____ #NAMWACHAJE_KAMA_HUYU____
❤️Ona moyo wake muda wote unadunda kwa ajili yangu, ❤️ Ona akili yake inavyoifikiria upendo wangu. ❤️Muda wote anawaza Nini afanye ili azidi kuutek moyo wangu💛. Mara aniulize kipenzi unafanya Nini,💛 Mara aniulize lovely umekula Nini kuonesha dhahiri ananijali honey wangu, 💛Mara apige simu mara atume sms ili aupate ukaribu wangu.💕 Nisipokua hewani hayo maswali utajuta ndugu yangu.💕Nikiwa mgonjwa jinsi anavyopoza💕,na kusikitika utadhani anahisi maumivu yangu.💞 Ukweli mkwe amezaa chombo na sio secrepa Mtu kama huyu kwanini nisimpende milele maishani mwangu. 💞
__________S. NJOINE_________.