Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

DOCTOR NITIBU NA HUKU KUNAWASHA🌹🌹❤️❤️❤️🌹 ❤👌👌13

1st Jul, 2025 Views 28



Basi anacheka ni vizurii nyie🙌 basi bwana akavuta kiti akawa amekaa kati kati yetu yaan huku mimi kule abbas
"Na huyu ndio mke wetu eeeh!!!" Aliuliza huku anatutazama kwa zamu mimi na abbas nikacheka tu kwa haya mana mtoto wa kike sifa yake kubwa uwe hayaa hiyo ndo Haiba ya kike haya bibi mtoto wa kike ameubwa na hayaa🙊
"Ndiyee!!" Abbas akajibu huku anacheka mpenzi wangu nae akicheka si habaa yaan hawa watu ni wazuri tu mashaallah
"Nasra mi Naitwa Aidan sijui kama uliwahi kunisikia lakini mimi nakujua kabisaa " nikainama tu chini mana alikuwa ananiangalia usoni
"Kipenzi huyu ni kaka angu kabisa baba etu mmoja mama etu mmoja , kama alivyokwambia anaitwa Aidan,Huyu ndio baba angu na ndio mama angu kwa sasa , leo nimeona nikukutanishe nae chochote kikitokea basi lazima ufike hapaa"
"Ooh Asante sana, nashkuru nimekufahamu"
"Mi pia shemeji yangu na ninakupenda mnoo yaan mpende Dogo asije umwa sonona buree"
Shemeji alikuwa mcheshi kweli hatukupoa hata kidogo mpaka mida ya sa moja ki giza tukaagiza chakula baby akaniagizia masotojo😋 nikawa nakula kwa pozii mbele ya shemu tena nisije kujipa sifa mbaya baada ya kumaliza tukatoka zetu nje ya geti shemu alikuwa na gari tukaagana akanambia atakuja nyumbani ili tujuane vizuri nikasema sawa , nikapanda piki piki tukaenda zetu nyumbani , baada ya kuoga akanambia "nasra tunaweza kuongea au umechoka ??"
"Tuongee tu mi nipo poa mbona "
Akanambia
"Kwanza naomba unisamehe sana kuhusu Martha na tabia alizoonesha kwako tangu mwanzo"
"Haina shida kipenzi hilo mbona nilisha lisahau "
"Mbili naomba nikwambie kuhusu mimi na maisha yangu kiujumla" nikatuliza akili kujua nini anataka kuniambia??
"Mimi naitwa Abbas Sultani muctas, hilo ndio jina langu kamili, mimi sio mtanzania , Tumezaliwa wawili mimi na kaka yangu Aidan yule uliemuona jioni ya leo , baada ya miaka 8 tangu kuzaliwa kwangu familia yetu ilikumbwa na machafuko yale yalioikumba sudan na famililia yetu ilikuwa ni moja ya wahanga wa machafuko yale tulifanikiwa kupona mimi na kaka angu tu wazazi na ndg wote walipoteza maisha hiyo siku , na tukaenda kwenye vituo vya kusaidia wahanga tumekuwa hapo mpaka umri huu wote tulisomea udaktari na baada ya kuona wanafunzi wa Udaktar sudani wanawindwa sana ili kupoteza kabisa msaada ndipo tulitafutiwa sehemu nchi zingine na sie tukajikuta tupo Tz , baada ya kumaliza masomo yetu wengine wamerudi kusaidia lakini kuna wengine wameamua kuajiriwa huku huku ndipo na sie tuliamua kuchagua huku , kaka angu yupo muhimbili na mimi nipo hapo Temeke ...huyo ndio mimi nasra ,leo nipo nawewe nahitaji amani zaidi nahitaji tuwe familia ....." nilishusha pumzi nikamkumbatia moyoni anamengi ya uchungu nikamwambia pole sana ,pole sana kipenzi changu nilimwambia huku nampiga piga mgongoni kumtuliza ...
"Nakuahidi nitakuwa mke mwema kwako na mama bora kwa watoto wako inshaallah mungu atuweke pamoja "
"Inshaallah nasra nakupenda sana , naamini sijakosea kukuchagua wewe , Macho yangu hayakunidanganya hata moyo wangu unaamini juu ya upendo wako mamaa!!!"
Tukiwa tumaambizana maneno yetu matamu matamu hapo simu nayo ndo ikatushtua baada ya kuita ilikuwa simu ya Abbas na mpigaji alikuwa Martha , abbas akanitazama nikamwambia pokea ,akaipokea akaweka loundly
"Abbas nahitaji kuongea na weww" martha akasema bila hata kusalimia
"Ongea nakusikia"
"Ukiwa mwenyewe "
."yeah nipo mwenyewe ma mtu anapika huko" moyoni nikasema waoooh🥰
"Umenisikitisha sana abbas sana , unaenda kuokota tu mwanamke wa uswahilini humjui hata tabia yake hivii Abbas unawajua wanawake wa Tz kweli?? Wamejaa tamaa uongo mwingi wao wanafata maslahi tu mhu nakuonea huruma sana sana"
"Sawa Martha nimekuelewa mdogo wangu , nitakuwa makini hata usijali"
" nimekuwa nawewe kwa muda mrefu sana abbas kwahiyo hukuona kitu kwenye macho yangu ,hukua hisia zangu " maneno ya martha yalifanya moyo wangu udunde fasta fasta ni kweli nilichokuwa nakiwaza sasa anamtamani vipi shemeji yake ..
"Sijakuelewa...."
"I really love you abbas , sio jana wala juzi "
"Niniiii.....????" Abbas alitoa machoo yaan mshangao wake ulikuwa mkubwa mpaka akaziba mdomo
"Nakupenda abbas , kwanini ?? Au mi sio mzuri?? "
"Wewe Martha wewe ,umechanganyikiwa et embu lala huko " Abbas akakata simu huku anasema mjinga kweli huyu mwanamke aisee sijawahi hata kufikiria
Nikaishia tu kuguna , zikawa zinaingia sms nyingi kweli kutoka kwa Martha et anaomba amuelewe yeye hakuwahi kulala na kaka ake waliachana bila kukutana kimwili khaa huyu mwanamke kweli mjinga , nikajikuta namkumbuka yule kaka jamani alivyovile handsome boy mpaka kawa kama malaika afu wakaachana sijui alimuacha kwa nini nikatamani kumuuliza abbas waliachana kisa nini mmh nikafumba bakuli mana nilimuona abbas kama anahasira nikaona tu huyu hafurahishwi na ujinga wa Martha nikaipokonya ile simu nikamblock afu nikaizima nikaiweka mbali nikarudi kumpa baby wangu kipozeo cha hasira ......

Sijui hata namba angu Martha aliitoa wapi nikawa naona tu msg zake matusi na kashfa et Ooh kwa ajili zangu mimi abbas ananipenda?? Mwanamke mwenyewe sijui hata kutumia lotion za bei ,sina elimu sina kazi nipo nipo tu sielewiki aah nikaona hili la mkosaji nikawa hata simjibu namuacha tu abbas akawa analalamika yaan kama angekua na uwezo angeacha tu kazi au kuhama kitengo Martha anamsumbua sana ...

Shemu wangu alikuwa ananipenda mpaka raha mara kwa mara alikuwa anakuja nyumbani ananiletea zawadi kibao mpaka raha siku moja nikamuuliza "kwani Shemeji yangu we na cathy et mliachana kwa sababu ipi" akacheka kwanza akanuliza kwani we umejuaje kama niliwahi date na yule mwanamke??" Mi nae nikacheka tu .
Ilibidi nimwadithie mambo yanayoendlea hapo na maneno yake Martha alishangaa kweli hivi huyu mwanamke anaakili mi abbas hajawahi kuniambia nikamwambia ndo hivyo hata kazini huku abbas hana raha visa anavyomfanyia akanambia ngoja niende huko huko mi nikasema hayaaa ....

ITAENDELEA....
Soma mpaka mwisho kwa sh 1000
Njoo WhatsApp 0781858056.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

DOCTOR NITIBU NA HUKU KUNAWASHA🌹🌹❤️❤️❤️🌹 ❤👌👌13  >>> https://gonga94.com/semajambo/doctor-nitibu-na-huku-kunawasha-13
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

GIGY MONEY DAH😭

majario rewards 100 Comments 0
 

YOUNG AFRICANS,

majario rewards 100 Comments 0
 

BAKORA VILLAGE

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 7...8

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA EPISODE 2

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE...5...6

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 3...4

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA 1

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈21

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈20

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 8

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 7

majario rewards 100 Comments 0
 

Life in a Year (2020)

majario rewards 100 Comments 0
 

Kenya, Tanzania, Congo

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 40

majario rewards 100 Comments 0
 

POSHY QUEEN:

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 39

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈19

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈18

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈17

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈16

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈15

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 05 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 04 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 03 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 02 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 01 ❤❤.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 34

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈14

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈13

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

TUWASHUKURU KINA BABA

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest