Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

JINA ...................BAKORA VILLAGE ARTS.....................KELVIN MLOWE NO .,.........................EPISODE 2

1st Jul, 2025 Views 27



Yule mwanamke alitabasamu na kusema, "Hujapotea. Umechaguliwa."
Kisha akamkonyeza na kumshika mkono wa kulia wa Luca. Mikono yake ilikuwa laini sana kiasi kwamba luca kushikwa tu alisismuka.

Luca alitetemeka, si kwa baridi, bali kwa hofu yakuingia sehemu asiyoijua . Mrembo huyo hakumwacha aseme chochote. Alimvuta taratibu na kuanza kutembea naye, wakapita ndani ya lango la kijiji cha Koneso lango hilo lilijengewa miti mikubwa na juu kama kawaida liliandikwa jina la kijiji hicho

Walipofika katikati ya kijiji, Luca alishangazwa na hali ya mazingira. Nyumba zote zilikuwa za udongo, lakini zimepakwa kwa rangi za kupendeza. Zilikuwa na michoro ya miili ya binadamu walioko kwenye mikao ya mapenzi baadhi wakikumbatiana, wengine wakilaliana chini wakicheka, na wote wakiwa bila kitu...

Kila kona aliyotazama, macho yake yalikutana na wanawake. Hakukuwa na hata mwanaume mmoja. Wanawake hao walikuwa warembo mno, kila mmoja akiwa na umbo la kipekee.
Kwenye shepu shepu zote zilikuwepo wenye vichuguu,flat screen, na namba nane . Tukisema kama ni duka bidhaa zote zilipatikana

Wengine walikuwa weupe wengine weusi , lakini wote walivaa mavazi mafupi ya kiasili yaliyoficha nusu tu ya miili yao.

Walipomwona Luca, baadhi yao walipiga miluzi ya shangwe. Wengine walimsogelea huku wakicheka kwa sauti za kuvutia.
"bakora Mpyaaaa ndani ya bakora village ..." mmoja alisema kwa sauti ya kimtindo.
"Huyu si mzigo mzito?" mwingine akaongeza.
"Leo mimi ndo nitamkaribisha ," mmoja akasikika akizungusha kiuno huku ngoma za asili zikipigwa.

Yule mrembo aliyemleta alimtazama Luca usoni na kusema, "Mimi naitwa Hamisa, na wewe sasa ni mgeni wetu."
Luca alishtuka. "Wenu? Hapana… mimi sihusiki na haya mambo. Mimi nilipotea tu, nimeshtukia niko hapa. Samahani."

Lakini kabla hajamaliza sentensi yake, Hamisa alimgusa kwenye kifua, na Luca alihisi kama umeme mdogo unapita mwilini mwake. Akatetemeka, akahisi kama miguu haipo. Gafla akaanguka miguuni mwa Hamisa kama mtoto mdogo aliyeishiwa nguvu. Na mwishowe alizimia

"Usijali, ni kawaida kwa wanaume wa kwanza kuingia hapa. Mwili wako unahitaji kuzoea hewa yetu."
Akaamuru wanawake wawili wamchukue Luca na kumpeleka ndani ya kibanda kimoja chenye pazia la manyoya ya mbuni. Wakamlaza pale kwenye godoro laini, wakamfunika shuka la ngozi la.

Baada ya dakika kadhaa luca aliamka , Hamisa akaingia akiwa amevaa nguo fupi nyeupe, kifua chake kikiwa wazi nusu. Akaegemea mlango na kumtazama Luca kwa tabasamu.

"Leo hutalala mwenyewe, Lucas," akasema kwa sauti ya kumtoa nyoka pangoni
"Subiri, siwezi... mimi si..."
"Shhhh..." akamkata.
Kisha akamsogelea polepole kama simba anavyomkabili swali aliyemuona kwenye windo......

Akalala pembeni yake, akamkumbatia. Harufu ya ngozi ya Hamisa ilimchanganya Luca. Harufu ya manukato ya asili, joto la mwili wa mwanamke na pumzi ya taratibu ilichanganya akili yake yote. Alitaka kusimama, lakini mwili wake haukumtii.

Huku Hamisa akiendelea kutalii maeneo ya Luca taratibu, mlango wa kibanda ukagongwa ghafla.
BAM BAM BAM!

hamisa akaamka kwa hasira.
"Huyu tena ananifuata nini saa hizi?"

Luca akiwa bado hajajua kinachoendelea, akasikia sauti nyingine ya kike nje ya kibanda.
"Hamisa! Mgeni ni wetu sote. Hutaki kugawana? Au unataka kuanzisha vita ya wanawake wa Bakora?"

Hamisa akafungua mlango kwa hasira. Mbele yake alisimama mwanamke mwingine, mrefu, mwenye macho makali kama ya malkia. Alikuwa amevaa vazi la ngozi ya pundamilia, na paja lake moja lilikuwa wazi.

"Silda, usilete mchezo hapa!" Hamisa akamwambia.
"Hamisa, mgeni si wa mtu mmoja. Kumbuka alichotufundisha Mama Zadi."

Wakaanza kugombana kwa sauti ya juu. Wengine wawili wakatokea, na muda mfupi baadaye wanawake sita walikuwa nje ya kibanda cha Luca wakigombania nani atalala naye usiku huo.

Luca alikuwa bado haamini macho yake.
“Kwa nini wanagombania mimi?”

........Powered by kelvin mlowe.....................
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

JINA ...................BAKORA VILLAGE ARTS.....................KELVIN MLOWE NO .,.........................EPISODE 2  >>> https://gonga94.com/semajambo/jina-bakora-village-arts-kelvin-mlowe-no-episode-2
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

GIGY MONEY DAH😭

majario rewards 100 Comments 0
 

YOUNG AFRICANS,

majario rewards 100 Comments 0
 

BAKORA VILLAGE

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 7...8

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA EPISODE 2

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE...5...6

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 3...4

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA 1

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈21

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈20

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 8

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 7

majario rewards 100 Comments 0
 

Life in a Year (2020)

majario rewards 100 Comments 0
 

Kenya, Tanzania, Congo

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 40

majario rewards 100 Comments 0
 

POSHY QUEEN:

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 39

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈19

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈18

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈17

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈16

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈15

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 05 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 04 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 03 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 02 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 01 ❤❤.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 34

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈14

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈13

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

TUWASHUKURU KINA BABA

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest