Niliolewa katika familia ya mzee devi iliyokuwa na watoto wakiume watatu na wakike mmoja
Wakiume walikuwa woote wanawake zao na wakike alikuwa kaolewa mwanza
Mzee devi alikuwa nitajili sana alikuwa ananyumba kubwa sana kama kasri na ninzuri sana
Hivyo aliona watotowake wakiume wote wakae hapo hapo nyumbani na wake zao
Hivyo tulikuwa nafuraha sana kwani hakuna tulichokikosa pale nyumbani
Kulikuwa na wafanyakazi wakutosha ambao walifanya kazi zoote za humo ndani nasisi tulio olewa tulikuwa na uhuru wakufanya kazi zetu
Yaani tuliweza kwenda kazini na wengine kwenye biashara
Mimi niliolewa na mtoto wamwisho wa mzee devi
Nilikuwa mwenye furaha sana na upendo mkubwa sana nakila mtu walikuwa wanasema mimi nimrembo sana
Hivyo hadi mzee devi babamkwe wangu alikuwa asisikie kitu chochote kuhusu mimi alijali sana alikuwa ananidekeza mno
Mpaka mumewangu Tony alikuwa anaona wivu kwamba baba alikuwa ananidekeza sana
Wake wenzangu wake wa kakazake na Tony waliona wivu mwisho walizoea maana nilikuwa napendwa sana
Nitake nini mimi ilikuwa nikisema tuu na pewa
Baba mkwe wetu alikuwa anajali sana familia yake hivyo watu wengi walitamani wawe kwenye hii familia
Sikumoja nikiwa chumbani nilijihisi kizungu zungu nikaanguka chini
Aliniona muhudumu wetu hivyo aliwaita watu wa familia
Walikuja Lillian na Eva wake wenzangu baada ya muda baba mkwe nae alikuja
Alikuwa na wasiwasi na kumpigia sim doctor aje maramoja
Na alipofika doctor alinipima na kumwambia baba mkwe ninahomatuu
Hivyo aliagiza nitibiwe haraka
Alipigiwa sim mumewangu Tony haraka alianza safari ya kuja nyumbani
Hadi anafika tayari nimesha pata matibabu nilikuwa nimetundikiwa drip
Hivyo baba mkwe alimuonya Tony asije akaniacha pekeangu anitizame kwa umakini
Niliamka na kuomba matunda niletewe
Baba mkwe aliwaambia wahudumu haraka wanikatie tunda la epo
Nililetewa nikakalitafuna kidogo na baada ya hapo niliomba nipumzike
Siku ilipita kesho yake baba mkwe aliona nipelekwe kufanyiwa chekap ya mwili mzima
Hivyo alimwambia dereva wake awashe gari kuelekea hospital tukiwa mimi na babamkwe pamoja na mumewangu
Endelea kufuatilia..................
BABAMKWE epsd 2.
Tulifika hospital na kukabiziwa kwa doctor na kuambiwa anifanyie kipimo cha mwili mzima
Nilipelekwa na kufanyiwa kipimo na baada ya muda tulipewa majibu nilikuwa na uvinbe mdogo sana tumboni
Hivyo natakiwa nianze dawa haraka
Mume wangu Tony alipopata majibu alimuomba babaake awahi kwenye kikao ofisini kwao
Hivyo baba alimruhusu tukaingia kwenye gari na kuanza safari ya kuludi nyumbani
Tukiwa njiani baba mkwe aliniambia
Fiona kipenzi usiogope sawa mama
Nilimjibu sawa baba
Aliniambia kuwa nitafanya juu chini utapona sawa
Nilimuitikia sawa
Alimwambia dereva twende hotel nzuri sana nataka mkwe wangu akale kitu kitam sana
Nilikuwa kimya tuu
Aksniuliza sindio fiona
Nilimjibundio baba
Tulienda hotel nzuri sana yakifahari tulipofika tulipokelewa vizuri sana
Tukaonyeshwa sehem ya kukaa
Tukaenda kukaa na kuletewa menu ya chakula kisha tulichagua
Na baada ya hapo tuliletewa kinywaji tukawa tunakunyw kusubili chakula kiandaliwe
Tulipokuwa pale mezani babamkwe akuniambia mkitu
Lakini Fiona kipenzi wewe nimrembo mnoo ingelikuwa enzi zangu mimi nisinge ruhusu mtu yeyote anipikunivile tu umewahiwa na mwanangu
Na pia nimesha kuwa mtu mzima
Nilismail 😊na kumjibu kwa utani utani maana nimezoea kutaniana nae
Hata hivyo hujazeeka sana ng'ombe kwani anazeeka maini baba
Mzee devi alismal😊 na kujibu hazeeki mwanangu
Nikwmwambia unaachaje Tony akushinde sasa🤣
Mzee devi alismal tena😊 nakusema hakika Fiona
Nilimjibu hakika
Hivyo na chakula kililetwa tukatengewa
Tukaanza kula na baada ya kumaliza tulienda kwenye gari na kuludi nyumbani
Nilipofika nilipandisha gorofani kwenda kupumzika
Lillian alinifuata kutaka kujua nini kimejili huko nilikotoka
Nilimjibu nimekutwa na uvimbe kidogo tumboni ila babamkwe kasema nisijali nitatumia dawa nitapona
Baada ya hapo Lillian akaniambia vipi kipenzi Gaby kapiga sim mzigo mpya umeingia kasema anavitu konki
Mwambie baba twende maana tukimwambia sisi mmh nahivi unaumwa ndio atatutimua
Nika smail😊 na kumwambia sawa ngoja niende atakuwa chumbani kwake
Nikainuka na kwenda chumbani kwa baba mkwe nikagonga
Akajibu karibu nikaingia nikamwambia baba nilikuwa nakuambia kuwa
Akaniambia Fiona njoo karibu binti yangu mrembo uniambie nini unataka
Nikasogea kisha nikamwambia baba Gaby kapiga sim anamzigo mpya umeingia
Mzee devi akauliza mzigo wa kitu gani tena kipenzi
Nikamjibu kuwa mzigo wa nguo mpya kutoka uturuki hivyo nilikuwa naomba kadi ya hela
Akavuta droo na kunipa kadi na kunipa haya umwambie dereva wangu akupeleke sawa
Nikamjibu asante baba
Mzee devi akaniambia kuwa makini sawa
Nikamjibu sawa ila nitakuwa na dada Lillian pamoja na dada Eva
Mzee devi akajibu ok basi sawa nendeni mkachukuwe mtakazo
Nilimjibu asante baba na baada ya hapo nikatoka nikamkuta Lillian nikamuonyesha kadi hii hapa
Lillian alifurahi sana na kunibusu kipenzi cha baba hicho haya ngoja tujiandae nikamwambie na Eva
Nikamjibu sawa kipenzi ngoja nijiandae na mimi hapa japo nimechoka
Lillian alienda kumwambia Eva wakajiandaa na kutoka tukaingia kwenye v8 ya baba
Tulienda tukafanya manunuzi na baada yahapo tuliludi nyumbani nikamkabizi kadi babamkwe
Endelea kufuatilia....
KWETU morogoro.