❤️💋Upendo ni tiba maradhi hukimbia. Salamu ni shibe biriani yazidiwa. 💋🥀
❤️Kukumbukana ni haiba nuru hutuangazia. ❤️Kwa furaha na mahaba sichoki kusalimia. ❤️Usiku mwema❤️
❤️Salio la macho yako halitoshi kuendelea kuona kwa sasa tafadhali tandika kitanda na ulale.❤️
🥀❤️Kwa maelezo zaidi subiri usingizi ukolee uniote nikuote. ❤️🥀
Usiku mwema!💋
❤️Ni usiku tulivu wenye hali ya hewa saafi na usingizi wa amani ukishika hatamu kuzisafirisha fikra zako kimahaba.❤️🥀
❤️Ila jipongeze kwa mafanikio ya mipango yako. 🥀💋🥀
Fumba macho uikaribie nchi usiyoijua,
usiku mwema dear!🥀🥀❤️💋.