Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

❣️NASRA TAMU YA WOTE 1---2

1st Jul, 2025 Views 9

❣️NASRA TAMU YA WOTE
1---2

" Mimi naitwa Nasra Niko hapa kukusimulia mkasa uliyo nikuta,
""Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita Nilipata kuolewa katika familiya ya kitajiri. mwanzo wa ndoa mimi na mme wangu tulipata furaha isiyo kifani sababu tulikuwa tunapendana sana,
hakika niliona nimepata mwanaume wapee kwenye maisha yangu niliona farahi mno kuolewa na Mrisho,
ilifikia kipindi nikawa najiuliza mwenyewe,
" Mmmh jamani ndoa ilivyo na raha hivi sijui kwanini wanaweke wengine hawatulii kwenye ndoa zao
"kwa raha hizi najiapia kwa mungu kwamba nitatulia kwa mme wangu hadi mwisho wa uhai wangu kwamwe sitoweza kumuacha,
Nilijiambia mwenyewe. Nikiwa nimekaa kwenye kochi nimejiachia nikiwa namsubiri mme wangu, aliyetoka kazini na mda huo alikuwa yupo chooni anaoga
" si mnajua nyumba za kisasa yani choo, humo humo na bafu humo homo. kwakuwa jina la choo ni zito "basi mtu akiingua kuoga tunasema yuko chooni anaoga,
" Wakati naendelea kumsubiri mme wangu. pembeni yangu kulikuwa na simu yake ikaanza kulia nilinyoosha mkona kisha nikaichukua, nikaitazama, nikaona inapigiwa Jina la mpigaji liliandikwa baba,
kwakuwa simu ilikuwa ya mme wangu
Sikuona shida nikapokea.
* Hellow Baba Shikamo.
nilipokea kisha nikasalimia hivyo,
* Marahaba mkwe wangu hujambo,
* Sijambo baba,
* Ok vipi huyo mwenzio yuko wapi maana nampigia Simu hapokei tako asubuhi,
"Baba mkwe akaniuliza hivyo, Nilishangaa kidogo.
* Yupo chooni anaoga mh huyu hapa anakuja nilijibu hivyo baada ya kumuona mme wangu anatoka chooni,
* Haya mpatie Simu nizungumze nae.
* Sawa baba niliniambiz hivyo kisha nikainuka haraka nikampelekea simu mme wangu,
* Baba amekupigia anataka kuzungumza na wewe huyu hapa,
Nilimwambia mme wangu harafu nikampatia Simu,

* Halllow Mrisho Napiga simu hupokei kwanini
* Siyo hivyo baba leo nilikuwa bize tu sikuwa
namda wa kuzungumza kwenye simu,
Mme wangu aliyeitwa mrisho, akajibu hivyo huku nikiwa nasikiliza mazungumzo yao kwa ukalibu sababu nilikuwa nimeweka sauti kubwa toka mwanzo nilipopokea kwa mara ya kwanza,
* Sawa ila nilikuwa nakujulisha kwamba kesho, Tunarudi mimi na mama yako nyumbani hapo. uje utupokee uwanja wa ndege harafu tukishafika nyumbani nafikiri unajua nini cha kufanya,
" Baba mkwe alipoongea hivyo kwenye Simu,
"mara Ghafla nikamuona mme wangu amekasirika harafu akakata simu kisha akakaa kwenye kochi kwa kujitupa tu,
* Mme wangu vipi mbona umekata simu harafu nakuona kama haupo sawa, Nikakuuliza vile mme,
* Nasra hebu niache kidogo tutaongea badae ,
Mme wangu akanijibu hivyo,
*Mmh Sawa twende basi tukale chakula kipo mezani,
* Tangulia nakuja, Mme akanijibu hivo hukuakiwa amekaa tu anakuna kichwa,
"Nilimuacha nikaenda kupakua chakula,
"Kwa hili Sikubari kabisa vyovyote itakapo kuwa,
Mrisho alijiambia hivyo harafu akainuka alikuja mpaka mezani nikamnawisha mikono baada ya hapo tukaanza kula,
* unajua nasra wewe ni mwanamke niliyetokea kukupenda kutoka ndani ya moyo wangu nitakulinda kwa hali na mali, Sitakubali kukupoteza,
" Mme wangu aliniambia hivyo wakati tunaendelea kupata chakula,
* Mme wangu kwanini unazunguma maneno yote haya,
* Nazungumza kwa sababu nakupenda,
* Sawa nafurahi kusikiya hivyo Lakini kwanini ulikata simu wakati baba anazungumza na wewe,
* Nasra baba na mama pamoja na dada yangu wanakuja kesho Nakuomba kuwa makini sana na baba yangu,
Mme wangu aliniambia hivyo Nikashindwa kumwelewa, ikabidi nimuulize,
* Niwe makini na baba kivipi mbona sikuelewi baada ya kumuuliza mme wangu alinitazama
harafu akaniambia,
* Nilukuoa wewe lakini kwajiri ya baba,,
mme wangu akanijibu hivyo,,,
*Mme wangu Ulinioa Kwajiri ya baba kivipi mbona unanichanganya jamani....

Itaendelea

Love*

,,,,,

SEHEMU YA 2 💓

"mme wangu ulinioa kwajiri ya baba kivipi mbona unanichanganya jamani,
SONGA MBELLE,
"Nikamuuliza hivyo mme wangu mrisho,
Lakini kabla hajanijibu simu yake ikaitatena aliichukua akapokea.
* Hallow
"Mme wangu aliongea baada ya kupokea simu,
* Hey mrisho uko wapi kwa mda huu,
* Niko nyumbani boss.
*nakuomba uje ofisini kunawageni wamekuja kutalii,
* Sawa boss nikakuja sasa hivi,
Mme wangu akajibu harafu akainuka hakuendelea tena kula,
* mh mme wangu unaenda wapi tena jamani,
* Naenda kazini kunawazungu wamekuja kwajiri ya utalii wa wanyama naenda kuongea nao ilinijue lini nitawapeleka kwenye mbuga za wanyama,
" Mme wangu alinijibu hivyo harafu akaondoka zake,
" nikabakia mimi tu nyumbani
"kama mnavyo jua sisi wanawake tulioy olewa harafu hatuna kazi yoyote tunakuwa tunabaki nyumbani tu, Mwanaume akitoka,
Niliendelea kula lakini kila mara nilikumbuka jambo aliloniambia mme wangu,
^Nimekuoa kwajiri ya baba^
"nilikumbuka hivyo. Nilitamani sana mme wangu angenambia kabla hajaondoka lakini ndo hivyo haikuwezekana,
Saa zilisonga hatimae ikafika saa mbili usiku ndio mda aliorudi mme wangu,
tuliendea na maongezi mengine tu nikasahau kumuuliza jambo aliloniambia mchana,
Hatimae ukafika mda wakulala mimi na mme wangu tuliingia chumbani kulala,
" wakati mimi nimesinzia mme wangu alikuwa bado yuko macho tu alikuwa anawaza,
" Nimesha owa wake wawili wote akawachukua baba sasa hivi na huyu tena anamtaka
* mh hapana raund hii sikubali nampenda sana nasra. Mme wangu alijiambia mwenyewe kisha akanikumbatia na yeye akaanza kutafuta usingizi,
"ilipofika asubuhi na mapema mimi nikaamka nikaandaa chai mapema,
mme wangu alisha niambia kwamba nikiamka asubuhi niandae chai kabla ya kufanya shughuli nyingine yoyote. basi nilipomaliza kupika chai na kuiandaa mezani, nikaanza kufanya usafi
" huku nikimsubiri mme wangu aamke
maana alikuwa hapendi kuamshwa,
Nilifuta futa makochi pamoja na makabati nikapiga deki nyumba nzima siku hiyo nilifanya usafi wa hali ya juu
sababu Baba mkwe na mama mkwe walikuwa wanakuja kutoka kenya, waliondoka tanzania
siku moja baada ya ndoa ya mimi na mme wangu.
ulitokea msiba wa ndugu wao aliyekuwa huko kenya, ikawabidi waenda huko,
Basi nilipomaliza kufanya usafi tajari mme wangu nae alikuwa amesha amka mda huo alikuwa choo ni anaoga na mimi nikamfata huko huko,
niliingia tukaanza kuogeshana kwa mahaba mazito mambo yakawa si mambo.
mme wangu akanishikisha ukuta na mimi nikashika bila hiyana maana nilikuwa nawashwa
mme wangu akaanza kunikuna baada ya mda akanimwagia bao moja tamu lilionisisimua mwili mzima,
yani sio siri kibao cha asubuhi ni kitamu.
Nilifurahi mno kupata cha asubuhi
tulioga kisha tukatoka tukaenda chumbani tukavaa nguoa
"kisha tukajisogeza mezani kupata chai.
"baada ya hapo mme wangu waliondoka,
mimi nikakusanya vyombo nikaenda kuviosha nilipomaliza nikatoa nguo chafu nikafua zote nilipomaliza nikakaa kupumzika kidogo.
saa tano na nusu nikaanza heka heka za kuandaa chakula cha mchana, maana nilikuwa najua kama wakwe zangu wanakuja hivyo niliandaa chakula kingi, nikakiweka mezani pamoja na juisi ya matunda pia kulikuwepo na ndizi mbivu nazo nikaweka mezani, kiujumla nilichafua meza,

" ilipofika saa saba ya mchana; kuelekea saa nane mme wangu akarudi nyumbani akiwa na wakwe zangu,
niliwapokea kwa bashasha na furaha
" mama mkwe alifurahi zaidi maana alikuwa amenimisi.
Tuliingia ndani kutokana na kwamba chakula kilikuwa kiko tayari niliwakalibisha mezani wapate kula kwanza harafu mambo mengine badae,
basi tulijumuika mezani tukaanza Kula,
"Wakati tunakula baba mkwe alikuwa ananitazama mimi tu mda wote,
"hadi nikaanza kuona aibu nikawa nakula bila kumtazama
"mara Ghafla nilihisi kukanyangwa taratibu kwenye mguu wangu, Nilimtazama baba mkwe nikamuona ametabasamu nikahisi ni yeye amenikanyaga,
Nilikunja mguu harafu nikaendelea kula,
* Huyu msichana ni mzuri kuliko wote ambao aliwahi kuwaleta mrisho hapa nyumbani, kwa uzuri huu sitamuuza bali nitamfanya kuwa mke wangu wa pili,
" Baba mkwe alijiambia maneno hayo mwenyewe huku ananitazama,
Kwa jinsi alivyo nitazama mda mlefu hakuna mtu aliyeshangaa kwasababu mke na watoto wake walikuwa wanamtambua tabia zake. mtu ambaye alikuwa hajui ni mimi tu sababu nilikuwa mgeni katika familiya hiyo, Tulipomaliza kula yule baba mkwe akaniambia jambo la kushanga,
* Nasra hebu sogea univue shati langu naona joto.
Baba mkwe aliponiambia hivyo Nikashangaa huku namtazama mama mkwe pamoja na mme waangu, Na wao walinitazama tu hawakuongea na mimi chochote,
" kabla sijafanya maamzi yoyote nikajiuliza,
kwanini ameniambia nimvue nguo wakati mke wake yupo, nikashindwa kupata jibu. wakati bado sijajua kama nisogee au nisisogee Baba mkwe akaniita tena
" Nasra....

Full 1000
Whatsp 0784468229.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

❣️NASRA TAMU YA WOTE 1---2  >>> https://gonga94.com/semajambo/nasra-tamu-ya-wote-1-2
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

GIGY MONEY DAH😭

majario rewards 100 Comments 0
 

YOUNG AFRICANS,

majario rewards 100 Comments 0
 

BAKORA VILLAGE

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 7...8

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA EPISODE 2

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE...5...6

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 3...4

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA 1

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈21

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈20

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 8

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 7

majario rewards 100 Comments 0
 

Life in a Year (2020)

majario rewards 100 Comments 0
 

Kenya, Tanzania, Congo

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 40

majario rewards 100 Comments 0
 

POSHY QUEEN:

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 39

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈19

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈18

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈17

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈16

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈15

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 05 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 04 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 03 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 02 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 01 ❤❤.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 34

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈14

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈13

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

TUWASHUKURU KINA BABA

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest