...deputy alitoka nkaachwa kwa ofisi pekee nkiwa nmeketi😰, nlikuwa naongoja nilipuliwe hii Siri nmeishi nkificha😭. "Mwanangu, iyo dawa ukikunywa tu once hii shida yako itaondoka urudi kuwa msichana mrembo" nlianza kukumbuka maneno ya yule mama wa miti shamba😰" Sasa mbona nlikataa kukunywa iyo dawa na venye ilikuwa ready???? "😬😬😰😰🤔🤔. Kidogo ivi nkakumbuka Yale maneno nlifeel from inside me, maneno sikujua place ilitoka but ilinihit direct "please mom, don't do what you are about to do😭😭, I need life too and I have a mission to come and Change the world". Nlianza kumwonea huruma tears ikaanza kuniharibia vision nkatoa handkerchief nkapanguza machozi🥺🥺. " Sasa wanakijiji watasemaje kuniona nkiwa na mimba😭😭" hii kwanza ilinikatakata maini nkafeel as if sulphuric acid imemwagwa kwa tumbo yangu. Nliimagine mathee mwenye aliishi akiniambia ntakuwa doctor nchange situation pale home nkaanza kutokwa machozi 🥺🥺😰😭.
Nlichungulia kwa dirisha nkiwa nmeketi nkaona wenzangu wakienda lab🥺🥺, how I wished ningekuwa Kama hao🥺. Mlangoni deputy akaingia na karatasi flani akiandamana na teacher Mrs Alice wa guiding 🥺. Nlijua ikifika time ya kuitiwa mwalimu Kama uyu maji yashamwagika😭😭😭.
Deputy:Violet, tumekuita hapa juu Kuna very serious issue you need to tell us. Najua umekuwa mwanafunzi mtiifu Sana na mwenye bidii kwa hii shule. Sikutarajia haya matokea ambayo yamenifikia. Najua human is to error....
Kuona tu venye depa akiongea nkajua volcano ishalipuka tayari😭😭😭. Nlianza kufeel vibaya having betrayed the expectation of my teachers. Nlianza kulia😭😭😭.
MRS ALICE: acha kulia Violet t, this is normal.. you've been blessed but nvenye blessing yako imekuja in wrong time. Don't worry we are here to make sure you will be ok.....
After kuongelesha for 1 hour ivi dad akapigiwa simu🙆😭😭, uzuri akakuwa mteja. Nliamua nipeane namba ya auntie yangu atleast 😰😰. Auntie alisema ako town na ataniongoja tao.Nliendea vitabu zangu class kila mwanafunzi akaniangalia in disbelief 😳. Wengine walifurahia juu walipata topic ya kuongelea😰😰.....
Society Gani hii Haina understanding?? Sikatai tulikuwa tunaongeleshwa about pregnancy, lakini mbona hatukupewa option like tutumie CD... Kuambia a teenage don't have sex na hii technology, ukiongeza curiosity na peer pressure haiwezi, haiwezi kabisa..
Nlitoka nje ya gate nkiwa na bag yangu ya Kings collection 😰😰😭. Nlikumbuka dream yangu ya kuwa daktari ikiwa imeyeyuka tu Ivo😰😰😭. Nlishtukia nalia Tena. Education is the key to success but me tayari nlikuwa nshapigwa separation na the key to my success. Nlianza kuongelesha yule aliye ndani yangu "dear, najua you are blessing to me and you deserve life, am here to protect u❤️.am going through this because of you, mother's love ❤️" nlijitia moyo. Nlishika bodaa niende nimeet auntie yangu😭😭😭. Nlikumbuka venye auntie alikuwa wild na strict nkajikaza.. but heri huyo kuliko dad na mum.
Nlifika tao nkaenda place auntie aliniambia nipatane naye😰😰. Heart yangu ilikuwa inabeat mbiombio coz nlijua auntie hangenikaribisha vipoa🥺🥺. From a distance, nliona gari yake aina ya Toyota Corolla. Nlifeel butterflies in my stomach. Nlifeel kabisaa nlimlet down coz yeye alikuwa anasimamia fees yangu time dad alikuwa down kifedha😬🙆. Nlitembea nkafika hapo auntie akaniangalia kwa macho ingine ya hasira☹️☹️🤦🤦🥺. Nliingia ndani ya gari nkaweka bag yangu seats za nyuma. Auntie akiendelea kuongea kwa simu😬😬😰. Nlitulia kwa gari nkiongoja auntie amalize kuongea ndo anipee hukumu🥺🥺. Auntie alimaliza kuongea akakata simu na kupiga gari start bila kunisalimia🙆🤦😰. Alianza kuimba kiasi then akaanza💥
AUNTIE: Sasa utalea mtoto na Nini😳😳, economy ya Kenya sai ni Moto na Kuna wengine wanazaa wah( akacheka😂 kimadharau). Umetudisapont kabisa. Nmeishi nkikupea mawaidha that pregnancy is killer of dreams. Ona Sasa wenzako wako shulee na wewe ndiye uyu unaenda kuwa mama🥶🥶 Sasa utapata wapi kazi ya umaid🤔🤔. Violet am talking to you. Acha kuangalia chini. Time ulikatiwa na mkora mwenzako ulikuwa unaangalia chini Ivo ndo ukashtukia amekupea mimba ama????. I will never step in that school again. Staki niitwe guardian wa msichana wa mimba....
Me: am sorry auntie 🥺🥺🥺🥺( nlianza kufeel tears kwa macho yangu azin how comes my own auntie ananiongelesha ivi at the time nahitaji atleast a motivation😭)
AUNTIE: si ungeambia tu uyo mwenye alikupea mimba alipe fees☹️☹️. You wasted alot of my cash......
Huko kwetu waluhya husema "ukiona panya inakimbia ikiingia kwa moto, jua chenye kimeifuata kinashinda moto"... Nilikimbilia kwa aunt ju ilikuwa moto, nyumbani kwenye nilikuwa natoroka.......
Maneno ya auntie yangu ilinifanya nloose hope kabisaa. Sikuamini auntie yangu anaweza niambia maneno machungi ivi 🤔🤔😰auntie aliangusha cheche za kejeli. Nlianza kuongea na yule mtoto wangu aliyekuwa the other world kimoyomoyo " my dear, uku nmekosa amani😭😭😭, your loving mom can't withstand this anymore😭😭" nlitulia kiasi nkiskiza auntie yangu mwenye kanigeuka kidogo ivi nkaskia Ile sauti " I feel for you Mom, theris hope""
Auntie aliongea akanyamaza, kidogo ivi dad akacall😳😳🙆🤦. Auntie akachochea kiasi dad akasema hataki nikanyage nyumbani kwa maisha yangu yote😭😭😭😭. Imagine my own dad chasing me. Ilibidi niende nkae kwa auntie juu sikuwa na otherwise. Kitu sikujua is that, kwa auntie ilikuwa hell😭😭😭 lakini nlijitia moyo nkasema
After auntie kunichomea kwa dad nkajua dunia ishanigeuka😰😰. But why reject me na nko na blessing from God? Don't they want this innocent child to have life? Why does the society do this na venye watu uenda kanisa, hadi dad mwenye hupreach about life, about God if second chances🤔 nkt, hypocrite.
Nlianza kujiongelesha kimoyomoyo auntie akiwa ameshikilia steering akidrive gari yake akinipeleka kwake😰. Nlijua place naenda ilikuwa hell but nlikuwa nmeamua nimake sure uyu mtoto ako ndani yangu atakuwa na maisha. This innocent child mwenye amekuwa akiniongelesha in a miraculous way alikuwa my hope. Auntie alipasua Ile silence ilikuwa kwa gari💥
AUNTIE : Violet? Wewe umefail tayari In your life😬😳. Sai hakuna kitu unaweza fanya but Kuna one only option ( auntie alipata kikohozi akakohoa akaniacha kwa tention)....iyo option na kuambia ni..( simu ya auntie ikapigwa akarecieve)
Nlibaki mawazo imenikula akilini "ama auntie anataka niolewe☺️🤔🤔, walai siwezi kubali kuolewa nkiwa mdogo ivi, imagine 16yrs... , ntajifungua then niendeleze masomo...." Nlijiambia kimoyomoyo nkiwa nmetense. Auntie alimaliza kuongea kwa simu mkono ingine ikiwa imeshikilia steering.
AUNTIE: As I was saying, theris only one way unaweza rudisha maisha yako fom( auntie aliniangalia nkiwa nmetense ) abortion is not a bad thing.....
Kuskia iyo maneno nkafeel as if kisu imepita kwa heart yangu. Nkaanza kujua auntie hatakii mtoto wangu aliye tumboni uhai🤦🥺🥺😭😭😭. Nlimwangalia akiendelea kuongea
AUNTIE:.... So Kuna daktari anajua iyo maneno, ntakupeleleka uko🙆( Nlishtukia nmeshaut ),",,NOOOO😤😤✋✋, Kama ni masomo itakuwa ya maana kushinda uhai heri masomo ikae nkuwe maskini😬😳"
Kumaliza kuongelesha auntie Ivo ilibidi afunge break aniweke Kofi💥💥😭😭😭😭. Nlianza kulia auntie akadrive gari yake this time akiwa amefura Kama mandazi imepikwa na mafuta ya transformer na kuwekwa powder mingi. Nlianza kuregret why I was born 😭😭.
AUNTIE: iyo kiburi yako ntaipunguza iishe kabisaaa. Tangu lini malaya ajifanye mtu mzuri😳😳, ukipeana ulikuwa unajienjoy ata bibilia inasema mshahara wa dhambi ni mauti. Babako amenipea ruhusa nkupee discipline 😳😳.
Auntie mwenye nlimjua Kama mama wa kanisa alininenea matamshi Kama hayo 😭😭😭. Suicide thought ikaanza kunijia but nkaskia Ile sauti tena ikisema
"mum......
𝙏𝙤 𝙗𝙚 𝙘𝙤𝙣𝙩𝙞𝙣𝙪𝙚𝙙...🖋️
Episode 3 today at 8pm.