🩷
Manze nafungua curtain kisubmarine nagongana na uso ya Mama Bianca💔. Sasa hapa nikakua confused💔. Huyu anaweza kua anasaka nini in the middle of the night kwa dirisha yangu😦. Nikashindwa nifungue ama hapana. Kuniona akanisgnal nifungue
Mama Bianca : Aki pole kwa kukuamsha this late into the night..i need a favour..usishangae mbona nimekujia huku nyuma ni ju CCTV cameras hazifiki huku so hakuna mtu anaweza niona
Me : Sielewi..hakuna mtu anaweza kuona ukido?..like I'm confused 🤔
Mama Bianca : Unajua wewe unakaa kijana mjanja tunaweza weka siri..can i trust you?
Me : Hee😂.. Mama Bianca ndo nimeanza tu kazi sijui ni jana..i just don't know what you want.. it depends ni nini kwanza unataka
Mama Bianca : Unajua mimi hua naonja kidogo...
Me : Kuonja?.. Kuonja nini..i swear I'm not getting you
Mama Bianca : Hua naonja unajua mimi ni mtu wa kikombe kidogo
Me : Ooh unasema pombe😂
Mama Bianca : Baas sasa tunaelewana..do you drink?
Me : Sometimes but si ati mi hulewa.. maybe once in a while
Mama Bianca : Sasa naona wewe tutaelewana vizuri sana😂..na nilijua tu lazima wewe pia unatumia..sasa unajua mimi hua natumia lakini hua staki mtu ajue ju anaweza ambia bwana yangu na italeta shida
Me : Aah na si ukitoka unabuy unakuja nayo
Mama Bianca : Hawa drivers unaona ni kama pia bodyguards na hawakuachi hata upumue..wako na wewe kila mahali sasa huwezi toka ununue na pia si unajua a lot of people know my husband sasa wakiniona nanunua pombe si unaona hapo itaharibia Marcels jina
Me : Enyewe hapo italeta shida
Mama Bianca : Na pia siwezi kunywa kwa nyumba atakuja askie harufu
Me : Ooh yeah
Mama Bianca : Sasa Carl i need a favour..niko na kiu mbaya sana sijaonja miezi kama mbili hata ulifanya vizuri kukuja.. kindly si uniendee?
Me : Whaat?😦
Mama Bianca : Aki si kwa ubaya ama matharau..niendee tu wewe haiwezi leta shida
Me : Sahi?
Mama Bianca : Yeah ambia tu soldier unafika town kununia vitu zako
Me : Wueh
Mama Bianca : I'll pay
Me : Manze unaniweka kwa temptations..ama bwana yako amekutuma unijaribu?
Mama Bianca : Siwezi kufanyia kitu kama hio leo yeye amelala kwa sweetheart wake huko Mama Quincy..huku kwangu hua analala siku amejiskia
Me : Walahi hio kitu unataka itakua ngumu
Mama Bianca : I'll pay
Nikafikiria pale maze huyu mathe anadai kuniweka kwa shida. Marcel akijua mi nimeisha😂💔.
Me : Unataka gani
Mama Bianca : Nataka kitu itashika haraka aki niko kiu vibaya sana..sijui ulete Hennessy ama gani
Nikakumbuka sijai hata onja Hennessy naiskianga tu kama jina😂
Me : Poa wacha nilete hio , hio iko sawa kabisa
Mama Bianca : Sawa hebu nipee number yako na pia nikupee yangu unajua shuguli kama hizi nikiwa na nafasi nakupigia tu unaniletea
Me : Poa
Mathe akachomoa kibunda ya noti kwa bra. Akahesabu hadi 50k😲. Akanijenga
Mama Bianca : Kama kitu itabaki juu hio ni yako
Me : Thanks.. nikupate wapi
Mama Bianca : Wewe ukifika just send a message utaniona
Me : Poa
Nikatoka hadi kwa gate
Soldier : Sahi usiku unaenda wapi
Me : Kuna stuff nadai kubuy sikupata time ya kubuy mchana
Soldier : Bro unajua this is a highly protected area so mambo ya kutoka usiku na kurudi you can attract thieves ama hata wakora
Me : Bro.. trust me..mimi hakuna mse anaweza nifata ati anakam kuiba hapa
Soldier : Harakisha
Nikatoka hadi club. Nikabuy makali nikaiwrap fiti kwa paper mse asijue. Nikaweka kwa carrier bag nikatoka. Nikafika kwa hao. Nikamtext nimefika. Akakuja kwa window tena
Mama Bianca : Wow thank you so much..sasa unajua siwezi kunywa kwa nyumba ju ya harufu plus kina Bianca ni kama wanaweza jua
Me : Kunywa tu na hapo nje then uende kwa nyumba
Mama Bianca : Kwa baridi sitapata starehe nataka..open the door
TO BE CONTINUED 🔥
Kujeni mtoe mathi kwa dirisha ama akuje apapase kichuma kama nyoka imefugwa😂💔.