Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

NIPE YOTE DADY 40

1st Jul, 2025 Views 323



Msinichambe bwana kila mtu anastaili yake
yakutaka kubebelezwa, basi nikambelezwa pale
kisha nikalala kwa amanii.
Kesho asubuhi niliamka mapema sana kisha
nikaingia jikoni mtoto wakike nikapika vitu
vitamu vitamu na kuweka kwenye vyombo safi
kisha nikaweka mezani na kuingia chumbani
nikamuamsha kipenzi changu na akaamka.
Kisha akaingia bafuni na akapigwa mswaki
nikatoa nguo zangu na kuingia bafuni Selim
aliniangalia na kubaki kimya nilimsogelea na
kufungua vifungo nikamtoa nguo moja baada
ya nyingine kisha tukaoga na kwenda kupata
chai.
Tulikunywa chai kisha nikamwambia
ninamaongezi alisema sawa na kukaaSiku za kurudi kazin zilifika akawa ananipeleka
asubuhi jioni ananipitia tunarudi na kusaidizana
kazi za nyumbani kisha tunalala Nyumba ilijaa
vituko Nikama kuna upande wa pili wa Selim
ambao nilikuwa sijauona kuna mda nilimuona
kama kivuruge zaidi yangu.
Sasa sikumoja tukiwa tumetoka kazin tukapita
kufanya manunuzi sokoni katika hayo
manunuzi bwana kuna bidada akawa
anamchangamkia Selim balaa mimi nikawa
kimya wakawa wanataniana wenyewe si
akamuuliza huyo ninani akamjibu eti mimi ni
rafiki yake basi kakanisalimia nikakachekea
kenyewe kama kawaida yangu tukanunua
kisha hao tukapeleka vitu kwenye gari
na kuanza safari mda huo niko kimya
nikasubiri tumefika nyumbani nikalianzisha
wee nilifoka si akawa anacheka nilinuna nakunisikiliza, "Selim nimetaka kuongea na wewe
kuhusu sisi "
"Yes babe nakusikiliza mamy
""" nafikiri turudi kama Zaman yani tuishi
kawaida tu ila tutakuwa tunafanya kama jana
yani tuwe friend for benefit "" nyie akili yangu
naombeni muiache hivi hivi na nisiulizwe
maswali tafadhali
Selim aliniangalia kwa mda akatabasamu na
kusema "sawa nimekuelewa "
Nilitabasamu tukaendelea na mambo mengine
,tulianza kuishi kama kawaida ukweli nilikuwa
na furaha sana tukimiss michezo tunacheza na
vituko kama vyote.kwenda kujifungia chumbani akaanza kuniita
huku akinibembeleza nilivunga na kuendelea
kulia akakaa kimya nikafungua na kumwangalia
kama katoto kanakonewa
alinifata na kunikumbatia na kusema "basi mke
wangu nisamehe"
"sitaki we hunipendi Selim unanitumia tuu"
"Hapana mke wangu nakupenda"
"muongo ungekuwa unanipenda usingeni
tambulisha kama rafiki na si mke "
""lakin babe si ulisema kuwa tuwe marafiki tu
?""Siku hiyo nikiwa zangu nyumbani nimepika
vizur kisha nikamsubiri mume wangu arudi,
mida ilipofika akarudi nikampokea vizuri mda
wa kula hao mezani.
Tukiwa tunakula nilihisi kichefu chefu
nikakimbia na kwenda kurudisha chenji,
aliinuka na kunifuata akataka kunipeleka
nilikataa maana mda ulikuwa umeshaenda
hivyo tukalala kesho yake asubuhi mapema
tukaenda hospital.
Kupima mimba ilikuwa ni taarifa njema kwetu
tulifurahi na kurudi nyumbani.
Sasa bwana vipwengo vya mimba changa
vikaanza
mimba.
nyie acheni nisema shikamoo"mi nilitania tuu sikuwa na maanisha
Sawa mamaa sitarudia tena kipenzi changu
nakupenda sana
"
""Nakupenda mume wangu
"""nakupenda pia
www
babe!""
"""Yes wife
"
Nimemiss "" alitabasamu na kunibeba haoo
tukaingia kutafuta watoto bwanaee maisha
yakaendelea zikapita wiki tatu tukiwa tunaishi
maisha mazuri penzi likiwa moto
.Bwanaee ngoma lilianza nikawa sina hamu ya
chakula na ikitokea nikila tu narudisha chenji
siku hiyo nikaamka subuhi nasikia harufu ya
njugu tu.
Chakula kingine hakipandi nikamwambia Selim
nataka kula njugu basi kijana wawatu akaingia
sokoni ma kununu akaja kuchemsha vilivyoiva
kula radha siielewi acha nianze kulia kama
mtoto nataka njugu nataka njugu
Kijana akachanganyikiwa acha aanze
kuzitafuta kwenye migahawa kila nikila sipati
radha ile ninayoitaka.
Mwisho nikakumbuka radha ile ninayoitaka ni
njugu ambazo anapikaga mama yake na rafiki
yangu moja hivi wa huko buza.Mume wangu hakuwa na shida tukaenda hadi
buza hapo tunatoka mbezi beach tunaenda
buza kufata njugu
Kufika kule tukasalimia bila hata aibu
nikamwambia mama Irene kuwa nimekuja kula
njugu
Kwakuwa ni mtu mzima alinielewa masikini
zikachemshwa hizo njugu hapo ni saa moja
jioni na kama mnavyojua njugu kavu zilivyo
ngumu kuiva
Aisee nilikaa chini hapo naongea kama chiliku
mda huo Selim ananiangalia tu saa tatu
kuelekea saa nne ugali ukawa hatar nilikula
kama ninaweka kwenye pipa
baada ya
kushiba nikawa tayari kurudi kwetu.Selim kaomba afungashiwe kidogo ili nikihisi
njaa nile, niulize zilifika nyumbani☺
Tukifika na hotpot likiwa tupu, kesho yake
niliamka vizuri tu na kufanya shughuli zangu
mida ya mchana nikampigia Selim na
kumwambia aniletee sambusa za wali
