🌹 Mapenzi ni sayari iliyojificha, mapenzi ni mmea uliokita mizizi tangu Adam na Eva.♥️
♥️Niruhusu nikuite darl nawe uniite baby.♥️ Tangu nilipokuona kwa mara ya kwanza mwili ulizizima nayo mapigo ya moyo kunienda mbio,♥️ hii yote ni kwa ajili ya ulivyo mrembo.♥️
♥️Moyo waniuma nayo nafsi yanisuta nisipokwambia nakupenda nitakuwa sijautendea haki moyo wangu.♥️
♥️ Naomba uupokee moyo wangu kama zawadi kwako,♥️ fungua sakafu ya moyo wako moyo wangu upate makao.🌹
Nakupenda sana!♥️
Ni mm wako mpendwa,
Franco Kissanga the really voice, mwaaaaaa!💋💋.