Tukiwa njiani tunaelekea nyumbani Baba mkwe alinikumbatia aliniweka kifuani kwake
Nilitulia lakini nikiwa namuonea aibu sana kwani kitu kilochofanyika kilikuwa chakustukiza sana kwangu sikuwa nimejiandaa kabisa
Alikuwa akinibusu busu tu kichwani na kuniambia asante sana fiona kwa kunielewa
Tulitembea mwendo kiasi tukafika nyumbani tulikuta kweli Tony mumewangu kashafika
Tuliposhuka tu baba alimwambia Tony umeshaludi
Leo nilikuwa na fiona kwenye vikao vyangu aliniambia kuwa anataka uzoefu wa biashara ninazofanya
Tony alinikumbatia kwa furaha na kunisifia safi sana mkewangu umeamua sasa
Nilikuwa nikismail tu huku nikiwa nawasi wasi
Tony akamwambia na baba asante mfanye awe karibu apate uzoefu zaidi sawa baba
Mzee devi alimuitikia sawa niyeyetuu nipo tayari kumpa uzoefu mkubwa tuu
Nilimwambia sawa nashukulu kisha tulielekea chumbani kwetu
Tulipokuwa chumbani mume wangu akaniuliza umesha kula cha jioni
Nilimjibu bado mumewangu
Tony akaniambia basi jiandae tukajumuike pamoja na wenzetu kwenye chakula cha usiku
Niliingia bafuni kuoga na baada ya hapo nilitoka nikajiandaa kisha tulishuka kwenye dinner
Walikuwepo watu wote wakiongozwa na baba mkwe
Tulikula chakula na baada ya kumaliza kula mzee devi alitutakia usiku mwema na kuinuka kwenda chumbani kwake
Tulinyanyuka na sisi kuelekea chumbani kwetu na kila mmoja alielekea chumbani kwao
Niliomba mumewangu anikumbatie tukiwa tumelala kitandani wakati Tony amelala mimi nilikuwa macho nafikilia kilichotokea mchana na baba mkwe
Hatimae usingizi ulinichukua na siku ilipita
Siku nyingine ilifuata na tulikutana kwenye kifungua kinywa mezani
Tulikuwa wote wanafamilia na baada ya kumaliza wote walielekea kwenye majukumu yao ya utafutaji
Nami nilikuwa chumbani nimekaa sina cha kufanya Eva na Lillian wote walikuwa wanafanya kazi
Nilipoona nime boeka nika mpigia dereva wa gari anipeleke ufukweni mwa bahari huwa nikiboeka napenda kwenda ufukweni nakuwa sawa
Nilijiandaa nika vaa pensi na tisheti kisha nilivaa slipaz chini nikavaa pama kichwani
Nikaingia kwenye gari na kwenda ufukweni mwa bahari
Nilikuwa pembezoni na vuta hewa safii huku nikichezea michanga
Sim ikaita nilipoitazama alikuwa baba mkwe
Nikamsalimia kisha akaniuliza
Mzee devi aliniuliza upo mwenyewe chumbani kipenzi changu
Nikamjibu kuwa hapana baba nipo ufukweni mwa bahari navuta hewa safi
Mzee devi akaniambia kuwa utakuwa upo board sana ngoja nimalizie hapa nakuja huko sasa hivi
Nikamuitikia sawa utanikuta
Endelea kufuatilia...........
BABAMKWE e 6.
Baada ya nususaa kupita alikuja Mzee devi
Alishuka kwenyegari na kuja ufukweni nilipo akanishika mkono yukaenda kukaa pembeni kwenye biti
Kisha akaniambia agiza kinywaji
Alimuita muudumu wa maeneo hayo na kumwambia yeye anataka mvinyo
Akaniambia kuwa namimi niagize kinywaji
Nilimuomba aniletee white wine
Vinywaji vililetwa tukawa tunakunywa huku tunapiga story
Mzee devi akaniambia kuwa unajua kuwa umenifanya muda woote nakufikilia wewetu hata sielewi umenipa nini
Nilipomsikia akiongea hivyo niliinama kwa aibu maana nilikuwa namuonea aibu sana Mzee devi
Yeye aliendelea kuongea fiona kipenzi cha moyo wangu uwa langu tangu mara ya kwanza unaingia ndani ya kasri langu nilipokuona tu
Uliingia moja kwa moja moyoni mwangu ukawa unaupekecha pekecha moyo wangu
Hakika fiona mama nakupenda sana aminihilo
Nilibaki kimya tuu nikiwa namuogopa akaniambia twende nikupeleke sehem nzuri najua utaifurahia
Nikainuka akanishika mkono tukaingia kwenye gari moja ile niliokuja nayo akaambiwa aludi nyumbani
Alinipeleka sehem ya hoteli anayotaka kuniandalia
Akaniambia kuwa eneo hili hapa naenda kukutengenezea hotel nzuri sana itakayokuwa inapika vyakula hadi vyaki kitaliano
Nilifurahi na akanionyesha picha ya hotel itakavyo kuwa na jina itaitwa
Mzee devi akaniuliza unajua hotel itaitwaje
Nikamuuliza itaitwaje
Mzee devi akajibu itaitwa Fiona hotel
Nilismal kisha nikamwambia asante nimeipenda
Mzee devi akaniambia usinishukulu unapaswa kupata unavyo stail hakika
Nikamwambia nashukulu pia
Mzee devi alinishika na kunitizama usoni kisha akaniambia unanitia hamu muda woote na hiyo sauti yako sasa dah
Nilianza kuona aibu kwa maneno ya Mzee devi ila yeye yuko poa kabisa
Tulipotoka hapo tulipita moja ya hotel zake ilikuwa katikati ya mji inawageni hadi wazungu
Tulipofika tuliandaliwa sehem tulivu tulikaa na kuletewa vinywaji niliagiziwa whate wine tena nikaipokea kisha tulikaa na kungoja nyama ya kuchoma ikiandaliwa
Nilikuwa mpole mno mpaka Mzee devi aliniambia tangu nimekutamkia ya moyoni napale nilipo kufanya tuu nimekufanya uwe mpole sana Fina
Nilibaki kimya tuu nikiwa na aibu
Mzee devi akaniambia najua unanionea aibu ila hupaswi kunionea aibu kwani mimi pia ninahisia kama wengine
Nilibaki nikmtizama tuu kisha muhudumu alituletea nyama tukawa tunakula
Tulikula nyama ilikuwa tam sana hakika baba mkwe alikuwa na mahaba moto moto kuliko hata Tony nilikuwa najikuta natamani tuwe wote muda mwingi
Alikuwa ananilisha nyama na kinywaji pia alikuwa ananinywesha
Hatahivyo sehem tuliyokaa ilikuwa niyakujificha maalum kwaajili yangu
Vinywaji vilikuwa vinapanda taratibu taratibu
Mzee devi alioda chumba hotel nyingine ya nje na hapo tulipokuwa tupo
Tulipomaliza kula akanichukua kwenye gari na nilivyo kuwa nimekunywa vilikuwa vinapanda taratibu
Tulienda hotelini na kwajinsi nilivyokuwa nilikuwa nimetoa aibu
Tulipofika tuliingia hadi chumbani hotelini
Endelea kufuatilia.............
FULL TSH 1000
NAMBA YA MALIPO NI 0657 774735
JINA MKEGANI MPONDA
MTANDAO NI TIGO.