๐จ๐ก๐๐ ๐๐จ๐ ๐๐จ๐๐ ๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ฅ๐ฅ๐๐๐? โฝโค๏ธ
Pale Madrid walikua na mtu wanamwita Toni Kroos master pass basi kama ulikua ukimwona Kroos na zile pasi zake za hatari nakukumbusha pale united kulikua kuna mtu anaitwa ๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ฅ๐ฅ๐๐๐ walipenda kumwita jina la utani ๐๐ฎ๐ฟ๐ฟ๐ฎ๐ wengine walimwita ๐๐ฎ๐๐ผ๐ฐ
Jamaa alikua ni mtu hatari sana kwenye pasi za kuvunja ukuta iwe pasi ya juu au ya chini pasi zake zilikua za maelekezo huyu mwamba alikua akipiga killer pass na Ferguson alikua akimkubali sana carrick kwa sababu alikua ni mtu wa kusoma mchezo mzima na kuuweka kichwani alikua ni kama mwalimu kwenye eneo la kati binafsi nilikua naenjoy sana wakicheza na paul scholes walikua wana pair sana
๐๐ฎ๐ฟ๐ฟ๐ถ๐ฐ๐ธ atabaki kwenye kitabu cha miongoni mwa viungo bora kuwahi kutokea pale united ๐ถโโ๏ธ๐ถโโ๏ธ๐ถโโ๏ธ
Richard Snr
Richard Snr II.