Basi ni pale pale ambapo lilian alipokuwa anafagia fagia pale nje huku mshedede uNatikisa hali iliyosababisha ugomvi ndani ya bukta yangu askari alikuwa anataka kutoka nje nilimrudisha ndani aache kiherehere nilipiga hatua mpaka alipoyeye nikamshika kiuno aliruka kama kapigwa shoti hivi.....
" Aaaaaaaagh"
" Mtoto una manye....."
" Toka apa "
" Niende wapi?
" Nenda kwenu una tabia mbaya"
" Mi mteja jamani"
" Mteja kiunoni kwangu inahusu?
" Samahani basi "
" Haya unataka nini"
" Nimekuja kukuona wewe"
" Acha tabia mbaya ya kushika kiuno changu"
Basi waliongea na mwishowe jamaa hata akununua kitu zaidi ya kwenda kushika kiuno cha lilian. Alirudi nyumbani akiwa kafurahi sana kila akikumbuka mtoto alivyoruka baada ya kushikwa kiuno . Alikuwa anacheka kama kashinda biko .....
Lakini akiwa palepale geto kwake alipita dada moja wa kitango ana bonge la maka... Yaani linatetemeka kama radi yani ni huku na kule na ubaya zaidi no pichu ni kaanga tu
Kelvin alikodoa macho yaani udende unamdondoka kama kaona nyama ya kukaangwa halafu njaa kali sana inampiga ilikuwa ni kama kapigwa na butwaa
Akawa anamfuata kwa nyuma maana alikuwa anaenda kuoga alimfuata mpaka anakatisha kwenye kona ya kuelekea bafuni na jamaa ile anakatisha kumbe alimtega na kumsubiri alimjua anamfuata ...
Akamwambia " enhe jirani unafuata nini?
Kelvin lilimshuka ......
ITAENDELEA.