Kelvin lilimshuka, hakuwa na cha kujibu. Midomo ilianza kutetemeka kama mtu aliyezoea kusema uongo akikutwa na ukweli.
"Eeheee... jirani unafuatilia nini nyuma yangu kama kivuli?" yule dada aliuliza huku macho yake yakiwa makali kama sindano ya daktari.
Kelvin akajaribu kucheka, kicheko cha kujifanya jasiri.
"Haha... aaah nilikuwa nakwenda kuchota maji jirani," alisema huku akijiumauma.
"Maji bafuni ndo yanachotwa eeh? Kwa macho yako au kwa mate ?" alirusha dongo yule dada huku akimpima juu chini.
Kelvin alimeza mate yaliyokusanyika mdomoni, akajikuta anatazama tena mata... ya dada huyo yaliyokuwa yanatetemeka kwa kiburi na umbo la aibu.
"Jirani, sitaki unifuate fuate bhana. Na tabia hii nimeiona mara nyingi niheshimu basi tena kaa mbali na bafu langu, naomba unielewe?
Nasemaje Si mara ya kwanza unanifuata kwa macho ya uchu na kuutaka mchezo , kesho nikikukuta tena nitapiga kelele unataka kunipelekea moto , usije sema nlikuwa natania," alisema dada huyo kwa hasira, kisha akafunga mlango wa bafu kwa nguvu.
Kelvin alijikuta akisimama pale kama sanamu ya Mnazi mmoja. Akasema kimoyomoyo,
"Huyu demu ni moto kuliko jua la Mbeya! Ila dawa yake inachemka, siwezi kukata tamaa hivi hivi. lazima nile chakula maana kwalile zigo chakula kitakuwa kitamu....
Aliporudi ndani kwake , akili yake haikuwa sawa. Alikuwa anaona picha ya yule dada kila akifumba macho. Alikaa kitandani na kusema:
"Huyu lilian ni mzuri, lakini huyu wa kitanga
ananikosha kama supu ya kichwa cha kondoo."
Muda huo toto la kitanga lipo bafuni linoga mara linajifanyia utalii wa sehemu mbambali mbali . Sabuni kwenye madodo yaani ilikuwa ni balaa zito mwisho wa siku alikuwa akitafakari sana yale maneno aliyomwambia yule kijana ukichukulia yupo single ....
Na anatafuta mtu wa kupoza kitumbua maana kwa sasa ni cha moto sana pale alikuwa akimjambisha tu lakini kumbe naye kafurahia baada ya kugundua kuwa anavutia
MUDA ulienda sana na ilipotimia saa mbili kamili Usiku kelvin baada ya kutoka kuzunguka aliingis ndani kwale na kujitupa kitandani
" Aseeee nimechoka sana lakini hakuna nilichofanya hakuna nilichoingiza "
Mara Ghafla mlango uligongwa kwa kishindo.
Koko! koko !koko! koko!
"Ni nani usiku huu?" Kelvin aliuliza kwa sauti ya uvivu.
Alipofungua mlango, alipigwa na butwaa. Ilikuwa ni yule binti wa kitanga jirani yake , akiwa amevaa dera jeupe linalombana vizuri. Macho yalimtoka kama kamera ya CCTV.
"Kelvin, naomba unisamehe kwa kukukoromea asubuhi. Nilikuwa na hasira," alisema yule binti kwa sauti ya unyonge.
Kelvin alimezea mate tena. Hali ya kuchanganyikiwa ikamvaa.
"Aaah, sio shida... karibu ndani," alisema huku moyo ukipiga mbio kama swala anayekimbizwa na simba.
Lilian alipoingia ndani, harufu ya lotion ilijaa hewani. Kelvin alihisi kama yuko peponi. Alipojaribu kumkaribia, Lilian alimtazama kwa macho ya madoido.
"Kelvin... unajua nimekuja kufanya nini?"
"Aaah... sijui.?"
"Unakula ndo ule au unakula kwanza?" Lilian aliuliza huku akimvuta Kelvin karibu yake.
ITAENDELEA... 🥵.