Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

NIPE YOTE DADY 39

1st Jul, 2025 Views 240



Aliniacha chumbani na kuingia jikoni akaanda
chai kisha akarudi na kunikaribisha, nimenuna
lakin sijawahi kununa kwenye kula
nilisogea

na shuka langu nikala kama vile nimeambiwa
oya unadakika mbili tu
Selim alibaki akiniangalia akitaka kunishika tu
nasogea akaona acha nisijisumbue kama mali
iko kwangu ee ndege wangu kwann kumshkia
manati akainuka na kuniuliza.
"mke wangu nikuwekee mziki gani " sikumjibu si
nimenuna akajiongeza mwenyewe na
kuweka si akaanza kucheza nyie nilistop kula
kwanza na kumuangalia huyu mtu vipiii ee hivi
unajua ukimuona Selim alivyo alafu na haya
mambo anayoanza kufanya hafananii nayo
kabisa kwanza alivyokuwa anacheza utacheka
yani pamoja na kwamba nilikuwa nimenuna ila
nilicheka mpaka nikapaliwa maana duh.Basi alivyoona nimepaliwa akaacha eti hataki
kuniua
wakuniua awe yeye tena kwa
kucheka? aa bado sana.
Basi nilikula nikamaliza na kuvaa ee niliona
nivae tu maana namna alivyokuwa
ananiangalia nikaona mmmm anaweza
kunipindua tena.
Tukiwa tumekaa mlango uligongwa akainuka na
kwenda kufungua akarudi na mifuko nikasikia
sauti ya Jabir akiniita .
"mke wetu uko poa karibu tena mjengoni "
niliinuka na kutaka kwenda sebleni walau
nimuulize kuhusu Skyler ila nikakuta kafunga
mlango nikaona nijikaushe so nikarudi
kitandani hapo Selim ananichora yani kama
hanioni vile.Alimaliza kuchezea sm yake akaweka pembeni
na kumwaga nguo zote zilizokuwa kwenye ile
mifuko aliyoleta Jabir, zilikuwa nguo mpya
akawa anaionesha moja baada ya nyingine
alipomaliza akanitolea sim yangu niliichukua
chap nakuifungua nikaangalia kama kuna
ujumbe ila haukuwepo hata mmoja nikaweka
sim pembeni
na kujilaza "Yuko sawa na leo amerudi kwao
aliongea Selim sikumjibu maana nikijua
anamuongelea nani.
Siku iliisha bila hata kutoka chumbani kwesho
yake asubuhi niliamka mapema na yeye
alikuwa tayar kashaamka nimamwambia "
Selim nataka kwenda kazin""Nimeshakuombea ruhusa wiki yote hii utakuwa
mapumziko"
Nilitaka kubishanae ila akanionesha ujumbe wa
mwisho aliotuma boss.
Nilimuangalia na kumuuliza "umemfahamu vp
boss wangu?"
"sisi ni wafanya Biashara kujua ni muhimu,aam
nguo zako zilizokuwa kule tayari ziko huku
kama utazihitaji nimeshazipanga kabatin.
Na kuhusu vitu vingine viko nyumba ya nje,
nilimuangaliaa moyoni nikasema ngoja
nikuandalie bomu.mida ya mchana alitoka nje nikachukua sm
yangu na kutaka kumtafuta Skyler ila nikakuta
namba yake haipo nikahangaika kutafuta wapi
hadi chats za whatsapp nazo hazikuwepo.
Nikajua tu huyu mpuuzi kafuta kila kitu ila
kwakua nilikuwa najua majina anayotumia
mtandaoni nikaona sio shida nitamtafuta.
Alivyorudi ndani tu nikajikausha kimyaa na sm
nikaweka pembeni.
nilikaa hadi mda wa kukala usiku ulipofika
akiwa amelala nikaingia instagram na kwenda
kwenye dm yake nikamtumia ujumbe
hakuchelewa kujibu.
Nilishangaa maana alikuwa akiongea kana
kwamba hakijatokea kitu, basi nikamuliza yukowapi akasema yuko nyumbani alirudi jana
mchana.
Basi kwakua ilikuwa usiku nikaona si vyema
kuendelea kuchat nae Selim akiamka niwazi
kitawaka hivyo tukaagana nikazima data na
kuweka sim pembeni.
Nilimuangalia Selim pale alipolala nikawa
najihisi kama dhamiri inanisuta yani kama vile
namkosea kwa kuwasiliana na Skyler ila
nikapotezea na kulala.
Asubuhi kama kawaida niliamka na kukuta
kanikumbatia sijui huwa ananivuta sangap
maana nililala ukutani kabisa.
Nilikaa kimya na kuendelea kutulia hadi pale
alipoamka akawa ananiangalia mara anikisskwenye paji la uso mara anishike lips mara
achezee nywele yani vurugu tu na alijua
nimelala kumbe namchora tu ..
Alivyomaliza michezo yake akainuka na kutoka
chumbani nikafungua macho na kujisema "
mbona kama ananipenda kweli au no huyu
moyo wake uko kwa Jeni na sio mim kwanza
Jeni yuko wapi?"
Nilijiuliza na kuamka nikakaa kitako
Nikachukua sm ya Selim nikaanza kukagua kila
kona ili nijue kama bado wanaongea ila
sikukuta chochote hata namba yake haikuwepo
nikajisema huenda waliachana maana kwa jinsi
walivyokuwa wanagomba kuna asilimia zote za
kutokuwa pamoja.Nilitabasamu na kushuka kitandani nikaingia
bafuni na kupiga mswaki kisha nikatoka na
kwenda jikon alikokuwa Selim
Nilimuangalia tu akaniuliza kama nataka kitu
nikasema hamna akaendelea na kuandaa
kitafunwa, kwambali nilihisi amani na kuona
kama ananijali basi alipomaliza tukapata chai
kisha nikatoa vyombo tukasaidizana kuosha
kidogo kidogo story zikaanza.
Selim alibadilika kwa viwango vyajuu akawa
mtu wavituko tu, nikajisemea inawezekana
kweli kama amenipenda hivyo nikaona
nijitulize kwanza.
Siku hiyo tuka shinda tukiwa kawaida na story
za hapa pale, sasa bwana usiku nikiwa zangu
nazunguka instagram nikashtuka kuona skyleramepost picha akiwa na mwanamke na mtoto
na kuandika "mwanamke wangu furaha ya
maisha yangu i can't wait kumpokea mtoto
wetu wapili" nyie nilihisi kama naota nikatoka
na kuingia tik tok nahuko nako nikakuta kapost
video wakiwa na furaha aisee nilichoka
inamana mda wote nilikuwa nachezewa akili
Mungu wangu hii kali.
Nilijikuta tu nikishukuru Mungu maana hili pigo
lingekuwa la taifa sasa acha nipaki na Selim
wangu huyu ndio fungu langu.
KWETU morogoro.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NIPE YOTE DADY 39  >>> https://gonga94.com/semajambo/nipe-yote-dady-39
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

GIGY MONEY DAH😭

majario rewards 100 Comments 0
 

YOUNG AFRICANS,

majario rewards 100 Comments 0
 

BAKORA VILLAGE

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 7...8

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA EPISODE 2

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE...5...6

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 3...4

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA 1

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈21

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈20

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 8

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 7

majario rewards 100 Comments 0
 

Life in a Year (2020)

majario rewards 100 Comments 0
 

Kenya, Tanzania, Congo

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 40

majario rewards 100 Comments 0
 

POSHY QUEEN:

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 39

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈19

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈18

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈17

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈16

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈15

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 05 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 04 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 03 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 02 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 01 ❤❤.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 34

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈14

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈13

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

TUWASHUKURU KINA BABA

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest