chapter in Tanzania is officially over. 🇹🇿👋
Ingawa Yanga SC walionyesha nia ya kumsajili, mshambuliaji huyo wa Gambia kama mbadala wa Clement Mzize ,Sila ameamua hatasaini nao. Anatafuta changamoto mpya nje ya nchi na huenda Yanga sc hawatamuuza Mzize mpaka watakapopata mbadala mwenye uwezo zaidi ya alionao hivi sasa
Sillah alihusika kwenye mabao 31 katika mechi 68 akiwa na Azam FC — takwimu nzuri sana kwa kijana huyu wa Kigambia.
Kaizer Chiefs nao wapo kwenye kinyang'anyiro cha kumnyakua Mgambia huyo, lakini bado hakuna uamuzi uliofanywa.
Sasa ameondoka Dar es Salaam na amerudi nyumbani Gambia.
#Transfers #AfricanFootball #Gambia #AzamFC.