hakuuliza swali akasema sawa mke wangu
Jioni alirudi na deli limejaa akaniwekea hapo
yeye akaingia jikon kupika chake ile kusikia ile
harufu ya vitu anapika nikarudisha chenji
ikabidi nikae nje apike vitu vyake akimaliza ndo
niingie ..
Siku zilienda nikawa napenda vyakula vile vya
uswahilini tu yani hata ikitokea akinipikia vile
vile havipandi ikabidi aweke order kila siku
nikawa naletewa mara sambusa mara kacholimara sijui ugari na dagaa mchele bila kusabau
kachumbali ilee ya uswahilini kibisa akawa a
anizuia kula pili pili nakaa chini nalia kama
mtoto ananionea huruma na kunipa kidogo.
Ilifikia hatua na Selim akawa ananipa kampan
zikiletwa hizo sambusa sijui za choroko
tunaweza pili pili kiasi pembeni kuna maji ya
baridi au Pepsi akiinuka tu anatakuta natafuta
barafu tunagombana nalia kidogo kisha
tunaendelea kula
Siku zingine nitajisikia kutembea tu namwambia
babe tukatembee kama hana kazi tunaanza
kuswampa
siku moja tukilitoka kama kawaida na kwenda
kutembea tukiwa njiani huku niko nakula ice
cream ile ya uswahili si mnaijua ee basitukapita supermarket si tukakutana na baba
mkwe akatuangalia na kutupita nilimuona
Selim alivyoumia tukanunua vitu na kurudi
nyumbani.
Kesho yake aunt Suna alikuja kuniangalia
nikamwambia kuwa tulikutana na baba mkwe
lakin hakutaka kuongea na sisi akasema
tumpe mda akijifikilia zaidi atakuja kutuelewa na
kila kitu kitakuwa sawa.
Basi siku zilienda nikajifungua salama Kwa
neema ya Mungu nikapewa mapacha, nikiwa
bado hospital nilipata surprise ya familia
yangu kuja pamoja na wakwe Selim alinuka
na kusimama wakatusalimia pale na kuomba
msamaha kwa kila kitu ni wazazi tena hivyo
tukawasamehe basi wakawashika watoto na
kutoa Baraka zao.Furaha ikatawala watoto wakakua ila mimi na
Nasra hatukuwa na maelewano kabisa.
Siku moja zuu akanipigia na kuniambia Nasra
ni mjamzito tena sasa balaa linakuja mwenye
mimba ni mzee tena rafiki wa baba mzee
mwenyewe ana familia yake na wajukuu juu
alooh baba alipata presha.
Kwa mara ya pili baba na mama wakaniomba
msamaha kwa ubaguzi waliokuwa wakinifanyia
Sinaga kinyogo na mtu nilisamehe tena
nikaendelea na maisha yangu Watoto sasa
kuna mmoja mpole na mwingine kivuruge kama
mimi hapa
Namshukuru Mungu sina roho ya ubaguzi kwa
wanangu wala upendeleo nawapenda wote,huyu mcharuko wangu naenda nae vizuri tu
huyu mpole sasa ndio namkazania maana
wanakuaga na mambo ya chinichini sana

Siku moja asubuhi baada ya kuamka nilikutana na tukio la ajabu sana kusema ukweli nilibaki mdomo wazi..

Je ni nini kilichotokea??

*TUKUTANE SEASON THREE*

All the best
Nawapenda wote.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NIPE YOTE DADY 40  >>> https://gonga94.com/semajambo/nipe-yote-dady-40
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

GIGY MONEY DAH😭

majario rewards 100 Comments 0
 

YOUNG AFRICANS,

majario rewards 100 Comments 0
 

BAKORA VILLAGE

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 7...8

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA EPISODE 2

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE...5...6

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 3...4

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA 1

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈21

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈20

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 8

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 7

majario rewards 100 Comments 0
 

Life in a Year (2020)

majario rewards 100 Comments 0
 

Kenya, Tanzania, Congo

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 40

majario rewards 100 Comments 0
 

POSHY QUEEN:

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 39

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈19

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈18

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈17

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈16

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈15

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 05 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 04 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 03 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 02 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 01 ❤❤.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 34

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈14

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈13

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

TUWASHUKURU KINA BABA

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest