Mo Salah baada ya kufika Ulaya kwenda kujiunga na klabu ya Basel.
1st Jul, 2025 Views 4
๐คฆโโ๏ธ๐ช๐ฌKuna rafiki yangu amenitumia hii picha akaniambia ndiyo iliyokuwa picha ya kwanza ya Mo Salah baada ya kufika Ulaya kwenda kujiunga na klabu ya Basel.
Hakuna Kamera, hakuna watu wengi bali yupo tu Mtu wa kawaida kutoka kwa ardhi ya Pharaoh aliyejaa Ndoto.
Kweli, ukiona vyaelea...Jua vimeundwa na kila kitu kina bei yake lazima mja alipie.
Alichokuja nacho ulaya ni Begi tu.
TOKA MAGETONI!.
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
Mo Salah baada ya kufika Ulaya kwenda kujiunga na klabu ya Basel.  >>> https://gonga94.com/semajambo/mo-salah-baada-ya-kufika-ulaya-kwenda-kujiunga-na-klabu-ya-basel #Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war