Anasema Wanaume Waislamu wanapuuzia Sunnah ya kufunga Jumatatu na Alhamisi. Wanapuuzia Sunnah ya kuswali rakaa mbili kabla ya Swala ya Alfajiri, wanapuuzia Sunnah ya Swalaati Dhuhaa
Wamesahau kuwa Tahajjud ni Sunnah.
kamwe hautawaona wakiamka usiku
Lakini Sunnah pekee wanayoikumbuka ni ya kuoa wake wanne na hata hivyo hawawatendei haki kwa usawa.
Mwenyezimungu atawaadhibu.
Je wanawake kwanini hamkubaliani na swala la kuongezewa mwenza?๐๐.