaliza narrative yangu yule daktari akashika Ile madawa yake akarudisha then akasema "am sorry mimi nmeogopa, swezi fanya hii kazi🖐️🖐️...

daktari alikataa kutatua tatizo langu😭😭. Nliamua Sasa nvumilie tu hakuna otherwise 😭😭. Nlirudi pale kwa auntie kama kawaida kupigwa na maisha 😭😭. This was the darkest moments in my life. Nlifika kwa auntie nkaenda room yangu nkajipata kwa bed nkilia non-stop 😭😭. " Haki baby am sorry for that satanic act I was about to do😰😰, momma uku maisha imemlemea Sana😰. Let me promise you life kajunior, I will never think of something like that again😰😰😰.

Life iliendelelea kuwa ngumu tumbo yangu ikiendelea kuwa kubwa😰😰. Nlianza kukataa some kind of food but auntie alinikalalia proper, nliteseka tesetese Kama mwana Israeli pale misri nkiomba mungu anitumie angalau Moses aje aniokoe😰😰😰. Nlipitia hell nkiona life life Hadi at some point nkaamua ntoroke njiendee home 🤨🤨, nliamua Buda anitese atleast mom atakuwa around akinisaidia hapa na pale😰😰. Deal ya kuhepa nlianza kupangia next Thursday , nirauke asubui na mapema ntoke pola pooole niende stage nshike gari niende home roho Safi niende nikabiliane na vicheko ya wanakijiji😰😰😰. Waanze kusema mimi nshafail in life. Waseme Mimi nlikuwa milayaz hadi nkipata mimba, nliamua niende nvumilie izi aibu zote nkiwa na lengo kuwa siku moja ntamwona uyu mtoto wangu😰😰😰.

Iyo siku nliamka kitu four usiku nkapanga vitu zangu pole Poole cause auntie bado alikuwa analala, fare nlikuwa nayo yenye ingenifikisha home😰😰😰. Nlijipanga nkakuwa ready kutoka, kifunguu ya gate auntie alikuwa anaweka hapo kwa table. Nliingia sitting room pole pole nkachukua kifunguu but before niende nkaandika barua

Dear auntie,
Am sorry Mimi nmejiendea home, Ile mateso napata uku Mimi sioni Kama naweza vumilia😭😭😭, umenitreat as if Mimi si relative wako, nashangaa mbona nkuite auntie yangu na venye uku imekuwa hell kwangu, nliona nkiendelea kukaa uku naweza jitoa uhai bure...bye auntie 😭😰😰😰💔"

Niliacha iyo barua juu ya bed yangu nkashika bag yangu nkatoka polepole nkafungua gate na nkafungua then kifunguu nkatupa hapo chini ndani😰😰, juu sikuwa na pesa ya kutosha nkafoot nfike stage. Masaa ilikuwa 5 am asubui. Nlifika kwa stage magari haikuwa ready. Ilibidi niongoje hadi 7 asubui...

Nlitake seat hapo nyuma ya gari nkatulia nkiimagine venye ntaonekana home na tumbo yangu kubwa ya 5 months sasa..nliimagine watu wakishangaa😳😳😳🙆" kwani uyu alienda kusoma ama alienda kuolewa" tears started blocking my eyes. Nkiendelea kutulia conductor akanifikia " dada, pesa hapo nyuma!" Nlifungua place nlikuwa nmeweka pesa sikupata😳😳😳😭, nlitafuta tafuta nkakumbuka kumbe Ile pesa nlikuwa nmeweka katikati ya bibilia na bibilia yenyewe nliacha kwa auntie 😭😭😭😰. Taabu after taabu. "Hey dada, please gari iko kwenda, kama huna fare ushuke tafadhali, heshimu kazi yangu🙄🙄"
Nlishuka kwa Ile gari nkianza kusweat 😰😰😰😰😰......

"Harakisha toka mbele hii gari inataka kwenda, na kwanza uliingiaje gari ukijua huna pesa😳😳😳" yule conductor alinishoutia🥺🥺🥺. Nliona aibu nkashuka mbiombio
"Uyu nkama mimba inamsumbua, alienjoy utamu sai anaona moto" conductor mwingine hapo nje akasema wengine wakacheka😂😂😂😂😂. Nlifeel aibu ingine sjawai feel in my life🥺🥺🥺. Nlitoka hapo kwa stage nkaenda kusimama place flani kiasi nkifantoo the way forward 🤔🤔🥺🥺🥺 "ama nirudi kwa auntie nseme nlikuwa nmetembea kiasi🤔🤔, what if ameona Ile barua nliandika😰😰. Nlisimama hapo nkiwa nmeshika bag yangu na dress yangu ikiwa imefurishwa na tumbo😰😰. Arufu ya mafuta ya gari na Moshi ya sigara ilikuwa inanihit vibaya sana nkaanza kufeel kuvomit😰😰. Nlisimama hapo nkiwaza nkiwazua. Watu walikuwa mbioni wakienda kazi asubui na wanafunzi wa day school walikuwa wanaenda shule. Chokoraa wengi walikuwa washaamka kila moja na gunia yake chafu kwa mgongo.

Nlianza kuquestion mungu but hakuwa anareply "God, what sin did I do to go through hell in this Earth 🥺🥺🥺...God why am I going through this and am a great believer.." nliona mawazo yangu inaweza kosea mungu nkaamua ntoke iyo place nlikuwa nmesimama. Kugeuka ivi😳😳😳😳💥 boom, nkapata auntie anakuja haraka haraka towards place nlikuwa😳😳😳 " IDIOT!, umedhani umehepa" twendéeee, auntie alinishika kwa mkono na kunivuruta Mimi nkakubali tu cause sikuwa na otherwise 🥺🥺🥺. " Wee mama,kwani uyo amekuibia mimba ama😂😂😂" chokoraa flani alijoke na kuendelea kusniff glue yake yenye ilikuwa kwa chupa ya plastic. "Ingia kwa gari twende ujibu kesi😳😳😳" nliingia kwa gari auntie akawasha dinga tukajitoa hapo 😰😰😰. Nlijua Ile war ntaonwa hapo kwa auntie ni ingine mwendaa, ni Kama Ile Vita paka inakula vifaranga upigwa😰. Auntie hakuniongelesha, mikono yake ilikuwa kwa steering na macho yake ilikuwa kwa road 😎

Haikutake time ile gate ya auntie ikaonekana from a distance. Tulifika gate auntie akashuka akafungua na kuingisha gari ndani na kufunga gate na padlock 😭😭😭😭. Alinishika mkono akanivuta tukaingia kwa nyumba akafunga mlango😳🙆🙆🙆💔😰😰😰. Nlijua Ile kitu ingehappen hapa ingekuwa ingine noma sana😰😰😰.........

𝙏𝙤 𝙗𝙚 𝙘𝙤𝙣𝙩𝙞𝙣𝙪𝙚𝙙..🖋️

Hata mkininyima likes nitapost tu... Mimi fire si fire... Mimi noma si noma😂😂

Episode 5 jioni 8pm.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

🏴‍☠️𝙒𝙄𝘾𝙆𝙀𝘿 𝙎𝙊𝘾𝙄𝙀𝙏𝙔 Episode 4  >>> https://gonga94.com/semajambo/wicked-society-episode-4
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

GIGY MONEY DAH😭

majario rewards 100 Comments 0
 

YOUNG AFRICANS,

majario rewards 100 Comments 0
 

BAKORA VILLAGE

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 7...8

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA EPISODE 2

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE...5...6

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 3...4

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA 1

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈21

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈20

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 8

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 7

majario rewards 100 Comments 0
 

Life in a Year (2020)

majario rewards 100 Comments 0
 

Kenya, Tanzania, Congo

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 40

majario rewards 100 Comments 0
 

POSHY QUEEN:

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 39

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈19

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈18

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈17

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈16

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈15

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 05 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 04 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 03 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 02 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 01 ❤❤.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 34

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈14

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈13

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

TUWASHUKURU KINA BABA

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest